Mkapa above the law?: Allegations

Mzee kala buyu, mate yamejaa kinywani,Mkapa sasa anajiuliza kumbe haya matanzania na yenewe huchikizwa na jambo? laa!!! yameanza kuquestion every thing, itakuweje? ama nile kona?
 
Hata Bubu Huwa Anaongea Kwa Ishara Tu Nasi Tunamuangalia Aongee Kwa Ishara Tutaelewa.........
 
Corruption allegations: Nyerere family to `summon` Mkapa

-Will be asked to explain himself

THISDAY REPORTER
Musoma

THE family of the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere intends to summon ex-president Benjamin Mkapa to Butiama Village next month to discuss widespread allegations of corruption and abuse of office now besetting the former head of state.

A member of the Nyerere family, Peter Wanzagi, has confirmed to THISDAY that Mkapa, who holds the position of honorary son of Nyerere’s Zanaki tribe, will be called to the family meeting scheduled for next month.

He will be asked to explain the allegations being made against him, Wanzagi said.

The family meeting at Nyerere’s birthplace of Butiama in Mara Region, will be chaired by the current Zanaki tribal chief Japhet Wanzagi.

Said Peter Wanzagi, who is also Butiama Village councillor: ’’Mkapa is one of us (family), so we have seen fit to call him to the family meeting, where we will discuss these allegations against him.’’

He explained that if the corruption allegations against Mkapa are genuine, the family will decide what to do about it, including possibly kicking him out of the family and denouncing his honorary status.

Although not a native of Butiama Village in Mara Region, the ex-president was made an honorary son of the small but influential Zanaki tribe some four years ago.

Mkapa was hand-picked by Nyerere to become the country’s president in 1995, and has remained close to the Wanzagi clan even after the death of the Father of the Nation in 1999.

According to Peter Wanzagi, corruption and abuse of public office were totally against Nyerere’s teachings on integrity and ethical leadership.

On the other hand, another senior member of the Nyerere family, Joseph Butiku, said isolating Mkapa from family gatherings for the corruption allegations would be too drastic a move.

’’I don’t think it is appropriate to isolate a family member just because he or she may have done something wrong,’’ said Butiku, who is also executive director of the Mwalimu Nyerere Foundation.

Butiku has already gone on record for publicly declaring that Mkapa betrayed the late Nyerere in opting to engage in private business dealings while at State House.

The Mwalimu Nyerere Foundation chief executive has repeatedly challenged the ex-president to come out of his shell and defend himself against the allegations of corruption and abuse of office, instead of his current stance of maintaining an odd silence.

With pressure now mounting from within the National Assembly for an official investigation against him, insiders say Mkapa may only now be considering coming clean on the accusations, under advice from close aides.

The various allegations facing the ex-president cover his 10-year tenure as head of state from 1995 to 2005, and are threatening to seriously stain his legacy in government as ’Mr Clean.’

The Prime Minister, Mizengo Pinda, on Thursday announced the government’s intention to take a closer look at, and probably act on the allegations against Mkapa.

Among other things, the ex-president and former first lady Anna Mkapa are reported to have registered a private company, ANBEM Limited, in 1999 (while still at State House), listing themselves as sole directors and ’entrepreneurs.’

With ANBEM Ltd operating from within the official State House walls in Dar es Salaam, Mr and Mrs Mkapa obtained loans of up to 750m/- from the National Bank of Commerce and CRDB Bank Limited.

It has also been reported that in 2004, Mkapa, former cabinet minister Daniel Yona (with both still in public office), and various close relatives jointly registered another private company under the name of Tanpower Resources Limited.

It has been further reported that the following year (2005), the two of them went on to oversee the ’fast-track’ privatization and sale of the government-owned Kiwira coal mine to Tanpower Resources, at a ridiculously cheap price of just 700m/-.

The infrastructure at the Kiwira mine was built by the state at a cost of 4bn/- in the 1980s, and the coal deposits alone are estimated to be worth hundreds of billions of shillings.

Out of the 700m/- purchase price, Tanpower Resources are understood to have made a down payment of just 70m/- for a majority stake in the coal mine, and proceeded to sign a lucrative $271.8m (approx. 326bn/-) power generation deal with the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) in March 2006.

When asked numerous times last year to respond to all these reported allegations, Mkapa opted to maintain an odd silence, remarking at one public function that he was now a retired politician and should therefore be allowed to ’rest.’
 
Tutaona Kama Bubu This Tiome Atajua Kusema Au Atabakia Kimya..........

Huyu jamaa nilikuwa simwamini tangu alipoamua kuikalia ripoti ya Warioba kuhusu rushwa. Alifanya kampeni zake vizuri na kuahidi kupambana na rushwa. Alipoingia madarakani tu 1995 akaunda tume iliyoongozwa na Warioba na ripoti ilipokamilika akaamua kutoifanyia kazi.

Pia alikuwa anapenda sifa sana za kutoka IMF na WB mashirika ambayo policies zake zimeathiri sana nchi za kiafrika ikiwemo Tanzania. Policies kama za ubinafsishaji na kushusha thamani ya pesa za nchi mbali mbali.

Wakati huo huo akijitapa kwamba uchumi umekuwa hata IMF na WB wanasema hivyo asilimia kubwa ya Watanzania walikuwa wanalalamika kuhusu kuongezeka kwa ugumu wa maisha lakini hakusikia vilio hivyo maana alikuwa busy akifanya ufisadi ndani ya Ikulu ili ajitajirishe.

Naam labda siku ya bubu kusema haiko mbali maana naona jamaa anazidi kubanwa kila kukicha. Kama alidhani kuwa Rais wa Tanzania kutamlinda asifunguliwe mashtaka kwa ufisadi alioufanya akiwa Rais, basi ameula wa chuya. The noose is tightening very fast.

Mungu ibariki Tanzania
 
Who the hell do they think they are? Does the public really want to know about this? I think the Nyereres are being overrated and they think they are too big for themselves. Do they deserve all the attention they are getting? If they treat Mkapa as one of their 'family member' as they claim- then this is a family matter and they should have dealt with it discreetly.
 


He explained that if the corruption allegations against Mkapa are genuine, the family will decide what to do about it, including possibly kicking him out of the family and denouncing his honorary status. size]



Kuna msemo unasema siku za mwizi ni arobaini. Arobaini za Mr Dirty zinakaribia. This will be a good lesson to him and others of his caliber.

I commend this action.
 
Mwaka huu kuna kazi. Mimi niliwahi andika mwaka 1995 kwamba Mkapa hakuwa clean, alikuwa hajapata nafasi ya kuchota zaidi ya vile visenti vya waomba scholarship pale wizara ya elimu ya juu.

Nakumbuka wakati huo kuna watu wengi sana walinishambulia na kusema naleta uzushi. Mungu mkubwa, karibu wote sasa wanaelewa kwamba haikuwa majungu.
 
Mwaka huu kuna kazi. Mimi niliwahi andika mwaka 1995 kwamba Mkapa hakuwa clean, alikuwa hajapata nafasi ya kuchota zaidi ya vile visenti vya waomba scholarship pale wizara ya elimu ya juu.

Nakumbuka wakati huo kuna watu wengi sana walinishambulia na kusema naleta uzushi. Mungu mkubwa, karibu wote sasa wanaelewa kwamba haikuwa majungu.

..duuh, Mtanzania bwana........ nawe umedumu kweli mshirika, eti "mwaka 1995 niliwahi kuandika"....... enzi hizo mimi nd'o najifunza a e i o u na ba be bi bo bu,..... kumbe mwenzetu ulishaanza 'kumkoma nyani giladi' tayari!! loooooh, kweli jf ina magwiji :)

have a nice wkend buddy,

kunradhi wana jf kwa kuwa out of topic.
 
Duh!, mambo yanazidi kuwa mazito kwa BWM. kwa nini asiwaeleze watanzania yaliyotokea kwa uwazi na ukweli. au zama za uwazi na ukweli ziliisha pale alipoondoka madarakani?
 
Hivi watu wanaong'ang'ania Mkapa aongee wana fikiria nini? kila kitu kiko wazi sasa wao wanataka yeye aseme nini?

Watanzania wamekaangwa na mafuta yao wenyewe full stop. Mtu anawakopa watanzania milioni 750, halafu ananunua mali ya watanzania yenye thamani ya bilioni 400 mara 70 and then mara 70 tena, lakini kwa bei ya shilingi milioni 700 and probably hata hiyo milioni 700 waliyokubaliana hajaimalizia and at the same time anaweka dili la kulipwa mabilioni duu. Sasa hapo watu wanataka afanyae nini? jamaa ana hela kuliko Bill Gates sio wajibu wake hata kidogo kusema chochote because anything he says could be used against him in the court of law.

Wanaotakiwa kusema ni serikali na kufuatilia mchakato mzima kama ulikuwa wa haki au la, kuona kama serikali iliuza huo mgodi kwa manufaa ya watanzania au la, maana ubinafsishaji unaozungumzwa na IMF au world bank maana yake ni wananchi wafaidike na wawekezaji watajirike kihalali bila kumuumiza mtanzania.

Na kama jamaa walijiuzia kinyume na sheria bila kufuatilia kanuni za tenda nakadhalika basi ni wajibu wa serikali kufuatilia na kubatilisha hiyo mikataba nakadhalika lakini kumtaka Mkapa aongee ni ujinga tu sasa aongee nini? nini kigumu kuelewa hapo? mambo yameshatokea na yapo wazi iliyobaki ni watanzania kufanya wanaloweza kwa kufuata sheria na taratibu bila kuvunja sheria yoyote na kuhakikisha haki kwa wananchi inatendeka na kwa Mkapa vilevile.
 
Hivi watu wanaong'ang'ania Mkapa aongee wana fikiria nini? kila kitu kiko wazi sasa wao wanataka yeye aseme nini?

Watanzania wamekaangwa na mafuta yao wenyewe full stop. Mtu anawakopa watanzania milioni 750, halafu ananunua mali ya watanzania yenye thamani ya bilioni 400 mara 70 and then mara 70 tena, lakini kwa bei ya shilingi milioni 700 and probably hata hiyo milioni 700 waliyokubaliana hajaimalizia and at the same time anaweka dili la kulipwa mabilioni duu. Sasa hapo watu wanataka afanyae nini? jamaa ana hela kuliko Bill Gates sio wajibu wake hata kidogo kusema chochote because anything he says could be used against him in the court of law.

Wanaotakiwa kusema ni serikali na kufuatilia mchakato mzima kama ulikuwa wa haki au la, kuona kama serikali iliuza huo mgodi kwa manufaa ya watanzania au la, maana ubinafsishaji unaozungumzwa na IMF au world bank maana yake ni wananchi wafaidike na wawekezaji watajirike kihalali bila kumuumiza mtanzania.

Na kama jamaa walijiuzia kinyume na sheria bila kufuatilia kanuni za tenda nakadhalika basi ni wajibu wa serikali kufuatilia na kubatilisha hiyo mikataba nakadhalika lakini kumtaka Mkapa aongee ni ujinga tu sasa aongee nini? nini kigumu kuelewa hapo? mambo yameshatokea na yapo wazi iliyobaki ni watanzania kufanya wanaloweza kwa kufuata sheria na taratibu bila kuvunja sheria yoyote na kuhakikisha haki kwa wananchi inatendeka na kwa Mkapa vilevile.

Pedro,

Ukoo wa Nyerere unafahamu kwamba Mr Dirty kafanya unyang'au wote huu, na hawataki kukurupuka na kusema kwamba wamemtoa ukooni huyu Dirty guy. Kwa kuwa walimwalika ukooni ndugu Dirty, sasa hivi wanatafuta opportunity ya yeye (Mr Dirty) kama mwanaukoo wao kutoa maelezo kwa watanzania wote kwa kuwa yeye (Mr Dirty) amekua anawakimbia waandishi wa habari ama mtu yoyote ambaye alikuwa akitaka kupata maelezo ya kwanini yeye aliitumia Ikulu kama sehemu ya kuwaibia Watanzania.

Tuwashukuru wana-ukoo wa Nyerere kwa kuweza kumbana huyu Dirty guy. Tusije kushangaa kusikia Bwana Dirty akileta kiburi tena na kukataa kwenda kwenye kikao cha ukooni. Hapa atakuwa anazidi kujiharibia personality yake.

Lets wait and see.
 
Who the hell do they think they are? Does the public really want to know about this? I think the Nyereres are being overrated and they think they are too big for themselves. Do they deserve all the attention they are getting? If they treat Mkapa as one of their 'family member' as they claim- then this is a family matter and they should have dealt with it discreetly.


Haswa, Mkuu! Huyu bwana ni honorary member wa kabila na si ukoo! Huku ni kutafuta umaarufu pasipo na maana. Kama kweli wanaona ni mwanao wamwite wamalizane wao wenyewe bila kutuhusisha sisi wengine. Akikataa? Watamtenga katika familia? Akikubali kuwa kweli hivyo vijisenti kavuta, watamfanya nini? Je, hayo mazungumzo nayo wataweka hadharani? Upuuzi tu.
 
Sheria inayozuia mali za vigogo kutangazwa yapingwa kortini

2008-04-26 09:22:57
Na Mwandishi Wetu

Mashirika kadhaa ya kiraia yamefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu kupinga kanuni batili zilizomo kwenye sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1995 iliyorekebishwa mwaka 2002.
Hili mwalimu alilifurahia akiwa hai!(1995 ILIPOTUNGWA)"MR CLEAN AKITANGAZA MALI ZAKE!"Ghafla mwalimu katutoka!Wakamfisadi akiwa kaburini mnamo mwaka 2002!Yeye pamoja na Watanzania wote!(KWA KUGOMA KUTANGAZA MALI ZAKE KAMA ALIVYOFANYA WAKATI AKIPEWA MADARAKA NA MWALIMU!NA KWA KUREKEBISHA SHERIA ZA NCHI ILI KUULINDA UFISADI HUO NA KUWAFICHA WANANCHI TAARIFA KUHUSU MALI HIZO ZILIZO WALIZOIBA!
Asasi hizo tano zimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga kanuni; 6 (1), ( 2) na ya 7 (2) (c) ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1995.

Kwa mujibu taarifa iliyotolewa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) jana jijini Dar es Salaam, kesi hiyo imefunguliwa na Mtandao wa Asasi za Kusini mwa Afrika za Haki za Binadamu (SAHRINGON), Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Asasi inayojishughulisha na Haki za Wanawake (KIVULINI), Shirika la Kitaifa la Msaada wa Sheria (nola) pamoja na TAMWA.
SAA YA UKOMBOZI NI SASA!NGUVU YA UMMA!
Taarifa ilisema mashirika hayo yanaona kuwa kanuni za 6 (1) na (2) ina vipengele vinavyomzuia mwananchi kupata taarifa zinazotolewa na viongozi wa umma kuhusiana na rasilimali, mapato au madeni yao.

Taarifa za mali za viongozi zinapaswa kupokelewa na Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kama inavyoagizwa na Katiba ya Tanzania kwenye ibara ya 132 kifungu kidogo cha 4 na cha (5) (b).

Vifungu hivyo vinampa Mtanzania taarifa za mapato, rasilimali na madeni ya kiongozi, lakini cha kushangaza kanuni ya 7(2)(c) inazuia aliyeziona taarifa za mali za viongozi kuzizungumzia popote
UGAIDI DHIDI YA MTANZANIA!
Kanuni hizo zinapingana na ibara ya 18 ya Katiba yenye vipengele (a), (b), (c) na (d) vinavyompa Mtanzania uhuru na haki ya habari.

``Mashirika yamefungua kesi kuomba tafsiri ya mahakama, kutamka kuwa kanuni 6 (1) ( 2) na kanuni 7 (2) (c) za sheria hiyo ya maadili ni batili kwa kupingana na ibara ya 18 ya katiba ya nchi.``

Taarifa iliendelea kusema kuwa ibara ya 9 ya Sheria hiyo ya Maadili, ibara ya ibara ndogo ya (1) na ile ya 14, zinatoa mwanya wa kufunguliwa kesi ya jinai kwa mtu au chombo kitakachotangaza taarifa kuhusiana na mali za viongozi wa umma.

Kadhalika mashirika hayo yanaitaka Mahakama Kuu kutamka kuwa Mtanzania yeyote ana haki ya kupewa na kuchapisha taarifa kuhusiana na mapato, rasilimali na madeni ya viongozi wa umma bila vipingamizi ili mradi atatunza maadili na usalama wa taifa.
UZALENDO WA KWELI NA HAKI KWA MTANZANIA!

Taarifa ilisema mashirika hayo pia yanaomba nguvu ya mahakama kuhakikisha kuwa masilahi ya umma yanazingatiwa kutokana na sheria hii.

Baadhi ya wananchi waliohojiwa waliunga mkono sheria hiyo kuchambuliwa na kufutwa kwa vile haisaidii nchi mbali na kuendeleza ufisadi.

Walifafanua kwamba, ingawa mali ya mtu ni suala binafsi, lakini kiongozi wa umma hana tena ubinafsi, ni lazima anaowaongoza wawe na uwezo wa kujua mali zake.
HAYA NI BAADHI TU YA YALE TUNAYOYAPIGIGANIA BAADHI YETU WANA JF NA WAZALENDO WOTE DAY IN DAY OUT!"KATIBA MPYA!"
Hivi karibuni, wanasiasa wa kambi ya upinzani na waandishi wa habari waliokwenda Tume ya Maadili ili kujua mali walizohorodesha viongozi kadhaa, akiwemo aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Bw. Andrew Chenge, waliambiwa kwamba wanaweza kuperuzi mafaili ya wahusika baada ya kueleza sababu lakini hawaruhisiwi kutangaza watakachokiona.

Kikubwa kilichokuwa kinatafutwa na waandishi wa habari ikiwemo Nipashe ni kufahamu iwapo Bw. Chenge anayetuhumiwa kuficha zaidi ya Sh. bilioni 1.2 katika akaunti iliyofunguliwa nchini Uingereza aliandikisha mali hizo kwa sekretariati hiyo.

Baadhi ya wanasiasa kutoka katika kambi ya upinzani walikuwa na majina kadhaa ya vigogo waliotaka kujua mali zao ambao wamo kwenye orodha yao maarufu kama �list of shame�.
  • SOURCE: Nipashe
blank.gif
blank.gif
Habari za Leo

blank.gif
blank.gif

blank.gif
blank.gif





blank.gif
blank.gif






blank.gif
blank.gif
blank.gif
ippmediadotcom_gr.gif
blank.gif
blank.gif
 
Pedro,

Ukoo wa Nyerere unafahamu kwamba Mr Dirty kafanya unyang'au wote huu, na hawataki kukurupuka na kusema kwamba wamemtoa ukooni huyu Dirty guy. Kwa kuwa walimwalika ukooni ndugu Dirty, sasa hivi wanatafuta opportunity ya yeye (Mr Dirty) kama mwanaukoo wao kutoa maelezo kwa watanzania wote kwa kuwa yeye (Mr Dirty) amekua anawakimbia waandishi wa habari ama mtu yoyote ambaye alikuwa akitaka kupata maelezo ya kwanini yeye aliitumia Ikulu kama sehemu ya kuwaibia Watanzania.

Tuwashukuru wana-ukoo wa Nyerere kwa kuweza kumbana huyu Dirty guy. Tusije kushangaa kusikia Bwana Dirty akileta kiburi tena na kukataa kwenda kwenye kikao cha ukooni. Hapa atakuwa anazidi kujiharibia personality yake.

Lets wait and see.

Sawasawa it is a very good gesture kutoka kwa ukoo wa Nyerere, labda itasaidia kuleta mwanga zaidi, lakini wajibu mkubwa upo kwa serikali ya Tanzania kufuatilia hili jambo maana serikali ndio wananchi na haiwezekani kufurahia kuibiwa mchana kweupe kila mtu akiona.
 
Wakuu pole pole I mean slow down please, hii ni bongo sio Ulaya hapa, at this time and moment, sisi as a nation tuko radhi ku-take anything kinachoweza kutufikisha kwenye ukweli wa hawa mafisadi, I mean anything, hapa the ishu sio the Nyerere ambao wamekuwa wakiwakumbatia sana mtandao, na hata Mama Maria kumpa muungwana Biblia aliyodai aliachiwa na Mwalimu,

No hapa our national interest ni ukweli wa ufisadi wa makapa na wenziwe, tunachohitaji ni kupenyeza watu wetu huko ili tujue kitakachojiri kwenye hayo mazungumzo, kwa sababu knowing the remainng Nyereres as I know them now, wengi wao wameanza kuwa wajanja wajanja, yaani watapeli sasa I hope hii sio njia ya kutaka kum-blackmail makapa, au sisi wananchi,

Kwa hiyo as a nation, yaani wananchi ni lazima tuwe makini sana na huu mchezo mzima na kuhakikisha kuwa unaishia kuwa profitable kwetu, kwa sababu one mistake ni sisi wanannchi ndio tutaishia kuwa politically blackmailed na wote yaani the Nyereres na makapa, na hasa Butiku, kama ni kikao chao cha familia wafanye, ingawa pia nina wasi wasi sana na kikao cha familia kinachotangazwa mpaka kwenye media, I hope sio rostam ambaye yuko behind hii deal, na hii umerushwa tu hapa na kwenye media kupima upepo of how this hype inaweza kutumika kupunguza sauti ya wananchi on uchunguzi wa ufisadi wa makapa,

Hawa the Nyereres nao wanahitaji kuulizwa maswali machache:-

1. Kwamba how did they make this guy wa kabila lisilo lao kuwa a member wa hiyo clan? What was the motive behind it? Alikuwa na nafasi ipi kitaifa wakati wanampa?

2. Je wameshawahi kuwapa watu wengine hiyo priviledge waliyompa makapa ya kuwa member wao? Na walimpa lini? Je hao wangine walipopewa kama wapo wana nafasi gani katika taifa letu au waliwahi kushika nafasi zipi?

3. Nini faida na hasara zake, yaani kuwa au kutokuwa member wa hiyo clan kwa viongozi wengine? Je muungwana naye ni member huko?

Ni muhimu kwa viongozi wetu wa taifa wakajiepusha kabisa na hii kitu ya familia, tumenyonywa vya kutosha, tumeonewa vya kutosha, sasa hatutaki kuendelea kuchezewa, maana tumechezewa vya kutosha na hasa na huyu makapa na wenziwe, na the Nyereres tunawaomba watusaidie wananchi na taifa zima kwa kumuelewesha huyu makapa kuwa the right thing ni kwa yeye kuomba afutiwe immunity ili aende mahakamani kusafisha jina lake, jina lake haliwezi kusafishwa huko kwenye vikao vya familia, tunazo akili za kutosha sana sisi wananchi sio mazezeta tena kama zamani, wasjaribu kubadili the agenda na huu ujanja ujanja, wafanye mambo yao huko kifamilia lakini asitokee kiongozi yoyote wakutaka kutudanganya baada ya hicho kikao,

Huyu ni lazima tu afike kwenye mkono wa sheria ya wananchi! Wananchi tuna haki ya kusikiliza au kutosikiliza maamuzi ya hicho kikako cha familia, hiii ni lazima iwe wazi na very clear kwa viongozi wetu, the final desicion is ours yaani wananchi sio the Nyerere!
 
..watoto wawili wa Mwalimu walikuwa bungeni wakati Mkapa anafanya uhalifu. Kwanini walinyamaza kimya?

..na hii habari ya kupeana Biblia na Rozari nadhani ni kuchezea Dini.
 
Mkweli Mkuu FMES

Hayo ni ya familia waendelee tu.

Mkapa aliwekwa na watanzania na siyo familia ya mwalimu pamoja na kwamba mwalimu alimpigia kampeni na alikuwa kijana wake.

Tanzania kama taifa tuna katiba yetu, tuna jinsi tunavyotatua matatizo ya kitaifa. Kama Mkapa amefanya biashara kinyume cha katiba ya nchi inatakiwa ashughulikiwe kwa mjibu wa katiba na taratibu za nchi.

Kinachohitajika ni Mkapa kuondolewa kinga na akayamalizie mahakamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom