JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
Ni gharama juu ya gharama!!Yes anatembea na Msafara usiopungua gari tatu na piki piki moja ya kuongoza Msafara.
Inafaa tuwasaidie hao vijana maana sijaona kosa lao; wamejaribu kutumia uhuru wao pasipo kukashifu mtu! Kwani kuna kesi dhidi ya mkapa au bado ni tetesi??