Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Hitimisho: Hapa suala ni kwamba, Kikwete and his inner circle wameshaona kuwa wamechemsha big time, hivyo wanachokifanya ni kumchafulia mzee Ben jina ili watu wasipate fursa ya ku-compare utawala wake (mtalii Kikwete) na ule wa mzee Ben (mtu safi).

Mkuu bado unayaamini haya maneno?
 
MKAPA NI MTU SAFI?

ninaona kizunguzungu.

ni kweli amefanya mengi mazuri lakini MABAYA aliyoyafanya ni zaidi ya hayo engi na lazima awajibike.

hiyo ni sawa sawa na kazi yote aliyoifanya ina thamani ya Tsh. 100,000 lakini yeye ameiba Tsh. 100,000,000. mtu wa aina hii utasema ni safi? ndiyo kaliingizia taifa sumthing lakini ameliibia zaidi.

come one MKAPA NI FISADI NAMBA MOJA TANZANIA, wengine wanafuata
 
Mramba amlipua Mkapa!

2008-08-13 15:47:06
Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Katiaka kile ambacho pengine hakikutazamiwa kutokea, Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu ya Rais Benjamin Mkapa na ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rombo, Mheshimiwa Basil Mramba, amemlipua kiaina Rais Mstaafu Mkapa kwa kuiponda Serikali yake kuhusu sera ya viwanda.

Mheshimiwa Mramba amesema Serikali hiyo ya awamu ya tatu ( iliyokuwa ikiongozwa na Rais Mkapa), kamwe haikuwahi kutekeleza sera ya viwanda.

Akizungumza bungeni jana wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Mheshimiwa Mramba akazidi kueleza kuwa kwa kasi iliyokuwepo katika serikali ya awamu ya tatu, nchi ingechukua muda mrefu sana kuwa na viwanda.

``...Nina tatizo. Najua watu watauliza, si (nawe) ulikuwepo. Lakini wacha niseme,`` ndivyo alivyoanza kueleza Mheshimiwa Mramba kabla ya kuchangia zaidi.

Aidha, Mheshimiwa Mramba aliwageukia wajumbe wa Halmashauri ya CCM ,NEC na kuwahoji kuhusu sera ya viwanda vidogovidogo.

``Simuoni Bw. Yusuf Makamba, Katibu Mkuu wetu wa CCM... lakini nawaona wajumbe wengi wa Halmashaurii Kuu ya Taifa. Nauliza, hivi CCM ina Sera ya viwanda vidogo vidogo?`` Akahoji Mheshimiwa Mramba ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.

Akasema viwanda vilivyopo sasa ni matokeo ya sera za Serikali ya Awamu ya Kwanza iliyokuwa ikiongozwa na Rais wa wakati huo, Marehemu Mwalimu Nyerere.

Akasisitiza kuwa viwanda vingi vilivyopo leo ni vya Nyerere na kwamba sera yake ilikuwa ni viwanda vya awali, ambayo amesema kamwe haijatekelezwa katika serikali ya awamu ya tatu (ya Rais Mkapa).

Hata hivyo, Mheshimiwa Mramba akasema anafurahia kuona Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko ameipeleka bungeni, huku akishauri kuwa Serikali ya sasa ya awamu ya nne, ijielekeze katika jitihada za kuchochea uanzishaji wa viwanda.

Pia akaishauri serikali kusamehe kodi kwa viwanda vidogo vidogo kama inavyofanya kwa viwanda vikubwa ambavyo vimekuwa vikipata msamaha.

Aidha, ametaka kuanzishwa kwa benki maalum kwa ajili ya viwanda vidogo ama kuziagiza benki kutenga fungu maalum kwa ajili ya kuwakopesha wanaoanzisha viwanda hivyo.

SOURCE: Alasiri

Tuma Maoni Yako
 
Mnafiki huyu alipokuwa serikalini alitaka tule majani tulipomwambia mambo yaliyo na mashiko ndani yake. Yaani pesa ya kununua ndege ifanye kazi nyingine.
Leo atatuambia nini mwizi mkubwa huyu?
 
Nilitaka kuuliza the same... wakati yuko madarakani (kwa serikali ya mpaka!) muda wote huo hakujua kuwa hilo na kushauri ipasavyo?... hebu atuondolee usanii wake huko!. Leo ndo anajua kuwa hatuna sera?
 
Kibaya zaidi ni kwamba, huyu mrambaa aliwahi kuwa waziri wa wizara hiyo hiyo ya viwanda anayoiponda! Jamaa ameamua kula matapishi yake! Kweli mafisadi wana roho ngumu kama ya paka!
 
Hakika kama Mramba kamkandia Mkapa mimi naketi chini na kutafakari kwamba kwanini ametoa kauli kama hizo. Jibu ninaloweza kupata ni kwamba lazima kuna kitu kisicho cha kawaida kati ya Mramba na Mkapa kinatokota hili si bure. Mramba "Mla majani" mradi ndege ya Rais Mkapa inunuliwe leo unamsaliti Rais wako???
 
Usanii tu wa wana CCM. Akiwa kama waziri wa Viwanda na biashara mbona yeye mwenyewe hakuja na sera za viwanda? Anajikomba ili wasimpeleke kwenye zile new VIP rooms za ukonga1
 
Tulisema pole pole, wataanza kutemana wenyewe kwa wenyewe, walete hao ndio tatizo la kuwa fisadi huwezi kumuamini fisadi mwenzako hata siku moja!
 
Kama Mtanzania anahaki ya kukosoa anachokiona hakiendi sawa, na mara nyingi mtu huona makosa anapokaa nje kuliko aliyeuwanjani. mimi naona ni sawa yeye kusema hayo. Pia unapokosea wewe haimaanishi uendelee kukubali makosa ya wenzio!!!!, ni lazima watanzania tubadilike, askari anapomkamata mlarushwa tusiulize mbona yeye jana kapokea/kadai rushwa. kila mwenye nafasi ya kurekebisha na afanye jukumu lake bila kujali alikosea lini na wapi.
 
jamani tuwe watu wa kukubali ukweli sio kum
Yaelekea ukuwahi kumalizia sentensi yako hapo juu, naona kifungo kilikupata wakati unaendelea kuchangia hapa... Anyway siku saba sio nyingi... ukitoka huko uje kumalizia mstari wako...
 
Kama Mtanzania anahaki ya kukosoa anachokiona hakiendi sawa, na mara nyingi mtu huona makosa anapokaa nje kuliko aliyeuwanjani. mimi naona ni sawa yeye kusema hayo. Pia unapokosea wewe haimaanishi uendelee kukubali makosa ya wenzio!!!!, ni lazima watanzania tubadilike, askari anapomkamata mlarushwa tusiulize mbona yeye jana kapokea/kadai rushwa. kila mwenye nafasi ya kurekebisha na afanye jukumu lake bila kujali alikosea lini na wapi.
Anakosoa nini mnafiki huyu? sisi tunachopingana naye huyu fisadi Mramba si kupinga sera za serikali ambazo kahusika kuzibuni na kuzitunga tu bali pia ni kulamba matapishi.
Haiwezekani ukiwa serikalini ukakosolewa unajibu utumbo kama alivyokuwa akifanya siku zote kwa furaha. Na wakikutupa nje ya serikali unaona makosa kwa wenzio. Tena makosa yale yale uliyoyafanya wewe.
Yeye ni mmoja kati ya watunga sera fisadi katika nchi hii hii. Na hakuna kinachofanyika sasa hivi na yeye hakuhusika hata chembe.
Hata hizi sera za sisiemu zinazofanya kazi leo, yeye kahusika. Sasa nini anataka kutuambia? Wadanganyika tumeanza kuwa wajanja. Atudanganywi tena.
Haki unazosema Mahmoud zina mipaka, ndiyo maana hata wafungwa jela wanakosa haki zingine ambazo hawakujali kuzilinda walipotakiwa kuwa nazo.
Mramba nadhani alitaka wapiga kura wake wasikie naye kasema kitu mujengo maana sidhani wala sina kumbukumbu kama tangu aondolewe uwaziri kesha changia lolote bungeni. Bila shaka itakuwa ni mchango wake wa kwanza akiwa nje ya baraza la mawaziri.
Nachukia hata unafiki na Mramba kathibitisha ni mnafiki. Na kama anaona makosa ya wengine leo wakati alikuwa akifanya hayo hayo na anyamaze na wengine waseme. Tunamnyang'anya haki hiyo.
 
Alipaswa kuomba Radhi kwanza Kwa Watanzania Kwa Yale Matamshi Ya Kututaka Tule Nyasi Ili Ndege Inunuliwe Baada Ya Hapo Ndio Aonyeshe Nia Yake Ya Kutaka Kumkomboa Mwananchi Kiuchumi.
Vinginevyo Bado Maneno Yake Yataonekana Ni Usanii Wa Kisiasa.
 
Tulisema pole pole, wataanza kutemana wenyewe kwa wenyewe, walete hao ndio tatizo la kuwa fisadi huwezi kumuamini fisadi mwenzako hata siku moja!

Mkuu Es upo ? Mie kama wewe nimekaa nasikilizia maana bado siku chache watu wende kwenye majimbo kuomba kura .je haya ni maanadalizi ?
 
mnafiki Huyu Alipokuwa Serikalini Alitaka Tule Majani Tulipomwambia Mambo Yaliyo Na Mashiko Ndani Yake. Yaani Pesa Ya Kununua Ndege Ifanye Kazi Nyingine.
Leo Atatuambia Nini Mwizi Mkubwa Huyu?

Hizi Ni Siasa Za Kinafiki Huyu Jamaa Hivi Bado Yuko Bungeni Duuuuu
 
Back
Top Bottom