Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

i smell popular uprising.................

I usually like to sing this song

Natural mystic

There's a natural mystic blowing through the air;
If you listen carefully now you will hear.
This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why.

Things are not the way they used to be,
I won't tell no lie;
One and all have to face reality now.
'Though I've tried to find the answer to all the questions they ask.
'Though I know it's impossible to go livin' through the past -
Don't tell no lie.

There's a natural mystic blowing through the air -
Can't keep them down -
If you listen carefully now you will hear.

There's a natural mystic blowing through the air.

This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why.

There's a natural mystic blowing through the air -
I won't tell no lie;
If you listen carefully now you will hear:
There's a natural mystic blowing through the air.
Such a natural mystic blowing through the air;
There's a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air;
Such a natural mystic blowing through the air
 
Wale vijana am sure hayo maneno yaliwatoka tuu kwa uchungu wa kuona wako kijiweni in one way or the other kwasababu ya uyo fisadi.
Wawasamee ilikuwa jazba tuu.
 
Unataka kujua nini kimebadilika? Wezi na majambazi wakubwa kama Manji, Jiitu Patel, Rostam Azizi na wengineo wameongeza ulinzi mara kibao ili kujilinda kwa vile hawajui siku wala saa ambayo watanzania watasimama kwa miguu yao, na kutumia mikono yao kudai kilicho chao - na hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno!

MWafrika wa kike,
wewe unapiga mayowe ila umeshindwa kuingia katika ushindani ili uweze kushindana na walioshinda.

Umeanza kuleta viroja badala ya hoja,hakuna haja ya kunishambulia kwa hoja dhaifu,sasa kama Manji,Patel na Rostam wameongeza Walinzi inatusaidia sisi watanzania??

Lengo ni kuwazomea na kuwadhuru??Nadahani unautambua utawala washeria kuhusu hili.Usiongee kama umetoka usingizini huku ukitafakari ndoto yako ambayo ina picha ya mwaka 1994 huko Rwanda.

Amka na weka hoja za Maana,Nini kifanyike ili watu hwa wafikishwe mahakamani na wahukumiwe kama wakipatikana na hatia,Siyo kusema flani asulubiwe,amwagie mavi ,amwagiwe Tindikali na zaidi ya yote aozmowe na kutusiwa sababu yeye ni fisadi.

Mkapa ana haki kama Mtanzania yeyote ila zaidi ya yote ana kinga ya kutoshitakiwa mahakamani kuliko watanzaia wengine milllioni 40.
 
Wale vijana am sure hayo maneno yaliwatoka tuu kwa uchungu wa kuona wako kijiweni in one way or the other kwasababu ya uyo fisadi.
Wawasamee ilikuwa jazba tuu.

Siamini kama unaweza kusema maneno haya enzi hizi, mbona unaturudisha nyuma hivi, najua jela hakufai lkn hao ni mashujaa wetu tena nawapa heshima kubwa sana

wasamehewe kwa kutenda kosa lipi?????? aiseee.... mbona huna rudinyima na kukata tamaa ta maisha hivi??? huu ni muda wa ukombozi ukombozi hautaweka kuja kwa njia soft kaka hii ni moja ya harakati

na kwa kufipi what police have done is in our favor

continue to sing all the songs they dont like to hear USIKATE TAMAA...
 
Siamini kama unaweza kusema maneno haya enzi hizi, mbona unaturudisha nyuma hivi, najua jela hakufai lkn hao ni mashujaa wetu tena nawapa heshima kubwa sana
Huu ndiyo ushujaa wa Mtanzania Makini??nini maana ya shujaa??wameshinda kitu gani mpaka tuwaite mashujaa..
Tuandamane,Njoo na hoja mkuu
 
Acha kupotosha watu,Lengo lako ni lipi?huu ndio unafiki na habari za kufikirika.

Mkulu Gembe,

Inawezekana wewe ukaona kuwa habari za Mkapa na ufisadi wake ni kitu kidogo na sio big deal. Naomba uelewe kuwa kwa wengine ni kitu kinachoumiza sana.

Ukiachia juhudi zake za kukandamiza upinzani kwa kutumia usalama wa taifa na polisi na kuhakikisha kuwa anafuta kabisa nguvu ya upinzani iliyokuwepo mwaka 1995 na kuelekea kuumaliza kabisa mwaka 2005, mimi nilikuwa namuadmire Mkapa kiaina kwa baadhi ya mambo aliyofanya Tanzania.

Ningeweza kumsamehe kwa kunipiga mabomu nilipohudhuria moja ya mikutano ya Mkombozi wa wanawake na wafanyakazi wa Tanzania AKA mzee wa Kiraracha - Mrema. Ningeweza kumsamehe kwa kutumia mbinu na intimidation za hali ya juu dhidi ya wapinzani - kama vile kufuta leseni ya uwakili ya Lamwai na mengineyo. Ningeweza pia kumsamehe kwa mauaji ya january 2001 nk, ningeweza kumsamehe kwa kuwaita watanzania kuwa wana wivu wa kike.

Pamoja na kuwa tayari kumsamehe Mkapa kwa hayo yote, nimeshindwa kabisa kumsamehe mtu aliyefungua genge ikulu, aliyehusika na wizi wa pesa za watanzania kwenye ununuzi wa rada, aliyehusika na matatizo ya umeme, aliyenunua mgodi kwa mbinu chafu na mengine mengi ambayo wanasheria wanajiaandaa kumfungulia mashitaka.

Kwa hayo na mengine mengi, nakushauri uelewe dissapointments kwa members wa JF na usichukulie feelings zao kwa urahisi. Mkapa ni mwizi, fisadi na muuaji (kwa kujitajilisha kwa pesa za watanzania huku watoto na mama wajawazito wakifia hospitalini bila dawa) na katika hili watanzania wana kila haki ya kupiga mayowe na makelele ya hali ya juu kila wanapomuona.
 
Huu ndiyo ushujaa wa Mtanzania Makini??nini maana ya shujaa??wameshinda kitu gani mpaka tuwaite mashujaa..
Tuandamane,Njoo na hoja mkuu

Gembe sitaki kuongea na wewe, bado uko mbali kabisa na dunia ya kweli, ama umetumwa, ama uelewa wako ni mdogo sana, ama unaamua tu kibisha an mengine mengi ya namna hiyo, Dont qoute ma comments kabisa we yasome waachie wengine wachangie

kila ninaposoma point zako nakuona uko upande wa mafisadi, POLE KWA KUTATIWA MIRIJA WATANZANIA TUMEAMKA,

narudia tena HAO VIJANA NI MASHUJAA

my case with you is C.L.O.S.E.D
 
MWafrika wa kike,
wewe unapiga mayowe ila umeshindwa kuingia katika ushindani ili uweze kushindana na walioshinda.

Unavyosema kuwa nimeshindwa kuingia kwenye ushindani una maana gani hapa? Unadhani kuwa lazima kila mtu awe pale mnazi mmoja akitoa speech ndefu basi ndio inakuwa ameingia kwenye ushindani?

Kuna watu wanachangia pesa, mawazo, security, habari, na vitu vingine vingi behind the scene na mapambano yakaendelea. Kama unasubiri kuniona mnazi mmoja basi umepotea njia.

Umeanza kuleta viroja badala ya hoja,hakuna haja ya kunishambulia kwa hoja dhaifu,sasa kama Manji,Patel na Rostam wameongeza Walinzi inatusaidia sisi watanzania??

Inakusaidia kujua kuwa siku za mafisadi zinahesabiwa ... tik tak tik tak tik tak ........

Lengo ni kuwazomea na kuwadhuru??Nadahani unautambua utawala washeria kuhusu hili.Usiongee kama umetoka usingizini huku ukitafakari ndoto yako ambayo ina picha ya mwaka 1994 huko Rwanda.

Nani alikuambia kuwa utawatala wa sheria unazuia watu kuzomea? Hapa US tunamzomea Kichaka kila siku akipita na bado mambo ya Rwanda hayajatokea. Unamtisha nani na issue ya Rwanda hapa? Unadhani hii ni mwaka 1995 ambao ccm mliwatisha wananchi wa vijijini kuwa kuchagua upinzani ni kukaribisha mambo ya Rwanda?

Amka na weka hoja za Maana,Nini kifanyike ili watu hwa wafikishwe mahakamani na wahukumiwe kama wakipatikana na hatia,Siyo kusema flani asulubiwe,amwagie mavi ,amwagiwe Tindikali na zaidi ya yote aozmowe na kutusiwa sababu yeye ni fisadi.

Unatumia kipimo gani kupima hoja kama ni ya maana au sio. Ninafanya mambo kwa namna naona sawa na wewe unaruhusiwa kuendelea kuwatetea mafisadi. Ndio uzuri wa JF huo!

Mkapa ana haki kama Mtanzania yeyote ila zaidi ya yote ana kinga ya kutoshitakiwa mahakamani kuliko watanzaia wengine milllioni 40.

Wakati mafisadi wa ccm wakifikiria na kupanga namna ya kushitakiana, wananchi wataendelea kufanya kile wanachokiona kinawafaa kama vile ambavyo wanafanya kila siku kule vijijini kupambana na wanyama wakali wa mwituni wanaotaka kuwamaliza wao na mashamba yao - kujilinda dhidi ya mafisadi!
 
Huu ndiyo ushujaa wa Mtanzania Makini??nini maana ya shujaa??wameshinda kitu gani mpaka tuwaite mashujaa..
Tuandamane,Njoo na hoja mkuu

Hao ni mashujaa wakubwa na ninatafuta majina yao ili nitengeneze tisheti za kuwaenzi kwa kumzomea fisadi na mwizi Mkapa!
 
Gembe sitaki kuongea na wewe, bado uko mbali kabisa na dunia ya kweli, ama umetumwa, ama uelewa wako ni mdogo sana, ama unaamua tu kibisha an mengine mengi ya namna hiyo, Dont qoute ma comments kabisa we yasome waachie wengine wachangie

kila ninaposoma point zako nakuona uko upande wa mafisadi, POLE KWA KUTATIWA MIRIJA WATANZANIA TUMEAMKA,

narudia tena HAO VIJANA NI MASHUJAA

my case with you is C.L.O.S.E.D

Tuandamane,
Unaonesha TAbia ya Ubinafsi na tabia ya kuonekana wewe ndio unaweza kusema bila kupingwa na mtu yeyote,siku zote Jf tumekuwa mstari wa mbele kueleza mabaya ya serikali na kusifia machache mazuri.

Naweza kuwa upande wa Mafisadi,ila mafisadi sio ambo wewe unawawafahamu kwa ufahamu wako,manaa ufisadi una maaana nyingi.

Naomba nisisitize na kutilia mkazo jambo moja la Muhimu,siyo kwamba napenda Mabaya aliyoafanya Mkapa,ila nachosisitiza hapa ni nini kifanyike ili aweze kushitakiwa.siyo kuzungumza tu,tunajua fika kwamba maneno bila vitendo ni swa na kazi bure.

tufikirie nini cha kufanya,tupo hapa kw ajili ya watanzania wenzetu,tukianza kulalamika ooh afanywe hivi katika thread hii haitaisaidia sabau thread itaneda itaisha na habari mpya itakuja kuendelea.

Cha msingi tufanye nini,na hatua zipoi zifuatwe,sipendi kuanzisha jambo na likaishiakulaumu tu bila kuchukua hatua madhubuti.

Mwafrika wa kike,Tupo pamoja kwa point yako ya hapo juu.ila naomba uungane na mimi kutafuta tiba ya udgalimu alioufanya Mzee Mkapa,jambo nalopingana nalo ni la kumzomea,ambalo ni sawa na mtu mwenye mawazo mengi ya masiha,anakwenda kunywa pombe ili aondoe Mawazo na pombe inapokwisha anarudi katika khali yake ya kawaida.

Tuandamane,nitaendelea kuquote unachokiandika sababu siko hapa kwa ajili yako na wala sijalipwa na mtu yeyote.
 
Kwa habari hii ya sasa kwa hawa mabwana hili neno la fisadi ni tusi kubwa sana kwao na linawauma kweli kweli lakini wafanyaje.Wanagugumia hivyohivyo kiutuuzima.
 
Nimeamua kujiunga nanyi
1.Tumzomee Mkapa
2.Tumwagie Tindikali
3.ikiwezekna tuponde gari lake mawe
4.Tumuite Fisadi Mkuu

na naomba nimalizie na maneno haya ya Archibald MacLeish ,one of the best American poet and critic. 1892-1982

"We have learned the answers, all the answers:/ It is the question that we do not know."
 
Tuandamane,
Unaonesha TAbia ya Ubinafsi na tabia ya kuonekana wewe ndio unaweza kusema bila kupingwa na mtu yeyote,siku zote Jf tumekuwa mstari wa mbele kueleza mabaya ya serikali na kusifia machache mazuri.

Sijaona hii kuwa case kwenye michango ya Tuandamane hapa.

Naweza kuwa upande wa Mafisadi,ila mafisadi sio ambo wewe unawawafahamu kwa ufahamu wako,manaa ufisadi una maaana nyingi.

Naomba nisisitize na kutilia mkazo jambo moja la Muhimu,siyo kwamba napenda Mabaya aliyoafanya Mkapa,ila nachosisitiza hapa ni nini kifanyike ili aweze kushitakiwa.siyo kuzungumza tu,tunajua fika kwamba maneno bila vitendo ni swa na kazi bure.

Gembe,

hakuna makosa kuwa upande wa mafisadi, kuna wengi hapa walikuwa upande wa Mkapa kabla hawajajua uovu mkubwa kabisa aliofanya na kibri kubwa anayoonesha.

tufikirie nini cha kufanya,tupo hapa kw ajili ya watanzania wenzetu,tukianza kulalamika ooh afanywe hivi katika thread hii haitaisaidia sabau thread itaneda itaisha na habari mpya itakuja kuendelea.

Cha msingi tufanye nini,na hatua zipoi zifuatwe,sipendi kuanzisha jambo na likaishiakulaumu tu bila kuchukua hatua madhubuti.

Wakati cha kufanyika kinafikiriwa, inabidi watanzania watumie silaha ambayo kwa sasa wanayo - kuzomea mafisadi mpaka waione nchi chungu. Kumbuka kuwa hata Kikwete alikuwa anatetea Buzwagi na Richmonduli kabla hajakumbana na zahama la kuzomewa kule Kahama (lilifunikwa na usalama wa taifa).

Mwafrika wa kike,Tupo pamoja kwa point yako ya hapo juu.ila naomba uungane na mimi kutafuta tiba ya udgalimu alioufanya Mzee Mkapa,jambo nalopingana nalo ni la kumzomea,ambalo ni sawa na mtu mwenye mawazo mengi ya masiha,anakwenda kunywa pombe ili aondoe Mawazo na pombe inapokwisha anarudi katika khali yake ya kawaida.

Tuandamane,nitaendelea kuquote unachokiandika sababu siko hapa kwa ajili yako na wala sijalipwa na mtu yeyote.

Mkuu,

katika hili hauna choice, naomba tena ukikutana na Mkapa umshauri asiende kwenye functions huru kama michezo kwenye uwanja wa taifa maana atakiona cha moto. Atazomewa mpaka hizo pesa za wizi azione chungu.
 
Mtaambiwa hao Vijana wamekutwa na BANGI KETE KADHAA or MADAWA YA KULEVYA na wanafikishwa mahakani kwa kosa hilo, sitoshangaa kwa Jeshi letu linavyojua kubambika kesi tena hii ya "HEWALA MZEE USIJALI KILA KITU UNDER CONTROL"
 
Nimeamua kujiunga nanyi
1.Tumzomee Mkapa
2.Tumwagie Tindikali
3.ikiwezekna tuponde gari lake mawe
4.Tumuite Fisadi Mkuu

na naomba nimalizie na maneno haya ya Archibald MacLeish ,one of the best American poet and critic. 1892-1982

"We have learned the answers, all the answers:/ It is the question that we do not know."

Kwi kwi kwi kwi,

Mkulu Gembe, hayo ya kumwaga tindikali inabidi ufanye peke yako!
 
Naweza kuwa upande wa Mafisadi,ila mafisadi sio ambo wewe unawawafahamu kwa ufahamu wako,manaa ufisadi una maaana nyingi.

tufikirie nini cha kufanya,tupo hapa kw ajili ya watanzania wenzetu,tukianza kulalamika ooh afanywe hivi katika thread hii haitaisaidia sabau thread itaneda itaisha na habari mpya itakuja kuendelea.

Then u better be straight and contractive if not creative, unazunguka ndio maana hueleweki, na ndio maana nika question uwezo.
 
Halafu tabia ya kuita mtu fisadi bila ushahidi, ni upungufu wa akili na zaidi ni tamaa tu nyinyi mwategemea mi nikae Ikulu kwa miaka kumi, wakati huu wa biashara huria nitoke bila kitu mna akili nyie, fanyeni kazi acheni wivu anaechagua watu na kuwapa madaraka makubwa ni nani? vyie vipi acheni tule nchi yetu hii kama wewe huna chanel hama nchii! Ebo!
 
Kauli ya Mh.Waziri Mkuu wakati akizindua michuana ya Taifa Cup aliwaambia Viongozi waache kuchukia pale wanapo kosolewa sasa huyu FISADI MKUBWA anachukia kitu gani kwani hajayafanya?? kama hajatufisadi nchi yetu mbona hajibu tuhuma zinazo mkabili. Serikali iache tabia ya kuonea WANJONGE au amesahahu motto ya awamu yake alisema ni zama za ukweli na uwazi so kaambiwa UWAZI wa ufisadi wake anachukia nini??
Jamani tuwasaidie hawa vijana hadi kieleweke
 
Halafu tabia ya kuita mtu fisadi bila ushahidi, ni upungufu wa akili na zaidi ni tamaa tu nyinyi mwategemea mi nikae Ikulu kwa miaka kumi, wakati huu wa biashara huria nitoke bila kitu mna akili nyie, fanyeni kazi acheni wivu anaechagua watu na kuwapa madaraka makubwa ni nani? vyie vipi acheni tule nchi yetu hii kama wewe huna chanel hama nchii! Ebo!

Ama kweli mwaka huu tutashuhudia mengi. Sikujua watetezi wa mafisadi wamejaa kama mchwa kwenye kichuguu.
 
Back
Top Bottom