IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Mzee kala buyu, mate yamejaa kinywani,Mkapa sasa anajiuliza kumbe haya matanzania na yenewe huchikizwa na jambo? laa!!! yameanza kuquestion every thing, itakuweje? ama nile kona?
Tutaona Kama Bubu This Tiome Atajua Kusema Au Atabakia Kimya..........
He explained that if the corruption allegations against Mkapa are genuine, the family will decide what to do about it, including possibly kicking him out of the family and denouncing his honorary status. size]
Mwaka huu kuna kazi. Mimi niliwahi andika mwaka 1995 kwamba Mkapa hakuwa clean, alikuwa hajapata nafasi ya kuchota zaidi ya vile visenti vya waomba scholarship pale wizara ya elimu ya juu.
Nakumbuka wakati huo kuna watu wengi sana walinishambulia na kusema naleta uzushi. Mungu mkubwa, karibu wote sasa wanaelewa kwamba haikuwa majungu.
Hivi watu wanaong'ang'ania Mkapa aongee wana fikiria nini? kila kitu kiko wazi sasa wao wanataka yeye aseme nini?
Watanzania wamekaangwa na mafuta yao wenyewe full stop. Mtu anawakopa watanzania milioni 750, halafu ananunua mali ya watanzania yenye thamani ya bilioni 400 mara 70 and then mara 70 tena, lakini kwa bei ya shilingi milioni 700 and probably hata hiyo milioni 700 waliyokubaliana hajaimalizia and at the same time anaweka dili la kulipwa mabilioni duu. Sasa hapo watu wanataka afanyae nini? jamaa ana hela kuliko Bill Gates sio wajibu wake hata kidogo kusema chochote because anything he says could be used against him in the court of law.
Wanaotakiwa kusema ni serikali na kufuatilia mchakato mzima kama ulikuwa wa haki au la, kuona kama serikali iliuza huo mgodi kwa manufaa ya watanzania au la, maana ubinafsishaji unaozungumzwa na IMF au world bank maana yake ni wananchi wafaidike na wawekezaji watajirike kihalali bila kumuumiza mtanzania.
Na kama jamaa walijiuzia kinyume na sheria bila kufuatilia kanuni za tenda nakadhalika basi ni wajibu wa serikali kufuatilia na kubatilisha hiyo mikataba nakadhalika lakini kumtaka Mkapa aongee ni ujinga tu sasa aongee nini? nini kigumu kuelewa hapo? mambo yameshatokea na yapo wazi iliyobaki ni watanzania kufanya wanaloweza kwa kufuata sheria na taratibu bila kuvunja sheria yoyote na kuhakikisha haki kwa wananchi inatendeka na kwa Mkapa vilevile.
Who the hell do they think they are? Does the public really want to know about this? I think the Nyereres are being overrated and they think they are too big for themselves. Do they deserve all the attention they are getting? If they treat Mkapa as one of their 'family member' as they claim- then this is a family matter and they should have dealt with it discreetly.
Hili mwalimu alilifurahia akiwa hai!(1995 ILIPOTUNGWA)"MR CLEAN AKITANGAZA MALI ZAKE!"Ghafla mwalimu katutoka!Wakamfisadi akiwa kaburini mnamo mwaka 2002!Yeye pamoja na Watanzania wote!(KWA KUGOMA KUTANGAZA MALI ZAKE KAMA ALIVYOFANYA WAKATI AKIPEWA MADARAKA NA MWALIMU!NA KWA KUREKEBISHA SHERIA ZA NCHI ILI KUULINDA UFISADI HUO NA KUWAFICHA WANANCHI TAARIFA KUHUSU MALI HIZO ZILIZO WALIZOIBA!Mashirika kadhaa ya kiraia yamefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu kupinga kanuni batili zilizomo kwenye sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1995 iliyorekebishwa mwaka 2002.
SAA YA UKOMBOZI NI SASA!NGUVU YA UMMA!Kwa mujibu taarifa iliyotolewa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) jana jijini Dar es Salaam, kesi hiyo imefunguliwa na Mtandao wa Asasi za Kusini mwa Afrika za Haki za Binadamu (SAHRINGON), Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Asasi inayojishughulisha na Haki za Wanawake (KIVULINI), Shirika la Kitaifa la Msaada wa Sheria (nola) pamoja na TAMWA.
Vifungu hivyo vinampa Mtanzania taarifa za mapato, rasilimali na madeni ya kiongozi, lakini cha kushangaza kanuni ya 7(2)(c) inazuia aliyeziona taarifa za mali za viongozi kuzizungumzia popote
UGAIDI DHIDI YA MTANZANIA!
UZALENDO WA KWELI NA HAKI KWA MTANZANIA!Kadhalika mashirika hayo yanaitaka Mahakama Kuu kutamka kuwa Mtanzania yeyote ana haki ya kupewa na kuchapisha taarifa kuhusiana na mapato, rasilimali na madeni ya viongozi wa umma bila vipingamizi ili mradi atatunza maadili na usalama wa taifa.
HAYA NI BAADHI TU YA YALE TUNAYOYAPIGIGANIA BAADHI YETU WANA JF NA WAZALENDO WOTE DAY IN DAY OUT!"KATIBA MPYA!"Taarifa ilisema mashirika hayo pia yanaomba nguvu ya mahakama kuhakikisha kuwa masilahi ya umma yanazingatiwa kutokana na sheria hii.
Baadhi ya wananchi waliohojiwa waliunga mkono sheria hiyo kuchambuliwa na kufutwa kwa vile haisaidii nchi mbali na kuendeleza ufisadi.
Walifafanua kwamba, ingawa mali ya mtu ni suala binafsi, lakini kiongozi wa umma hana tena ubinafsi, ni lazima anaowaongoza wawe na uwezo wa kujua mali zake.
Pedro,
Ukoo wa Nyerere unafahamu kwamba Mr Dirty kafanya unyang'au wote huu, na hawataki kukurupuka na kusema kwamba wamemtoa ukooni huyu Dirty guy. Kwa kuwa walimwalika ukooni ndugu Dirty, sasa hivi wanatafuta opportunity ya yeye (Mr Dirty) kama mwanaukoo wao kutoa maelezo kwa watanzania wote kwa kuwa yeye (Mr Dirty) amekua anawakimbia waandishi wa habari ama mtu yoyote ambaye alikuwa akitaka kupata maelezo ya kwanini yeye aliitumia Ikulu kama sehemu ya kuwaibia Watanzania.
Tuwashukuru wana-ukoo wa Nyerere kwa kuweza kumbana huyu Dirty guy. Tusije kushangaa kusikia Bwana Dirty akileta kiburi tena na kukataa kwenda kwenye kikao cha ukooni. Hapa atakuwa anazidi kujiharibia personality yake.
Lets wait and see.