Masatu,
kwa nini usizungumze yaliyopo kichwani mwako?.. wewe unachotazama ni hisia zangu mimi sema kinachokukuna wewe.
Upeo finyu unaotokana na mipasho ni tusi la nguoni kwangu mimi! Na nafahamu unakotoka kwa hiyo don't even try!
Nakuomba yaishie hapa laa sivyo mjomba utakuwa unatafuta mengine!..Na kama hufahamu maana ya tusi la nguoni nipo radhi kukueleza pia maanake hakuna tafsiri yake ktk kamusi!
Simtishi mtu hapa ila najaribu turudi kukata ishu zilizopo ubaoni, pili naokuomba sana jaribu kukubali kukosolewa kwani haikupunguzii upeo wako.