Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 536
Nimeachwa hoi na story hii!
Wana JF, nionavyo mimi tatizo si kufanya biashara.
Tatizo ni kufanyabiashara wakiwa ndani ya Ikulu.
Kumbe ndiyo maana mbio za kukimbilia Ikulu wakati wa uchaguzi huwa kali.
Inanikumbusha maneno ya Mwalimu Nyerere kwa wagombea urais; Mnakimbilia kwenda Ikulu, kwani kuna biashara gani?
Mwalimu angekuwa hai angejua sababu ya mbio za kukimbilia Ikulu!