Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

We should rejoice when we hear a conversion story. Kama Mkapa amemua kuvumilia matusi yote anayopata na kuyatolea kwa Mungu, ni kumgeukia Mungu kwa hali ya juu. Ni furaha hapa duniani na mbinguni pia!

Kinachofanya tusifurahi kusikia Mkapa ameamua kutumia muda mwingi kwenye kusali na kufanya matendo mema (kama Kuinjilisha wengine) ni kitu gain? Ni chuki dhidi ya Huruma ya Mungu?

Jueni kwamba "Mungu ni Huruma". Yeye yule aliyemhurumia mwizi aliyesulibiwa naye Golgota miaka 2000 iliyopita atashindwa kumpa Mkapa neema ya hali ya juu leo hii?

"You made us for yourself O Lord, and our hearts are restless till they rest in you" (St. Augustine). We are full of joy because we heard that our brother has discovered his true calling. He has found meaning in his life.

If Mkapa has completely surrendered himself to the Lord, then he will have no love of riches. The Lord himself will teach him how to gradually turn over all he has, and all his being, to be used for the common good.

We sin against charity when we judge Mkapa. We ourselves do not know how we stand before the Lord. Are we better than Mkapa? We err gravely when we think we are.

Augustine Moshi
 
"...yule tajiri akauliza "bwana nifanye nini ili nipate ingia ufalme wa mbinguni? bwana akamwambia amini, amini nakwambia ni vigumu kwa tajiri kuingia ufalme wa mbinguni kuliko ngamia kupenya katikatundu la sindano. hivyo chukuwa/rudisha mali zako zote ukawape masikini ..."
 
We should rejoice when we hear a conversion story. Kama Mkapa amemua kuvumilia matusi yote anayopata na kuyatolea kwa Mungu, ni kumgeukia Mungu kwa hali ya juu. Ni furaha hapa duniani na mbinguni pia!

Kinachofanya tusifurahi kusikia Mkapa ameamua kutumia muda mwingi kwenye kusali na kufanya matendo mema (kama Kuinjilisha wengine) ni kitu gain? Ni chuki dhidi ya Huruma ya Mungu?

Jueni kwamba "Mungu ni Huruma". Yeye yule aliyemhurumia mwizi aliyesulibiwa naye Golgota miaka 2000 iliyopita atashindwa kumpa Mkapa neema ya hali ya juu leo hii?

"You made us for yourself O Lord, and our hearts are restless till they rest in you" (St. Augustine). We are full of joy because we heard that our brother has discovered his true calling. He has found meaning in his life.

If Mkapa has completely surrendered himself to the Lord, then he will have no love of riches. The Lord himself will teach him how to gradually turn over all he has, and all his being, to be used for the common good.

We sin against charity when we judge Mkapa. We ourselves do not know how we stand before the Lord. Are we better than Mkapa? We err gravely when we think we are.

Augustine Moshi

Ndoa yake na serikali kama ilikuwa na doa itamalizwa na mahakama.
Shida ya wananchi yeye mwenyewe alishasema ni ujinga...Sasa mambo ya dini yametoka wapi tena?
Badala ahakikishe wanapata elimu na mali zao kutumika ipasavyo...Yeye anasema dini...Yani kumbe kuna weusi wamekuwa wakoloni?
Ama kweli tutaona mengi...Hya sasa...KABURU MWEUSI HUYO...
 
Mkapa kuburutwa kortini

Soma]

Na Reuben Kagaruki

PAMOJA na kutangaza kujitenga na mijadala ya kisiasa na badala yake kujikita zaidi katika masuala ya kuhamasisha upendo, amani na ucha Mungu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Bw. Benjamin Mkapa anaendelea kuandamwa na jinamizi linalotokana na kazi za mikono yake alipokuwa Ikulu.

Kiongozi huyo, ambaye sasa anafuata nyayo za mtangulizi wake-Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi ambaye naye kwa sehemu kubwa ya maisha yake ya ustaafu amejikita katika masuala ya dini sasa anakabiliwa na uwezekano wa kupandikishwa kizimbani.

Tishio hilo limetangazwa Dar es Salaam jana na Mchungaji Christopher Mtikila ambaye juzi alifutiwa mashitaka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alikamatwa na kushitakiwa kwa kudaiwa kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Bw. Mkapa.

Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu alipofutiwa kesi hiyo, Mtikila amekiri kuwa kipindi alichokuwa ameshitakiwa alikuwa katika wakati mgumu kuendelea na masuala yake ya harakati lakini sasa ataanza na Bw. Mkapa.

"Ni lazima nimburute mahakamani ili aeleze ni kwa nini alijimilikisha mgodi wa Kiwira na kuuza kwa makaburu Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)," alisema Bw. Mtikila na kuongeza kuwa pia kesi hiyo itamtaka Bw. Mkapa aeleze ilikuwaje akabariki Serikali kununua ndege ya Rais kwa dola bilioni 50 wakati thamani halisi ya ndege hiyo ikiwa takribani sh. bilioni sita tu.

"Kwa haya aliyofanya raia wa kweli hawezi kukubali kuyatenda," alisema Mchungaji Mtikila na kuongeza kuwa ni lazima amfikishe mahakamani haraka sana.

Akizungumzia kesi aliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa kumkashifu Bw. Mkapa alisema kesi hiyo ilifunguliwa katika mazingira ya kisiasa kwa lengo la kumziba mdomo.

"Serikali ilinifungulia kesi hiyo kwa lengo la kuniziba mdomo nisiseme ukweli, lakini sasa wameufungulia kwa kuniondolea kiwingu nitaanza kuwasha moto," alisema Mchungaji Mtikila

Alisema japo amefurahishwa na uamuzi wa mahakama kufuta kesi hiyo baada ya kuona ushahidi wa Serikali haukuwa na uzito wowote, lakini anasikitika kwa sababu amekosa fursa ya kuwadhihirishia Watanzania kuwa kile alichokisema kilikuwa na ukweli ndani yake.

Akieleza misukosuko aliyokumbana nayo wakati alipokamatwa Mchungaji Mtikila alisema aliteswa bila sababu za msingi.

"Nilikamatwa nikawekwa gerezani bila makosa yoyote...hii haikubaliki," alisema na kuongeza kuwa alipokamatwa alikaa gerezani mwezi mmoja .

Alisema kufuatia mahakama kumfutia kesi aliyobambikizwa sasa anafanya mazungumzo na wakili wake, Bw. Moses Maira ili waweze kufungua kesi ya madai.

Iwapo kesi hiyo itafunguliwa itakuwa ya kwanza nchini kwa Rais Mstaafu kufikishwa mahakamani na pia itakuwa kesi ya kwanza kusaidia maendeleo ya sheria kwa Mahakama kupata nafasi ya kuzungumzia kinga za marais.

Kumekuwa na utata nchini kuhusu kiwango na ukomo wa kinga wanazopewa viongozi wa ngazi ya Urais ambapo ibara ya 46 ya Katiba ya Muungano inasema Rais hatashitakiwa kwa makosa ya jinai au madai kwa kipindi akiwa madarakani na hata baada ya kuacha madaraka iwapo aliyoyatenda yamo katika mambo anayopaswa kuyafanya kwa mujibu wa kiapo chake.

Utafiti wa Majira Jumapili umeonesha kuwa ibara hiyo imekuwa ikiibua utata wa tafsiri hapa nchini hasa juu ya ni wakati gani Rais aliyeko madrakani au Mstaafu atachukuliwa kuwa ametenda jambo lililo nje ya kiapo chake au utekelezaji wake wa kawaida kisheria.

Katika ripoti za Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu bado hakujafikishwa shauri ambalo lingeweza kuifanya mahakama kutoa tafsiri kamili.

Shauri pekee ambalo walau lilijaribu kugusa nguvu za kiutendaji za Rais juu ya maamuzi yake lakini si moja kwa moja kinga ya kushitakiwa ni lile la Mwalimu Peter Mhozya V AG (Civil Case no 206, 1993) ambaye alitaka Rais Alli Hassan Mwinyi aondolewe madarakani kwa kunyamazia katiba kuvunjwa kwa Zanzibar kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiislamu (OIC).

Jaji Barnabas Samatta pamoja na kulitupa shauri hilo kwa kuwa kikatiba Mahakama haina nguvu za kumwondoa madarakani Rais, bali Bunge, hakujadili suala la kama Rais anaweza kushitakiwa au la.

Hata hivyo maoni ya wanasheria jadidi waliobobea katika masuala ya katiba kama Profesa Issa Shivji, Profesa Jwan Mwaikusa na Dkt. Sengondo Mvungi katika maandiko yao na wanapopata nafasi ya kutoa maoni yao, yamekuwa yakionesha kuwa kinga ya kikatiba ya Rais ina ukomo.

Nchini Marekani, walau suala la kinga ya Rais limeshawekwa bayana kuwa lina ukomo awapo madarakani na hata anapokuwa ameshamaliza madaraka yake.

Awali katika shauri maarufu la Nixon v. Fitzgerald (1982), katika uamuzi wake wa majaji watano dhidi ya wanne, Mahakama ya Rufaa ya nchi hiyo iliamua kuwa katika shauri la Rais Richard Nixon kutakiwa kuunganishwa kutoka na maamuzi ya kumfukuza kazi ofisa wa umma, Rais alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa.

Lakini mtazamo huo ulibadilishwa katika shauri jingine mashuhuri la Jones V Clinton, Mahakama ya Rufani ya nchi hiyo ilipokubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu kuwa Rais Bill Clinton wakati huo akikabiliwa na kashfa ya ngono, hakuwa juu ya sheria.

Katika shauri la kwanza Rais Nixon alikuwa ameshtakiwa kwa kuhusishwa na uamuzi alioufanya kama Rais na ni tofauti na shauri la Clinton ambapo kesi ilihusu masuala yake binafsi yasiyo sehemu ya kiapo chake.

Tofauti baina ya kesi hizi mbili zinaweza kuipa nguvu nadharia ya wasomi wa hapa nchini kuwa baadhi ya vitendo vya marais vina kinga.

Suala ni Je, Rais Mstaafu Mkapa kudaiwa kujihusisha na biashara akiwa Ikulu kwa kuunda au kununua makampuni kunaweza kumuondolea kinga?
 
Mkapa kuburutwa kortini

Na Reuben Kagaruki
Majira

Time will tell. Na subiri nimeambiwa kuwa wakristo ili utubu kamili inabidi uwaombe radhi wale wote uliowakosea na kuwarudushia mali yao, kisha ndo uutafute uso wa Mungu sasa.

Tusubiri labda atafanya toba ya kweli. La sivyo anatwanga maji kwenye gunia na siku ya mwisho tayari ameshajiweka jina lake kwenye BIG BLACK BOOK. Akibisha asome Biblia halafu akielimika kiimani aje tuongee.

Kwa sisi wengine waislamu nitaeleza lakini kwa kuwa ni mkristo lets give or prescribe the most appropriate drug. AU siyo.
 
Mtikila ni shushu wa Serikali iliyopo madarakani hivyo ili kuificha serikali katika kumbana Mkapa inawezekana kabisa Mtikila akapewa go ahead na kufanikisha kumfilisi Mkapa.
Huku ni kumkwepesha Raisi aliyepo madarakani ,kuna habari kuwa Kikwete si chaguo la Mkapa.
 
Mungu haangalii dini, yeye anaangalia matendo na moyo wa mwanadam, kwa hiyo Mkapa kushughulika na dini haiwezi kumsaidia kuingia peponi ikiwa matendo yake ni machafu. dini ni taasisi na Utakatifu ni tiketi ya kuiona pepo.
 
Kikwete anayo mengi ya kuwatendea wananchi kuliko tunavyotaka tuaminishwe hapa, kama atathubutu au atabainika kumtumia mwinjilisti huyu dhidi ya makapa basi naamini hiyo ni mmoja ya dalili ya yeye kushindwa kutuongoza.

Nimtakie mwandishi wa habari huyu alichukua muda wetu na vijisenti vyetu kumripoti mtikila ambaye tayari anafahamu kuwa amenunuliwa kila la heri kwa kutukumbusha mtikila
 
RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa amesema hana nia ya kuwa askofu wala hauhitaji, isipokuwa yeye ni mcha Mungu wa kawaida kama ilivyokuwa awali. Amesema hana nia ya kujihusisha na masuala ya kidini zaidi au kuwa kiongozi wa dini na kwamba ni muumini sawa na waumini wengine wa kawaida na hakuna tofauti kati ya alivyokuwa awali na anavyojihusisha sasa na masuala ya kidini.
Mkapa alitoa kauli hiyo juzi katika sherehe za Jubilee ya miaka 100 ya Shirika la Masista la Mtakatifu Benedict lililopo Ndanda Wilaya ya Masasi,mkoani Mtwara.Alitumia nafasi hiyo kueleza kuwa vyombo vya habari vilimnukuu vibaya na kupotosha ukweli juu ya kile alichoongea akiwa katika ibada kanisani mkoani Mwanza wiki moja iliyopita.
Katika sherehe hizo za juzi ambazo Mkapa alikuwa mgeni rasmi,alitumia fursa hiyo kukanusha habari zilizochapishwa na kutangazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ameamua kuachana na siasa,na kwamba kwa sasa analenga kujiingiza katika uongozi wa kidini.
“Nilikuwa Chato mkoani Kagera, baada ya hapo nilipitia Mwanza nikiwa njiani kurudi nyumbani…niliporudi nyumbani,mwanangu akaniuliza baba siku hizi unataka kuwa kiongozi wa kidini?..Nikamuuliza kulikoni?...akanijibu magazeti yameandika hivyo,”alisema Mkapa na kuongeza:
“Kweli siku ya pili nikakuta katuni kwenye gazeti moja inayohusishwa na mimi ikiwa imebeba vitabu vya Biblia….sasa nataka kuwahakikishia kuwa sitaki uaskofu wala siuhitaji, ieleweke hivyo….mimi ni mcha Mungu wa kawaida kama nilivyokuwa awali,”alisisitiza Mkapa.
“Enzi za mimi kujihusisha na siasa zilikoma pale nilipokabidhi madaraka kwa Serikali ya Awamu ya Nne mwaka 2005,”alinukuliwa Mkapa na vyombo vya habari, akiwaambia waumini wenzake katika Ibada hiyo jijini Mwanza kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Francisco Exaveri.
Mkapa katika hotuba yake juzi,aliwasifu masista hao kwa kuinua kiwango cha elimu kwa mikoa ya kusini na Tanzania kwa ujumla,sambamba na jitihada zao za kuboresha huduma za afya,hasa katika kutoa tiba na elimu kuhusiana na ugonjwa wa ukoma uliokuwa umeshamiri katika eneo hilo.
“Mimi binafsi nawashukuruni sana maana ujio wenu una mchango mkubwa kwa kiwango cha elimu niliyoipata ambayo imeniwezesha kuwa kiongozi mwadilifu wa nchi hii... na haya ni matunda yenu,”alisema Mkapa ambaye alisoma Shule ya Sekondari Ndanda iliyokuwa inamilikiwa na kanisa hilo.Akimkaribisha mgeni rasmi,Mkuu wa Wilaya ya Masasi,Saidi Amanzi alisema serikali inatambua mchango wa masista hao hasa katika kuboresha afya za jamii kwa kutoa tiba kupitia Hospitali ya Ndanda na kuahidi kuwa itapewa ruzuku ili kusaidia uendeshaji wake.Habari hii na Hassan Simba,Mtwara
 
Mkapa acharukia vyombo vya habari

Na Abdallah Nassoro, Mtwara
RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Bw. Benjamin Mkapa amevijia juu vyombo vya habari nchini kwa kile alichodai vimekuwa vikimnukuu vibaya na kupotosha ukweli wa mambo.

Bw. Mkapa alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki,katika sherehe za Jubilee ya kutimiza miaka 100 ya Usista ya Kanisa la Mtakatifu Benedict lililopo Ndanda, wilayani Masasi.

Katika sherehe hizo Bw.Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi, alitumia fursa hiyo kukanusha habari zilizochapishwa na kutangazwa na baadhi ya vyombo vya habari hivi karibuni kuwa ameamua kuachana na siasa na kwamba sasa anajihusisha zaidi na masuala ya dini.

Alisema kuwa hana nia ya kujihusisha na masuala ya dini zaidi kama kuwa kiongozi wa kanisa na kwamba yeye ni muumini sawa na waumini wengine, hivyo hakuna tofauti kati ya awali na anavyojihusisha sasa na masuala hayo nakusisitiza kwamba vyombo vya habari vilimnukuu vibaya.

"Nilikuwa Chato, mkoani Kagera, baada ya hapo nilipitia Mwanza…niliporudi nyumbani mwanangu akaniuliza baba siku hizi unataka kuwa kiongozi wa kidini?...Nikamuuliza kulikoni? ...akanijibu magazeti yameandika hivyo," alisema Bw.Mkapa.

"Kweli siku ya Pili nikakuta katuni kwenye gazeti ikiwa imebeba vitabu na Biblia…sasa nataka kuwahakikishia kuwa sitaki uaskofu wala siuhitaji…mimi ni mcha Mungu wa kawaida kama nilivyokuwa awali” alisisitiza Rais huyo mstaafu

Hivi karibuni vyombo vya habari nchini vilimnukuu Bw. Mkapa wakati alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Francisco Exaveri lililopo jijini Mwanza, kuwa ameamua kuachana na siasa na sasa anajihusisha zaidi na dini.

"Enzi za mimi kujihusisha na siasa zilikoma pale nilipokabidhi madaraka kwa Serikali ya Awamu ya Nne mwaka 2005,” alinukuliwa Bw. Mkapa na vyombo vya habari, akiwaambia waumini wenzake katika Ibada hiyo jijini Mwanza.

Sambamba na hilo, Bw. Mkapa aliwasifu watawa hao kwa kuinua kiwango cha elimu kwa mikoa ya Kusini na Tanzania kwa ujumla, sambamba na jitihada zao za kuboresha huduma za afya hasa katika kutoa tiba na elimu kuhusu ugonjwa wa ukoma uliokithiri eneo hilo.

"Mimi binafsi nawashukuruni sana maana ujio wenu una mchango mkubwa kwa kiwango cha elimu niliyoipata ambayo imeniwezesha kuwa kiongozi mwadilifu wa nchi hii … na haya ni matunda yenu," alisema Bw. Mkapa ambaye alisoma Shule ya Sekondari Ndanda iliyokuwa inamilikiwa na kanisa hilo.

Awali Nkuu wa wilaya hiyo, Bw. Said Amanzi, alisema serikali inatambua mchango wa watawa hao hasa katika kuboresha afya za jamii kwa kutoa tiba kupitia Hospitali ya Ndanda na kuahidi kuwa itapewa ruzuku ili kusaidia uendeshaji wake.

source: majira
 
Kikwete anayo mengi ya kuwatendea wananchi kuliko tunavyotaka tuaminishwe hapa, kama atathubutu au atabainika kumtumia mwinjilisti huyu dhidi ya makapa basi naamini hiyo ni mmoja ya dalili ya yeye kushindwa kutuongoza.

Nimtakie mwandishi wa habari huyu alichukua muda wetu na vijisenti vyetu kumripoti mtikila ambaye tayari anafahamu kuwa amenunuliwa kila la heri kwa kutukumbusha mtikila

JMK hana sababu ya kumtumia Mtikila kumfungulia fisadi Mkapa mashtaka. Fisadi Mkapa ni mwizi aliyeiba mgodi wa Kiwira katika mazingira ya kifisadi. JMK angekuwa siyo fisad na mwoga at least angechukua hatua za kuhakikisha mgodi huo unarudishwa chini ya miliki ya Watanzania.
 
Mkapa kuburutwa kortini

"Ni lazima nimburute mahakamani ili aeleze ni kwa nini alijimilikisha mgodi wa Kiwira na kuuza kwa makaburu Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)," alisema Bw. Mtikila na kuongeza kuwa pia kesi hiyo itamtaka Bw. Mkapa aeleze ilikuwaje akabariki Serikali kununua ndege ya Rais kwa dola bilioni 50 wakati thamani halisi ya ndege hiyo ikiwa takribani sh. bilioni sita tu.

Mtikila ana uhakika na analoongea ....Bei ya Gulfstream inaweza kuwa around that.....Angalia hapa GULFSTREAM Jet Aircraft, Used GULFSTREAM Jet Aircraft, GULFSTREAM Jet Aircraft For Sale at Controller.com

Nadhani hoja juu ya presidential jet ni zaidi
1. Kuwa kweli ilikuwa sahihi kwa sisi kununua na tunaweza kuihudumia
2. Mchakato wa ununuzi ulifuatwa kama inavyotakiwa na sheria

Kwa hoja namba moja hata ukiangalia nchi watumiaji wa hiyo ndege, Africa ni sisi na Uganda tu lakini ndio nchi zinazoishi kwa kuomba misaada kila siku.

Gulfstream G550 - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mtikila aache hizo za kuleta na kuchezea akili za watu! kama ana uchungu kwanini ana nunuliwa kwa bei rahisi ili kudhoofisha wanao pambana na ufisadi? go to****
 
Mkapa Mkapa ..... ewe Brother Man .... nafikiri ni wakati Mzuri kwako kwa kusali sana na katika kusali huku iombee nchi ijinasue na ufisadi uliozaliwa enzi za utawala wako na kukuzwa kwa aliyekurithi.
 
Mbona watu tumekuwa hatuna maadili mazuri. Huo ndio uhuru wa kuongea? Tumwache muheshimiwa apumzike kwa salama na amani. Hivyo angekuwa baba yako mzazi kweli kuna ambaye angefurahia hayo maneno na mashambulizi juu ya Mkapa kila wakati?

Tuwe na busara kwani hakuna mkamilifu. Iwapo kuna ushahidi juu ya ufisadi juu ya huyu bwana muheshimiwa basi si yawasilishwe mahakamani?

Watanzania tuendelee kuwa na maadili mema.
 
Mtikila aache hizo za kuleta na kuchezea akili za watu! kama ana uchungu kwanini ana nunuliwa kwa bei rahisi ili kudhoofisha wanao pambana na ufisadi? go to****

Pamoja na kuwa Mtikila alipokea pesa toka RA, lakini anayosema yana umuhimu hivyo yanahitaji kufuatiliwa. Kama bei ya ndege ya Rais ni bilioni 6 na Tanzania ikalipa bilioni 50 kununua ndege hiyo (kama ni kweli) basi kuna ufisadi mwingine hapo tena wa hali ya juu.
 
How Magufuli, Mkapa gave billions to an Asian mogul

2008-10-05 11:29:40
By The Guardian on Sunday Team

President Kikwete, addressing the Parliament in August, this year, hinted about the huge cost that taxpayers as well as the state can incur due to lack of good governance.

But before an ink dries, taxpayers are now forced to pay a Mwanza based tycoon a close to 2bn/- due to what High Court Judge described as `Out of either ignorance of the law or arrogance and flagrant disregard to the due process of the law.`

John Pombe Magufuli, a man former President Benjamin Mkapa once described as an exemplary model among his cabinet ministers, has made one Mwanza businessman a billionaire, following his controversial decision to demolish a petrol station valued at 490m/- at the time.

The Guardian on Sunday has established that Mansoor has already received a down payment amounting to 490m/- from the government`s coffer.

The payments were done recently by the treasurer in Dar es Salaam.

State counsels from the Attorney General`s Chamber in Mwanza have failed to appeal against the decision by the High Court to award the proprietor another 730m/- as loss suffered over six years, plus an interest of over 17 per cent per annum, after establishing that the evidence tabled by the minister is weak and baseless.

The state counsels don't object to the main ruling that the plot was acquired and developed legally, but they are against the amount awarded to the proprietor.

Mansoor earlier demanded about 18bn/- for the total loss he suffered during the projected period of his title deed, which has a 33-year lifespan.

The 2bn/- being paid to Mansoor is taxpayers` money, money that could have built 200 classrooms at 10m/- each, and an amount equal to that which President Jakaya Kikwete issued to two regions to fight poverty in 2006/7.

From owning a demolished fuel station worth only 490m/- to reaping a bounty of 2bn/-, Mansoor is one of the few lucky guys who have taken advantage of the lack of good governance to screw the Government - and taxpayers.

What transpired?
It all started in December 2000, in what six months later became a huge scandal involving Minister Magufuli, the Mwanza City Council and Shanifu Mansoor, the Asian businessman who had bought the petrol station, which Magufuli said was built illegally within an area reserved for road construction.

Magufuli had argued that Mansoor had been granted the station corruptly and was denying citizens of valuable land, but what made Magufuli a hero at the time has cost taxpayers dearly today, The Guardian on Sunday has learnt.

Reliable sources disclosed to The Guardian on Sunday this week that Magufuli was fully backed by the former head of state, and Mkapa`s support gave Magufuli the validation to demolish the disputed fuel station at Plot No. 78 Block A, Kirumba Street.

Magufuli, who was then the Minister for Works, stood firmly before all Members of Parliament from Mwanza region, and declared that the plot and the building permits had been acquired illegally.

He added that since the Mwanza City Council was clouded by corruption, the possibility that the proprietor had been granted the plot through crooked means couldn�t be ruled out.

The Mwanza petrol station became a national scandal, making the front pages of all the major newspapers in the country.

After weeks of back-and-forth, Magufuli finally ordered the petrol station demolished on June 21, 2001, despite being warned that the Mwanza City Council had issued the building permits legally.

Magufuli insisted that no compensation would be paid to the proprietor because, based on the available evidence, the plot was acquired imprudently.

In this battle, Magufuli was strongly supported by Mkapa and the then-Minister for Local Government, Hassan Ngwilizi.

Shanifu Mansoor, the owner of the petrol station, decided to take legal action to get what compensation for the losses he said he suffered following the demolition.

He collected evidence with the assistance of some top officials from the previous regime, and after obtaining proof that the plot was legally allocated, Mansoor filed a civil suit on February 5, 2002, at the Mwanza High Court.

Although the case took five years, the High Court in Mwanza ruled last year that the minister had acted unlawfully in demolishing the petrol station, and ordered the Government to pay Mansoor compensation amounting to nearly Sh2 billion.

In his ruling, Judge Lawrence Mchome ruled that the plaintiff obtained and owns the disputed plot lawfully, and ordered the first, second and third defendants to pay the plaintiff�s costs in the suit.

But, some government officials maintain that Mansoor can�t be blamed for fighting against a decision that never should have been made in the first place.

In his ruling Judge Mchome wrote, ``Out of either ignorance of the law or arrogance and flagrant disregard to the due process of the law, or both, the advice to invoke the President`s powers to revoke the right of occupancy and acquire the public land for public purpose was disregarded and the due process of the law abused.``

In what seemed a response to the defense issued by Magufuli, Judge Mchome added, ``Laws were made by our Parliament to be obeyed.

It is ridiculous if one disobeys or breaks the law and pretends to do so for public interests laws were made for public interest and both public interest and good governance require that they be obeyed, not vice versa.``

Ignored the warning
According to investigations conducted by The Guardian on Sunday, despite being warned by a team of experts from Mwanza City Council and his own ministry that the plot was legally acquired, Magufuli soldiered on with his demolition plan.

Testifying before the High Court, engineer Marwa Rubirya, who is currently an assistant director in the Ministry of Infrastructure, told the court, ``His office was satisfied that the construction of the fuel station was lawful.``

Mwanza city, in its defense, clearly told Minister Magufuli that the plot in dispute was legally acquired and developed, distancing itself from any compensation due to the proprietor of the demolished fuel station.

Reports from Mwanza city shows that, Magufuli was officially informed that Plot No. 78 Block A was first surveyed in 1963 and marked for residential and commercial purposes, and that the current city planning shows that there`s no need for a new road to be constructed through the petrol station.

The Mwanza city director at the time, Paul Baruti, wrote a letter in March 2001 to the Ministry of Local Government, and copied to Magufuli, stating that city plans indicated the plot was legally established under the town drawings No.14/165/781/21, and that there were no records to indicate that these drawings had been legally revoked by the concerned authorities.

Dr Charles Tizeba, who was the Mwanza city engineer during the scandal, told The Guardian on Sunday this week, ``I personally informed the minister in writing about the legality of the disputed plot, but he ignored my advice and chose to proceed with what has today cost taxpayers billions of shillings.``

A reliable source who worked at the State House during the third phase regime told The Guardian on Sunday this week, ``He did what he did because he was fully backed by Mkapa, who had promised to build Mwanza roads before he left office due to his strong trust to Magufuli, he didn`t bother with what impact the government would endure.``

Next week: Why the government lost

SOURCE: Sunday Observer
 
1. Magufuli ni mchafu sana tena sana wa ufisadi, tuliwahi kusema siku nyingi huko nyuma, kati ya nyumba 68 zilizorudishwa hivi karibuni au kuchukuliwa kwa nguvu na serikali, ambapo moja ya waziri wa zamani Mwapachu, pia imechukuliwa,

Magufuli ndiye aliyeziuza kwa ndugu zake, laicha ya mafisadi wengine, kwa mfano in one case alimuuzia ndugu yake mmoja nyumba sita za serikali ambazo zote tayari zimerudishwa kwenye hizo nyumba 68.

2. The dataz ni the end of Magufuli in power, unakaribia kuwa hivi karibuni, pia kuna dataz za rushuffle ya makatibu wakuu wa wizara soon.
 
Back
Top Bottom