Zee la shamba
Member
- Oct 17, 2007
- 55
- 7
Vijana hao watashtakiwa kwa kosa gani? kumzomea rais mstaaru au? mnaojua tuelimisheni
Nyani Ngabu,
Kwanini Wamrushie Mawe,Kwa kosa gani??hakuna aliye juu ya sheria,kama watanzania tunaona ana kosa basi ttumpeleke Mahakamai ili asurubiwe na sio kumuita Mtu fisadi.
Kosa la kuhatarisha Amani.Mathalani kama wangempiga Risasi Rais mstaafu unaju Madhara yake ni yapi.
Emmanuel Lengwa said:
Wananchi wenye hasira wamemshambulia kwa mawe na marungu na kumuua kijana mmoja Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma kuwa ni kibaka. Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Jamal Rwambow amesema tukio hilo limetokea jana mishale ya saa 3:00 asubuhi pale katika eneo la Mburahati Motomoto Jijini.
Akamtaja kijana aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi hao kwa tuhuma za wizi kuwa ni Eliya Kilyafoo, anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 20 na 25. Akasema mpaka sasa hakuna mtu yeyote anayeshikiliwa na Polisi kuhusiana na tukio hilo, na kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Mwananyamala.
Hata hivyo, Kamanda Rwambow hakusema kijana huyo amepatwa na umauti kwa kutuhumiwa na tukio gani la wizi. Badala yake Kamanda Rwambow ametoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mikononi mwao na wajenge mazoea ya kuwafikisha wahalifu kwenye vyombo vinavyohusika.
DEOGRATIAS MUSHI in Arusha said:Daily News; Monday,May 05, 2008 @00:03
Mob lynches man in Arusha
A MAN was on Saturday lynched by an angry mob at Moivaro village near Tengeru town, as he tried to break into a retail shop with an intention to steal. Arusha Regional Police Commander Mr Basilio Matei told Daily News here yesterday that Richard Tobias Mollel (24), who also resides at the same area was killed, as he tried to forcefully gain entry into the shop owned by a person who could only be identified by one name as Muwas.
Mr Matei said that Mollel had a history of being associated with various burglary incidents at the area, and the public had closely started monitoring his movements. The RPC further said that Mollel has a pending robbery case in court, which was first mentioned in January this year, and he had been released on bail. Before being killed, Mollel and other four people who managed to escape had already stolen some items from homes of Denison Ngoseki, Erasto Steven and Obeid Chifuwa.
The man is one of the few suspected hard core thieves at Tengeru town. In the recent past, he had been arrested by police and linked to several armed robbery cases, said Mr Matei. However, the RPC warned the people against taking the law into their hands, saying any suspect should be arrested and tried before the law courts.
Meanwhile, a suspected robber was on Saturday night seriously injured when he tried to break the gate of a house at Njiro area, in the suburbs of Arusha city. Arusha RPC Basilio Matei said yesterday that Haruna Jumanne (24) was wounded by his house helper, Michael Urassa, who was coincidentally returning home from hospital.
Mr Matei said that Mr Urassa was invaded by four people and since he was carrying his gun he opened the fire and managed to wound the suspect. The other three escaped and we are still looking for them. Jumanne has already tipped us off, and we are sure that we will arrest them soon, Mr Matei said.
The suspect who is now admitted to Mount Meru regional hospital is under police guard until he will appear before the court.
Mimi naomba wana blog wote mziweke habari hizi ktk mitandao ytenu iwe kwa kiingereza ama kiswahili maadam habari kama hizi zisambae hadi ktk vyombo vya haki za kibinadamu.
Tusiyazungumze humu tu na kuyaacha kama yalivyo ni wakati wa hata kupeleka hoja kama hii kwa wabunge wetu....
Ni matukio kama haya yanaweza badilisha kabisa vitendo vya watawala kama tutaweza kusimama imara...
Nyani Ngabu,
Kwanini Wamrushie Mawe,Kwa kosa gani??hakuna aliye juu ya sheria,kama watanzania tunaona ana kosa basi ttumpeleke Mahakamai ili asurubiwe na sio kumuita Mtu fisadi.
kwi kwi kwi,
Kuanzia leo Mkapa atabadili ratiba baada ya kilichotokea! Nadhani the best way ni kufanya shtukizo hadi yeye na walinzi wake washangae. Unasubiria akiwa kwenye good moments zake (hasa kwenye ile hotel .....x..... anayotembelea ijumaa jioni kuchati na mafisadi wenzake) kisha unatokea na bonge la bango limeandikwa fisadi fisadi fisadi na kutumia vipaaaza sauti ukicheza muziki wa I work it out ... i work it out... i work it out....
aaaaaaaaaaaa.... mshkaji unaniangusha TAJA JINA LA HOTEL WE DARE TO TALK OPENLY
Ni vizuri Watanzania tukaanza kumzomea Mkapa popote atakapoonekana hadharani kwa ufisadi mkubwa alioufanya halafu hataki kujibu tuhuma zozote dhidi yake. Ikitokea bahati mbaya kukutana na fisadi Mkapa popote pale ulimwenguni sintamsalimia, nimsalimie kwanini? kipi alichokifanya Tanzania mpaka nimsalimie. Watanzania natoa wito hawa mafisadi wote akina Mkapa, Chenge, Lowassa, Msabaha, Karamagi, Mramba, Mkono, Mzindakaya na wengineo popote tukiwaona hadharani tuwazomee kwa ufisadi wao dhidi ya nchi yetu.
Sijui hili litakuwa na matokeo gani, lakini mtu mzima kuzomewa hadharani ni aibu ya hali ya juu.