Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Mnafiki huyu alipokuwa serikalini alitaka tule majani tulipomwambia mambo yaliyo na mashiko ndani yake. Yaani pesa ya kununua ndege ifanye kazi nyingine.
Leo atatuambia nini mwizi mkubwa huyu?

Thanks, sina la kuongeza hapa.....Ila jamaa kanitia kichefuchefu sana tu. Labda tu ni uzee unamjia vibaya. Si heri akae kimya tu.
 
Naunga hoja yake.

Lakini,Aaa wapi mwizi tu huyo.Kwanza Jimbo la Rombo aliteme kwanza
 
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa,amewataka Watanzania kuacha kupiga domo badala yake watafute vipaji ili kulinda umoja na amani nchini.Amesema hayo jumapili wakati akizungumza kwenye sherehe ya Jubilei ya miaka 100 ya Ukristo Jimbo Katoliki la Singida zilizofanyika katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu.
Alisema pamoja na amani na utulivu uliopo hapa nchini,lakini bado kuna watu ambao wanatafuta mambo mabaya kwa lengo la kuwagawa Watanzania.Alisema Watanzania wana imani,dini na makabila mbalimbali,lakini ni vyema kila mtu akatumia kitu hicho kuwa pamoja na kudumisha amani na utulivu.Alikemea tabia ya baadhi ya watu kuwa na utamaduni wa kushabikia maneno ya vijiweni badala yake akawataka kuonyesha upendo na staha ili kuleta umoja miongoni mwa Watanzania.
Awali Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam,Polcarp Kardinali Pengo aliwataka Watanzania kupeleka ujumbe wa amani kwa wanaotumia silaha kwa lengo la kuvuruga amani. Alisisitiza kuwa kazi hiyo itaendelea mpaka mwisho wa dahari na kwamba miaka 100 ya Jimbo la Singida ni mwanzo wa kazi iliyopo mbele ya Kanisa la Singida na Kanisa la Ulimwengu mzima.Habari hii na Hudson Kazonta,Singida
 
Hivi hawa maaskofu wako pamoja na waumini wao kweli! Hivi kweli wanaamini Mkapa hakuhusika na EPA, Kiwira, ANBEN, Tangold, Meremeta, Deep Green, Mwananchi Gold! Hivi wanatafuta nini kwa waumini wao! Au jamaa ameshaungama na wamempa msamaha! Mkapa asichezee akili za watu. Amepoteza kabisa hadhi ya statesman! Kama kanisani amesamehewe kinamna, bado ana la kujibu kwa watanzania.
 
Mimi namuunga mkono Mkapa kwa maana ya kuacha kupiga domo na sasa tuchukue hatua dhidi ya wale wote wenye tuhuma kubwakubwa. Hatutafika popote iwapo tutaendelea kupiga domo tu
 
Let's talk unity, Mkapa counsels
Correspondent in Singida
Daily News; Sunday,August 17, 2008 @19:01


Retired President Benjamin Mkapa has cautioned against wasting time in idle talk and picking issues from the ‘grapevine' as if they were gospel truth. Speaking at a ceremony to mark the 100th anniversary of the Singida Roman Catholic Diocese, Mr Mkapa said Tanzanians should instead spend their time defending the country's hard-won peace and unity – and shun divisive politics.

Mr Mkapa who supervised over landmark economic reforms during his third-phase government tenure, was the guest of honour at the centenary celebrations held at the Jesus Holy Spirit Church in Singida municipality. The retired head of state observed that some people were out to divide the country - despite prevailing harmony and peace the country was enjoying now.

Mr Mkapa's call comes at a time when there is heated public debate on whether Zanzibar is a sovereign state, most of them rejecting the defining principle that the Isles are but one side of the United Republic of Tanzania, as originally penned by the founding statesmen, Mwalimu Julius K. Nyerere and the late Abeid Aman Karume.

The retired leader further observed that Tanzanians professed to various spiritual beliefs and religions and that the country itself was home to over 120 tribes and more than 160 dialects. He added that used wisely, the country's diversity could consolidate unity, peace and harmony. However, he cautioned that the same diversity could turn things awry if abused or polluted with divisive politics.

He strongly condemned a section of people whom he said had developed a habit of collecting issues from the grapevine - and spreading them as though they were the most pressing issues of the day. He urged them to show love and tolerance instead, in order to sustain the prevailing unity among Tanzanians. Earlier, the head of Tanzania Roman Catholic Church, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to convey a message of peace to those who use weapons to destabilize the country and bring disharmony.

He stressed that such task - of conveying message of peace - would continue forever and that the anniversary was just the beginning of such noble task for the Catholic Church and other churches across the world. The on-going war of words between politicians over the status of Zanzibar has since ignited hot debate throughout the country.

Last week, Kyela Member of Parliament, Dr Harrison Mwakyembe took issue with Zanzibar ministers over what he described as open disrespect for their public utterances on the official stand on the status of the Isles within the United Republic – most of them scoffing at that stand with near-hostile dissenting views.

Last Saturday, the Minister of State in the Chief Minister's Office, Mr Hamza Hassan Juma, retorted that Dr Mwakyembe should apologize for what he said in Parliament – also accusing him of disrespect to Zanzibar leaders – insisting that the Isles constituted a sovereign state. The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) had earlier closed the debate – only to re-emerge within the past fortnight.
 
Let’s talk unity, Mkapa counsels
Correspondent in Singida
Daily News; Sunday,August 17, 2008 @19:01


Retired President Benjamin Mkapa has cautioned against wasting time in idle talk and picking issues from the ‘grapevine’ as if they were gospel truth. Speaking at a ceremony to mark the 100th anniversary of the Singida Roman Catholic Diocese, Mr Mkapa said Tanzanians should instead spend their time defending the country’s hard-won peace and unity – and shun divisive politics.

Mr Mkapa who supervised over landmark economic reforms during his third-phase government tenure, was the guest of honour at the centenary celebrations held at the Jesus Holy Spirit Church in Singida municipality. The retired head of state observed that some people were out to divide the country - despite prevailing harmony and peace the country was enjoying now.

Mr Mkapa’s call comes at a time when there is heated public debate on whether Zanzibar is a sovereign state, most of them rejecting the defining principle that the Isles are but one side of the United Republic of Tanzania, as originally penned by the founding statesmen, Mwalimu Julius K. Nyerere and the late Abeid Aman Karume.

The retired leader further observed that Tanzanians professed to various spiritual beliefs and religions and that the country itself was home to over 120 tribes and more than 160 dialects. He added that used wisely, the country’s diversity could consolidate unity, peace and harmony. However, he cautioned that the same diversity could turn things awry if abused or polluted with divisive politics.

He strongly condemned a section of people whom he said had developed a habit of collecting issues from the grapevine - and spreading them as though they were the most pressing issues of the day. He urged them to show love and tolerance instead, in order to sustain the prevailing unity among Tanzanians. Earlier, the head of Tanzania Roman Catholic Church, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to convey a message of peace to those who use weapons to destabilize the country and bring disharmony.

He stressed that such task - of conveying message of peace - would continue forever and that the anniversary was just the beginning of such noble task for the Catholic Church and other churches across the world. The on-going war of words between politicians over the status of Zanzibar has since ignited hot debate throughout the country.

Last week, Kyela Member of Parliament, Dr Harrison Mwakyembe took issue with Zanzibar ministers over what he described as open disrespect for their public utterances on the official stand on the status of the Isles within the United Republic – most of them scoffing at that stand with near-hostile dissenting views.

Last Saturday, the Minister of State in the Chief Minister’s Office, Mr Hamza Hassan Juma, retorted that Dr Mwakyembe should apologize for what he said in Parliament – also accusing him of disrespect to Zanzibar leaders – insisting that the Isles constituted a sovereign state. The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) had earlier closed the debate – only to re-emerge within the past fortnight.
 
Mkapa: Acheni kupiga domo
Hudson Kazonta, Singida
Daily News; Sunday,August 17, 2008 @18:01

Habari nyingine
Mtoto afariki, wazazi hoi kwa ajali
Profesa Msolla leo kuhitimisha mjadala wa Wizara yake
Wachimbaji wakubwa watakiwa kuheshimu wadogo
Elimu kusaidia kuondoa mawazo ya kishirikina-Pinda
Moto wateketeza hoteli za kitalii Z’bar
Bakwata Dar yadaiwa kugubikwa na ubadhirifu
Waziri ahimiza kuokolewa kwa mabinti kielimu
Mkapa: Acheni kupiga domo
Chuo cha Ushirika Moshi kukarabati matawi yake
Zingatieni elimu, asema Karume

Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amewataka Watanzania kuacha kupiga domo badala yake watafute vipaji ili kulinda umoja na amani nchini. Amesema hayo jumapili wakati akizungumza kwenye sherehe ya Jubilei ya miaka 100 ya Ukristo Jimbo Katoliki la Singida zilizofanyika katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Alisema pamoja na amani na utulivu uliopo hapa nchini, lakini bado kuna watu ambao wanatafuta mambo mabaya kwa lengo la kuwagawa Watanzania. Alisema Watanzania wana imani, dini na makabila mbalimbali, lakini ni vyema kila mtu akatumia kitu hicho kuwa pamoja na kudumisha amani na utulivu.

Alikemea tabia ya baadhi ya watu kuwa na utamaduni wa kushabikia maneno ya vijiweni badala yake akawataka kuonyesha upendo na staha ili kuleta umoja miongoni mwa Watanzania. Awali Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Dar es Salaam, Polcarp Kardinali Pengo aliwataka Watanzania kupeleka ujumbe wa amani kwa wanaotumia silaha kwa lengo la kuvuruga amani. Alisisitiza kuwa kazi hiyo itaendelea mpaka mwisho wa dahari na kwamba miaka 100 ya Jimbo la Singida ni mwanzo wa kazi iliyopo mbele ya Kanisa la Singida na Kanisa la Ulimwengu mzima.
 
Mkuu anatafuta mwanya wa kutokea. Maaskofu wakiunga mkoo kauli yake atakuwa amepata mlango wa kutoka kwenye mtego aliojiwekea mwenyewe; naamini Maaskofu hawatampa upenyo maana imeandikwa "kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe"

Mkapa ni vema aungame makosa yake na aturudishie chetu vinginevyo hakuna cha msamaha. Anataka kutuambia kuwa JK naye akituchukulia chetu tumuache tu tusiseme! Ikiwa hivyo Wanasiasa watageuza Ikulu (Mahali patakatifu kwa mujibu wa Nyerere) kuwa pango la wanyang'anyi. Watz lazima tuendelee kupiga kelele na kufanya kila tuwezalo ili hatua zichukuliwe kwa yeyeote aliyehujumu nchi yetu bila kujali alikuwa, yuko au atakuja kuwa Ikulu.
 
inauma sana

kuona hawa mafisadi wamedhamiria kujisafisha hata kwa mgongo wa Mungu,

viongozi wa makanisa wao wanashindwa kuwahukumu kwa kutowakaribisha katika shughuli zao kwa kutokana na imani yao kutohukumu wasije wakahukumiwa"

... lakini hata wakiwatumia malaika kujisafisha, hawatofanikiwa. mkapa ataendelea kuwa fisadi namba moja na hadi haki itakapotimizwa dhidi yake ndipo roho za watanzania na damu zao zitamuacha huru.
 
Yalikwisha zungumzwa haya hapa ndani, tofauti ya CCT na TEC ktk umakini wao kiutendaji hususani ktk mambo magumu ya nchi.

Usitarajie TEC kupinga uwepo wa Benjamini pale na zaidi tunatakiwa hawa RC ni wale wale wa Chain of Command(Law of Canon), hakuna masihara ktk mambo muhimu kwa wakatoliki.

To them He is Mr.President and not simple guys like us, he is Catholic and beliver wao.

You wait and see kama yalompata Rostam yatajirudia.

Jiulizeni tu, what happened mbona hakukuwa na taarifa za Netanyahu kuwepo Singida earlier
 
Msiwashangae maaskofi hawa wanaowaalika Mafisadi kwenye makanisa jamani

Dini imekuwa ni biashara siku hizi, na mbaya zaidi upadre, uchungaji sio wito tena ni kazi kama kazi zingine, na ndio maana tunapata maviongozi ya ajabu ajabu kwenye dini ambayo hata hayajali kabisa

Mtu kakosa jinsi ya kufanya, anasema ngoja nikasomee upadre, uchungaji
Matoleo yake ndio
wanabaka, kulawiti, kuwakumbatia mafisadi, kuwatandikia mazulia, na kusema hawa ndio mitume wa kuikomboa nchi .......

Kazi tunayo kweli kweli


Kama ni kweli kwamba kuna hukumu ya kuchomwa moto siku ya mwisho basi viongozi wote wa dini watakuwa wa kwanza kuchomwa huo moto kisha mkaa wa miili yao utatumika kuwaunguza mafisadi, na baada ya moto kupungua nguvu ndipo watenda dhambi wengine watamalizia!

Leo hii hatuwezi kuwatenganisha viongozi wa dini na mafisadi. Lao moja, wote lengo lao ni kunyonya watz. Ole wao! Hasira ya watz karibu itawashukia!
 
...mkapa spoke it...hatukatai kama makosa amefanya...;lakini yupo right...serkali ya awamu ya nne imekalia domo tu ...badala ya kupiga domo....

..nafikiri hata vita kuhusu mafisadi ...manaona domoo tu linavyopigwa.....maisha bora ..domoo tu!!..lets get back to job....!!!

...kanisani mkapa alishatubu tena alitubu hadharani pale st IMMACULATE ,upanga....alisema ...anatambua hakua malaika ...na aliomba radhi kwa makosa yote ya utawala wake...ilikuwa kwenye ibada ya kumshukuru Mungi kwa kumaliza ngwe salama!!
 
PM, kutubu siyo kusema samahani tu, bali pia kutengeneza alichoharibu (restitution). Ndio maana toba huambatana na kugeuka huwezi kutubu halafu ukaendelea kushikiliia vitu ambavyo hukuvipata kihalali. Mfano mzuri ni Zakayo wa Biblia ambaye alipogundua ufisadi wake aliamua kurudisha alivyochukua pasipo halali au kwa kutumia madaraka yake na kutengeneza alichoharibu. Mkapa hadi sasa hajatubu amesema ametubu; hadi arudishe Kiwira, aombe msahama kwa kuunda kampuni kwa kutumia Ikulu, na kujinufaisha kwa kutumia madaraka yake.
 
Hivi hawa maaskofu wako pamoja na waumini wao kweli! Hivi kweli wanaamini Mkapa hakuhusika na EPA, Kiwira, ANBEN, Tangold, Meremeta, Deep Green, Mwananchi Gold! Hivi wanatafuta nini kwa waumini wao! Au jamaa ameshaungama na wamempa msamaha! Mkapa asichezee akili za watu. Amepoteza kabisa hadhi ya statesman! Kama kanisani amesamehewe kinamna, bado ana la kujibu kwa watanzania.

Suala hapa siyo hawa Maaskofu kujua eti kama Mkapa alishiriki katika haya mabo ya kifisadi ama la!They are not their to judge!
Mkapa ndiyo anayoyakujibu ila tusiwabebeshe misalaba isiyo yao hawa maaskofu wanakila sababu ya kuamini wanayotaka kuamini na Mkapa na porojo zake zote ana haki ya kuamini na kusema analotaka!
 
Mimi namuunga mkono Mkapa kwa maana ya kuacha kupiga domo na sasa tuchukue hatua dhidi ya wale wote wenye tuhuma kubwakubwa. Hatutafika popote iwapo tutaendelea kupiga domo tu

Good point Mpita Njia! Unajua kila siku nimekuwa nasema neno hilohilo lakini watu wananiona kama chizi fulani vile. Action, please! ACTION. Maneno matupu hayatupeleki popote waungwana! It would be a brilliant move kama tungeanzisha some sort of movement fulani ili kutia-presssure/hakikisha kwamba wale wote wanaohusishwa na ufisadi hawaingii/rudi tena kwenye system. For instance, let say Karamagi ni Fisadi kweli. Then, movement ichange pesa, itafute alternative figure, kisha ground work ifanywe [kufa na kupona] kuhakikisha kuwa Karamagi harudi tena bungeni. It's that simple wananchi. I mean, Tarime wanaweza wakatufundisha hizo mbinu maana nasikia kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Kisyeri Chambiri (formet MP, Tarime) ambaye alikuwa anatukana watu na kusema, "mpenda msipenda mimi nitakuwa mbuge wa Tarime forever." Oh, shit! Watu wakaji-organize, wakaanzisha movemet [nasikia baada ya kumaliza kupiga kura, people hazikuondoka vituoni! Walipiga kambi nje ya vituo vya kura mpaka kilipoeleweka!] Matokeo yake: Wakampeleka "mpiganaji Wagwe" Dodoma. Hivyo ndivyo tutakavyobadili nchini. Lakini hili la kushindana kuona nani ana type fast hapa JF, halitupeliki popote kabisa.
 
Good point Mpita Njia! Unajua kila siku nimekuwa nasema neno hilohilo lakini watu wananiona kama chizi fulani vile. Action, please! ACTION. Maneno matupu hayatupeleki popote waungwana! It would be a brilliant move kama tungeanzisha some sort of movement fulani ili kutia-presssure/hakikisha kwamba wale wote wanaohisishwa na ufisadi hawaingii/rudi tena kwenye system. For instance, let say Karamagi ni Fisadi kweli. Then, movement ichange pesa, itafute alternative figure, kisha ground work ifanywe [kufa na kupona] kuhakikisha kuwa Karamagi harudi tena bungeni. It's that simple wananchi. I mean, Tarime wanaweza wakatufundisha hizo mbinu maana nasikia kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Kisyeri Chambiri (formet MP, Tarime) ambaye alikuwa anatukana watu na kusema, "mpenda msipenda mimi nitakuwa mbuge wa Tarime forever." Oh, shit! Watu wakaji-organize, wakaanzisha movemet [nasikia baada ya kumaliza kupiga kura, people hazikuondoka vituoni! Walipiga kambi nje ya vituo vya kura mpaka kilipoeleweka!] Matokeo yake: Wakampeleka "mpiganaji Wagwe" Dodoma. Hivyo ndivyo tutakavyobadili nchini. Lakini hili la kushindana kuona nani ana type fast hapa JF, halitupeliki popote kabisa.

MKuu nimekusoma na nimekupata fresh sana shida inakuja ni nani atakuwa the sacrificial lamb aanzishe hiyo movement maana hata Rais mwenyewe anawaogopa!sasa tuliobaki je tuna ubavu huo?na nani atakuwa tayari kusupport hiyo movement?We all want changes but are actually ready to sacrifice ourselves?
 
PM, kutubu siyo kusema samahani tu, bali pia kutengeneza alichoharibu (restitution).

Mkuu nimekusoma, Siyo lazima Mkapa aombe msamaha, tukilazimisha aombe msamaha au kuzungumzia aliyoyafanya ni alama ya udhaifu, tuna mamlaka dhaifu ambazo haziwezi kumfanya lolote mkapa! kama ndivyo Mkapa kama mwizi au fisadi mwingine yoyote lazima afurahie hiyo hali.

Point aliyosema ni dhaihiri kuwa tumesalitiwa na vyama vya siasa, wajomba na kaka zetu ambao kwa mara nyingine watawaingiza tena CCM ikulu. Hapa naona sisi ndio tuna matatizo.

Kama kweli tunania watu hawa hawakupaswa kuwa mtaani!! Hata akisimama kila mtanzania akasikia toba yake haitaturudishia hela zetu.
 
Acheni kupiga domo

Big up Mkapa,natamani ungelikuwa Rais hadi leo hii,upuuzi unaoendelea sasa,laiti ungakikuwepo hayangekuwa hivi.

God bless Mkapa.
 
Back
Top Bottom