Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa,

1.idara ya ujasus ni pana na inavitengo vingi,kuna wajiriwa wa moja kwa moja pasipo mkataba na kuna waajiriwa wa mkataba
2.mwajiriwa wa mkataba ,mkataba wake utaeleza anayotakiwa kufanya katika idara hiyo
3.mtu yoyote ktk jamii anaweza kutumika kijasus bila yeye kujua mf bos anaweza kukuita ofisini na kukuoji baadh ya maswal ya mtego kuhusu utendaj wa mfanyakaz mwenzako na kuhusu familia yake,kwakuwa ni bos utamweleza
4.kila mtu anamkataba tofauti kulingana na taaluma yake mf mkataba wangu hauusiki katika kuchunguza vitu na wala siri zao sizijui mimi ni kuwezesha transmission of information from one source 2 onether lakini utekelezaji wa ile information siufaham,so mkataba wangu haunifung kusema nafanya kaz ktk idaya yao
5.elewa kwamba kuna mtu yupo ktk idara hii kama dereva tu na haelew chochote lakini ni mfanyakaz
6.sisi tunatambuana kwa.....sitak kuelekea mbele zaid ila nafikiri umeelewa,kama huja elewa bac

bado unauza chai, kijana wa miaka 23
 
Kwani wewe si ulisema ni mwanafunzi, na unataka kuzaa tu kumridhisha maza ili asife hajaona mjukuu?
Kweli kuishi nikujifunza. Kwa hiyo huyo wa kwanza anataka mkataba na mwanasheria wake kuwa mtazaa na ukimaliza shule unamuwowa? Hakikisha na wewe mwanasheria wako anaangalia kipengele cha kuvunja mkataba (kama ile ya kwenye ajira kama ni 3 months notice ama sh ngapi in lieu incase mnavunja mkataba)

sasa hivi anasema yeye ni jasusi.....
Hahahhaaaa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu....
Labda ujajusi wa kwenye movie za nikita, 24 hrs nk
 
halafu Mr Jasusi nilitaka kukupaisha kukupa angalau ujasusi wa takukuru nimegundua kuwa nao huna..... hebu jikumnushe hapa thread yako

Polen na majukumu ya kila siku
mimi ni kijana wa miaka 23 na bado nipo kimasomo katika chuo flani cha elimu ya juu ila nahitaji kuwa na mtoto m1 na hii nikutokana na shinikizo la mama kuniambia anahitaj mtoto kutoka kwangu kabla hajafa kwa kuwa mimi ndo mtoto wake wa pekee wakiume,

HATA HII FEEDBACK YAKO ULOLETA NAYO NI UONGO MTUPU, IMEKAA KUFIKIRIKA TU............... Baada ya kupigwa madongo kule
 
Kwani wewe si ulisema ni mwanafunzi, na unataka kuzaa tu kumridhisha maza ili asife hajaona mjukuu?
Kweli kuishi nikujifunza. Kwa hiyo huyo wa kwanza anataka mkataba na mwanasheria wake kuwa mtazaa na ukimaliza shule unamuwowa? Hakikisha na wewe mwanasheria wako anaangalia kipengele cha kuvunja mkataba (kama ile ya kwenye ajira kama ni 3 months notice ama sh ngapi in lieu incase mnavunja mkataba)

nitazingatia ushauri wako,ahsante kwa muda wako
 
Kweli hili lijamaa nilijasus hadi mke linapata kijasusi,haya utuletee taarifa ya mtoto akizaliwa jasus,ila kama ndoa itakuwepo usinisahau nipe kadi ya mwaliko hata kama ni wap ntakuja kwanza nije nimuone huyo kimwana,jasusi na huyo mama yako

nita ku pm kama itakuwepo
 
Duh!!Kama ni kweli wapo walioandika (though siamini) basi wadada wenye njaa ya ndoa Tanzania ni janga la kitaifa.
Hivi hata wewe dada yangu unaweza kuingia kwenye mtego wa kitoto kama huu?
 
sasa hivi anasema yeye ni jasusi.....
Hahahhaaaa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu....
Labda ujajusi wa kwenye movie za nikita, 24 hrs nk

-kitu usichoelewa usikizungumze
-idara hii nimeshaitolea maelezo
-ila naomba nikuambie kwenye kila chuo kuna wanafunz 2 au 3 wa idara hii,kuna walimu na bado wapo kwenye idara hii,kuna madactar,n.k mpaka vijana wa secondary kuanzia miaka 18 wapo waliopo kwenye idara hii ila utofauti ni vitengo
 
Mkuu yote uliyoaandika ni usanii mtupu,nakushauri nenda kwa shigongo akupe forum kwenye uwazi ili uendeleze kipaji chako.
 
Kwani wewe si ulisema ni mwanafunzi, na unataka kuzaa tu kumridhisha maza ili asife hajaona mjukuu?
Kweli kuishi nikujifunza. Kwa hiyo huyo wa kwanza anataka mkataba na mwanasheria wake kuwa mtazaa na ukimaliza shule unamuwowa? Hakikisha na wewe mwanasheria wako anaangalia kipengele cha kuvunja mkataba (kama ile ya kwenye ajira kama ni 3 months notice ama sh ngapi in lieu incase mnavunja mkataba)
weed-we-trust.jpg
 
eti jasusi........mama yako alishawahi kuwa jasusi,,,,usikute mnajasusiana,anakujasusi,utafute mtoto,mtengeneze kijasusi
 
halafu Mr Jasusi nilitaka kukupaisha kukupa angalau ujasusi wa takukuru nimegundua kuwa nao huna..... hebu jikumnushe hapa thread yako

HATA HII FEEDBACK YAKO ULOLETA NAYO NI UONGO MTUPU, IMEKAA KUFIKIRIKA TU............... Baada ya kupigwa madongo kule
weed-we-trust.jpg
 
-kitu usichoelewa usikizungumze
-idara hii nimeshaitolea maelezo
-ila naomba nikuambie kwenye kila chuo kuna wanafunz 2 au 3 wa idara hii,kuna walimu na bado wapo kwenye idara hii,kuna madactar,n.k mpaka vijana wa secondary kuanzia miaka 18 wapo waliopo kwenye idara hii ila utofauti ni vitengo
weed-we-trust.jpg
 
1.idara ya ujasus ni pana na inavitengo vingi,kuna wajiriwa wa moja kwa moja pasipo mkataba na kuna waajiriwa wa mkataba
2.mwajiriwa wa mkataba ,mkataba wake utaeleza anayotakiwa kufanya katika idara hiyo
3.mtu yoyote ktk jamii anaweza kutumika kijasus bila yeye kujua mf bos anaweza kukuita ofisini na kukuoji baadh ya maswal ya mtego kuhusu utendaj wa mfanyakaz mwenzako na kuhusu familia yake,kwakuwa ni bos utamweleza
4.kila mtu anamkataba tofauti kulingana na taaluma yake mf mkataba wangu hauusiki katika kuchunguza vitu na wala siri zao sizijui mimi ni kuwezesha transmission of information from one source 2 onether lakini utekelezaji wa ile information siufaham,so mkataba wangu haunifung kusema nafanya kaz ktk idaya yao
5.elewa kwamba kuna mtu yupo ktk idara hii kama dereva tu na haelew chochote lakini ni mfanyakaz
6.sisi tunatambuana kwa.....sitak kuelekea mbele zaid ila nafikiri umeelewa,kama huja elewa bac
weed-we-trust.jpg
 
halafu Mr Jasusi nilitaka kukupaisha kukupa angalau ujasusi wa takukuru nimegundua kuwa nao huna..... hebu jikumnushe hapa thread yako

HATA HII FEEDBACK YAKO ULOLETA NAYO NI UONGO MTUPU, IMEKAA KUFIKIRIKA TU............... Baada ya kupigwa madongo kule

hata bungeni ukweli unazomewa pumba zinashangiliwa kwa kugongewa meza so nimeshakufaham hunipi shida
 
Back
Top Bottom