Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Habari za usubuhi wana jamvi.... jamani naomba nitoe wazo la mhe. BWM agombee tena urais kwa mara ya pili ili angalau tuondokane na serikali legelege ya sasa... tukumbuke kipindi cha mkapa hatukuwahi kuona dola inafikia TSH1678 kama leo, na wala hatukuwahi nunua unga 2000/kg watanzania ni bora tuwe na raisi kwa miaka 50 aliye serious badala ya kuwa na serikali legelege kwa mwaka mmoja