Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kidotulotokordwak, Sep 12, 2012.

 1. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza napenda kuwashukuru nyote mlio komenti katika thread yangu ya "natafuta mwanamke wa kumlipa anizalie mtoto kwa mkataba"
  ingawa wengine tulipishana kimtazamo katika kuwekana sawa naomba tusameheane kama mlivyoweza kuniweka sawa katika hilo naomba pia mniweke sawa katika hili
  1. nimepata e-mail 15 za kukubali kuingia mkataba kwaajili ya kupata mtoto,6 zinatoka dar es salaam,3 zinatoka Iringa,1 inatoka Arusha,2 zinatoka dodoma na 3 zinatoka morogoro
  2.nimepata e-mail 3 za matusi ya nguoni kutoka kwa manka wa moshi mjini,joackim wa lindi na mataluma dar es salaam ila nawaambia matusi hayajiandiki usoni
  3.nimepata e-mail 8 za ushauri wa busara nisingependa kuwataja ila nakushukuru mdau ktk magic fm,tanapa,CRDB,AICC,NHIF,mwanafunz wa Udsm 2nd yr na mama kutoka Mwanza,nimetaja idara kuepuka kutaja majina nimezingatia mliyoniambia.
  Napenda kuwashukuru hata mliochangia humu jf hata wale tuliopingana ila tusijenge chuki hasa wanaume hautakiwi kuwa na kinyongo

  katika e-mail za waliokubali mkataba nimezichambua na kupata e-mail tatu nilizoona nizilete hapa ili mnishauri nichukue mkataba upi au niache yote

  HIZI NDIYO E-MAIL ZENYEWE
  note,sitotaja jina la aliyetuma e-mail wala id yake ya jf coz kunabaadh walinipa id zao za jamii forum
  1.Huyu anatokea mwanza,
  -amesema hajawahi kuolewa
  -anasoma chuo kikuu cha mtakatifu agustine mwaka wa 3
  mass comm
  -ana miaka 27(mimi ninamiaka 23)
  -hataki nimlipe hata kumi coz kwa mujibu wake ameniambia kwao wanauwezo hata uo ujauzito ataudumia mwenyewe
  -amesema anataka kuwa mke kamili wa ndoa ya kanisani na siyo mkataba
  -amenipa sharti la kumwacha huyu dactar wangu niliyenaye sasa
  -amesema yupo tayar kupima HIV na kusubiri miezi 3 kabla ya vipimo vya pili
  -amenipa sharti la kuvunja mkataba na idara ya ujasus na atamshawish baba yake aniajiri ktk chombo kimoja cha habari hapa nchini(sintopenda kukitaja)
  -amesema chuo anamaliza mwakani na haraka iwezekanavyo anahitaji ndoa kama nitafanya yote anayoitaji
  -kwa kumaanisha yupo sirious akanipa mobile no yake na yamwanasheria(advocate) wake na nimezungumza na mwanasheria wake amesema wanasubiri jibu langu


  2.E-MAIL YA PILI NILIYOICHAGUA NI HII
  -Anasema anamiaka 20
  -Amemaliza form 6 mwaka huu kwa ufaulu wa division 4
  -Anaishi dar es salaam na alisomeshwa na kanisa coz hana wazazi wote wawil(yatima)
  -Ameajiriwa vodacom kama wakala toka amalize form 6 na anameshahama kanisani anaish kwake
  -Anadai anataka kuwa mke na haitaji mkataba coz hana mwanasheria na hata angekuwa nae asingehitaji mkataba
  -Amesema atakuwa tayari kupima vipimo vyote ila anatatizo la homa ya ini (hepatitis B)Nimeuliza nikaambiwa hepatiti b haina madhara kwa mtoto wala kwangu so kama kuna dactar anisaidie
  -kwa mujibu wake amesema yeye ni bikira(virgin) nahii nikutokana alilelewa na kanisa
  -kanipa mobile namba yake na namba ya boss wake(mwanamke) ambaye ndo amemshaur ivyo

  3.E-MAIL YA TATU NI KUTOKA DODOMA
  -Anasema anamiaka 26
  -Ameniambia yeye ni mwislam(aliniuliza mimi ni din gan nilipomjibu nayeye akanijibu hivyo sina maana mbaya)
  -amesema aliwahi kuwa na rafiki wa kiume lakini waliachana
  -anasema amemaliza mwakajana muhimbili doctor of medicine(MD)
  -Yupo tayar kubadilisha dini
  -anaish na mama yake coz baba alifariki
  -hataki mkataba anataka kuwa mke
  -yeye ndiye mtoto wa kipekee kwa mama yake
  -hana mwanasheria ila akiitajika atamtafuta
  -anataka niachane na huyu aliyeanza mwaka wa kwanza
  -yupo tayar kupima
  -anataka niache kazi idara ya ujasus na atasaidiana na mimi kutafuta kaz nyingine
  -amesema atanichungza tabia kwa miez 6 kwa kuniwekea watu wa siri (kwa mujibu wake)
  -kama mimba isiposhika tutaachana kwa mujibu wake

  watu hawa wamenitumia picha zao na attachments za nakala ya vyeti vyao pamoja na mambo meng ambayo hayanamaana mf vyakula wanavyokula,rang wanazopenda,mwingine kaandika kaz alizowah kufanya n.k

  zile e-mail 12 sikuridhika nazo coz kuna wengine wanamiaka 38,32 na 35 ambao niwakubwa sana kwa umr wangu,pia wengine ni wake za watu na wamesema watanizalia mtoto pasipo waume zao kujua wa kwanza alisema yeye anataka tu nimridhishe coz mume wake ana maumbile madogo na yeye haridhik,mwingine akasema nimlipe mil 32,mwingine akaniambia ameadhirika ila atabeba ujauzito kwa kufuata maelezo ya madactar na tutatumia njia za kitaalam kumpata huyo mtoto na yeye atalipa gharama nusu na mimi nusu na mtoto atakuwa ni wetu sote kwa mujibu wake anamali nying na hana mridhi(mtoto) huyu ana miaka 35 na alishawah kuwa na umaarufu wa kisanii mwaka 2005 na watu weng mnamfaham ila sintomtaja

  katika hizo mail 3 naomba unishaur nichukue ipi? au ni ache zote?je nitumie njia gan nyingine?

  Natumaini kupata mawazo yanayojenga kutoka kwenu
  nawashukuru wote mtakaonishauri
  mbarikiwe
  NAWASILISHA
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh!!Kama ni kweli wapo walioandika (though siamini) basi wadada wenye njaa ya ndoa Tanzania ni janga la kitaifa.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  this is insane lol
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  chukua wa 2 wa 1 niachie au sio!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  Huyo wa kwanza kakwambia uachane na kazi kwenye idara ya ujasusi, hivi waliopo "idara ya ujasusi wanajitangaza?"

  kwa hilo nashindwa kuamini story yako.....


   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmhhhhh! Hatariiii! Uwe macho wengine WAMEFUNGA VIZAZI wanahamu tu na mechi, unajikuta wanakufuja tuuuu! Kila siku wanakuomba mjaribu mimba haijaingia, si riziki, kumbe wanasikilizia utamu wako tu! Mjini hapa unaweza KUTAPELIWA UNYUMBA kwa ahadi ya mimba, kumbe mtu ana kijiti au asubuhi anameza contraceptives. Heri uweke deadline miez 6 kama hakijaeleweka baaas! Ila unaweza kujikuta unaonja onja sana kila miezi 6 kitu kipya, mpaka utanogewa bure.
   
 7. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata Yesu hawakumuamini japokua alikua na Nguvuza Mungu
   
 8. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.kwanini nichukue wa pili?
  2.naomba unipe faida na hasara ya kumchukua huyo?
  3.kuhusu kukuachia siwezi kukujibu
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe sio YESU.
   
 10. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  wa pili kwanza umri hamzidiani sana faida yake ni virgin (Bikira) hasara yake ni huo ugonjwa wa ini halafu wa pili hajakwambia uache kazi ya ujasusi! Huyo wa 1 niachie mimi na mimi nijimuvushishe, kwa sababu nimependa maelezo ya wa kwanza lakini vp yupo mwake!? Kama vp ani pm. Umefanya fresh sana kamanda, nimependa njia yako uliyotumia!
   
 11. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  1.idara ya ujasus ni pana na inavitengo vingi,kuna wajiriwa wa moja kwa moja pasipo mkataba na kuna waajiriwa wa mkataba
  2.mwajiriwa wa mkataba ,mkataba wake utaeleza anayotakiwa kufanya katika idara hiyo
  3.mtu yoyote ktk jamii anaweza kutumika kijasus bila yeye kujua mf bos anaweza kukuita ofisini na kukuoji baadh ya maswal ya mtego kuhusu utendaj wa mfanyakaz mwenzako na kuhusu familia yake,kwakuwa ni bos utamweleza
  4.kila mtu anamkataba tofauti kulingana na taaluma yake mf mkataba wangu hauusiki katika kuchunguza vitu na wala siri zao sizijui mimi ni kuwezesha transmission of information from one source 2 onether lakini utekelezaji wa ile information siufaham,so mkataba wangu haunifung kusema nafanya kaz ktk idaya yao
  5.elewa kwamba kuna mtu yupo ktk idara hii kama dereva tu na haelew chochote lakini ni mfanyakaz
  6.sisi tunatambuana kwa.....sitak kuelekea mbele zaid ila nafikiri umeelewa,kama huja elewa bac
   
 12. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nayo point nitaifanyia kaz
   
 13. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijasema mimi ni Yesu,usibadilishe maana .kama walimpiga Yesu na kutokumwanini je mimi mwanadam utaniamini?kama huamini kaa pemben
   
 14. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "every woman is beautiful but it need a right man to see it"
  kuhusukukuachia sidhan kama ni ustaarabu bwanakaka coz hawa wametuma mail zao kwaajili ya kitu kimoja tu ila siyo ustaarabu kuwasambaza kwa watu,nikishawajibu kama nimekubal au kukataa nitawaambia hayo unayoyataka kama upo sirious na mmoja wapo nitamweleza na akikubali nitoe privacy zake nitaku pm nafikiri umenielewa
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani nimekaa katikati?
   
 16. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mke mwema anatoka kwa bwana
   
 17. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa lizzy
   
 18. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli but hujui anakuja kwa njia gani,labda kwenye basi,stend,kanisani,msikitini,shuleni,ofisini,n.k
   
 19. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kweli hili lijamaa nilijasus hadi mke linapata kijasusi,haya utuletee taarifa ya mtoto akizaliwa jasus,ila kama ndoa itakuwepo usinisahau nipe kadi ya mwaliko hata kama ni wap ntakuja kwanza nije nimuone huyo kimwana,jasusi na huyo mama yako
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe si ulisema ni mwanafunzi, na unataka kuzaa tu kumridhisha maza ili asife hajaona mjukuu?
  Kweli kuishi nikujifunza. Kwa hiyo huyo wa kwanza anataka mkataba na mwanasheria wake kuwa mtazaa na ukimaliza shule unamuwowa? Hakikisha na wewe mwanasheria wako anaangalia kipengele cha kuvunja mkataba (kama ile ya kwenye ajira kama ni 3 months notice ama sh ngapi in lieu incase mnavunja mkataba)
   
Loading...