jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Ina maana wewe ni Mkapa unazungumza hapa?Halafu tabia ya kuita mtu fisadi bila ushahidi, ni upungufu wa akili na zaidi ni tamaa tu nyinyi mwategemea mi nikae Ikulu kwa miaka kumi, wakati huu wa biashara huria nitoke bila kitu mna akili nyie, fanyeni kazi acheni wivu anaechagua watu na kuwapa madaraka makubwa ni nani? vyie vipi acheni tule nchi yetu hii kama wewe huna chanel hama nchii! Ebo!
Pls let us know!