Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

this is what i call self tongue tie. didnt you just tell me kwamba upo stage ya kwanza or whatever.... what you are saying are not facts keep that in mind. they are your fantansies that you would like to see maybe in your lifetime. am sorry to tell you that they have to be established first. we just cant follow such suggestions like yours which are not even established to tie our precious leaders with unproven allegations.

It is sometimes easier to just use the language you know - kiswahili.
You are embarrassing yourself for writing something you dont seem to know.
 
Mzaramo,
sema wewe hutaki kuelewa kwa sababu umesimama upande wa pili na unachojaribu kufanya ni kuhakikisha mnashinda lakini mkuu, hakuna The jury hapa. Hoja tupu tupe zako wewe maanake unachuja ya wengine yako hatuyaoni..
nakuuliza tena kitu gani kinachokufanya wewe usiamini maneno haya maanek huwezi tu kutoamini kwa sababu hakuna ushahidi... lazima wewe una habari tofauti ambayo inatofautiana na habari hii. Hivyo ushahidi utaondoa kile ulichokuwa ukiamini.
Na kikubwa hakuna shahidi hapa kati yetu isipokuwa tunajenga hoja kutokana na facts zilizokwisha julikana..
FMES kakupa madeal kibao alofanya Mkapa unataka ushahidi wewe hakimu mkuuu! au na sisi ni ktk fungu la wale aliwanyimwa nafasi ktk utawala wake.
 
It is sometimes easier to just use the language you know - kiswahili.
You are embarrassing yourself for writing something you dont seem to know.

not even close ! why dont you correct me when i made those errors rather than complaining. i wont stop using english
 
haha thats called cheap political talk. first off, you couldnt explain what you meant by saying politic courts, how was it established, when was it active or whether if it was even used before. so i consider that to be some sort of made up words that you came up with. Then you went ahead and said after the "accused" is stripped out of pres. immunity or resigning, mkapa is not an active leader hence wont resign, being stripped out of immunity is an argument which
am 99.9% percent sure that it wont happen
. and who else have you ever, ever, ever, ever seen in your life in the political history of tanzania goes to court after resigning apart from dito ?

Mzaramo,

Indulge me if you will, what makes you 99.9% sure that Mkapa will not be stripped of his presidential immunity so he can be prosecuted? You seem to either know something you are not telling us or perhaps you are just speculating, which is it?

Another thing, just because you haven't seen something happen doesn't mean it can't or won't happen. Lowassa, Chenge et. al probably had similar thoughts up to as recently as a few months ago, now they know better!
 
Mkapa Sasa Anaona Kama Ni Wakatimwafaka Wa Yeye Kusema Lakini Cha Ajabu Na Kujiuliza Malambili Ni Kwamba Vipi,wanapo Taka Uraisi Wanaenda Pale Maelezo Mkoani Dar, Lakini Wakialibu Wanaenda Kwa Mambumbu Eti Kujiosha Kama Siyo Mawazo Ya Kishilikina Hayo.
 
Kaenda huko kijijini kujisafisha kama wenzake akina Lowasa na Chenge. Hawa jamaa wanaogopa kujisafisha hapa Dar sababu wanaogopa kuumbuliwa kwa maswali. Huko kijijini wakipewa pilau kidogo na mwishowe wanasahau. Pole sana wenzetu wa vijijini mwabuluzwa kama gari bovu

Anatakiwa ajue hakuteuliwa na wanakijiji wake kuongoza Tanzania yeye alikuwa mkuu wa nchi anatakiwa aongee na Watanzania wote na ajioshe kwetu, hakuwa mbunge, he was Mr Presdent. EL, na mafisadi wenzake kwenda Monduli na where so ever walikuwa na ka usingizio cha majimbo. Na yeye Ben anataka kutuambia aliwekwa pale State na wanakijiji wake???? Au ni yale yale ya ukabila yanaendekezwa na mtumishi mstaafu alieaminiwa kuongoza Taifa, na kuminiwa na Mataifa kusuluhisha migogoro ya kikabila leo anayaleta tena kwetu??? Kwa hili Mr transparent naomba kukuambia UMECHEMSHA. Tafuta sehemu muafaka kwa muda muafaka kutuambia hii minong;ono inatoka wapi. na sio kuongea na kikundi cha watu.
 
PLEASE LETS BE SERIOUS FOR OUR COUNTRY.TUANDAMANE,Ab-Titchaz, COMRADE44, Jeni, kapinga, Magarinza, maisha, middle, Nangisye, sabasaba, SKILLS4EVER, watu EBU MWAGENI MAMBO HAPA ACHANENI NA WATU WALIO NUNULIWA NA MAFISADI
 
Unajua JF kweli tumeingiliwa, kuna watu kwenye maisha unawaheshimu kumbe ni ma-comedy, wakishapata uraia wa US wanafikri wamemaliza kila kitu yaani niishukuru tu hii JF kwa kunisaidia kuwajua mapema maana tungeweza tukaenda nao mbali sana kwenye maisha, kumbe tunahitaji kuwa-down load sasa!

Mkapa anajua kuwa he is done, waulize waliomuona mke wake hivi karibuni anafananaje? Mtu mwenye mipesa yote hiyo kulikoni kuwa kama mwehu?
 
this is what i call self tongue tie. didnt you just tell me kwamba upo stage ya kwanza

Mkuu mbona unataka kuchanganya madawa, nimesema kuwa as far as Lowassa na Chenge, tuko stage ya pili,

lakini Mkapa bado tuko stage ya kwanza, sasa kama ameshaanza kujbu tunashukuru sana maana ni clear kuwa anateseka, ninawaomba media yetu wazidishe sasa kumtwanga, Mzee wetu Mengi tunamuomba azidishe mawe maana in private mkuu humlalamikia sana kuwa ndiye chanzo cha haya yote, masikini angejua tu kuwa chanzo ni sisi wananchi na tatizo ni ufisadi wake,

Wewe mkuu sio fisadi, ila una kiu sana ya kuonekana unajua kuliko wote humu, I hope utafika maana yamewashinda wengi sana hapa JF!
 
Unajua JF kweli tumeingiliwa, kuna watu kwenye maisha unawaheshimu kumbe ni ma-comedy, wakishapata uraia wa US wanafikri wamemaliza kila kitu yaani niishukuru tu hii JF kwa kunisaidia kuwajua mapema maana tungeweza tukaenda nao mbali sana kwenye maisha, kumbe tunahitaji kuwa-down load sasa!

Mkapa anajua kuwa he is done, waulize waliomuona mke wake hivi karibuni anafananaje? Mtu mwenye mipesa yote hiyo kulikoni kuwa kama mwehu?

Kusingiziwa sio jambo dogo hata kidogo. Ni kama pale unapokuwa unafanya kazi ofisi moja na mtumishi wa kike ambaye ni mke wa mtu. Then mumewe anahisi unatembea naye na anaamua "kukusingizia" kwamba unatembea na mkewe. Kama ulivyosema hapo juu, Mkapa anajua nini alichokifanya. Kama kafanya ufisadi ama la, hilo analijua mwenyewe. Hoja yangu ni kwamba unaweza kupakaziwa au kusingiziwa jambo na likakukosesha usingizi na kukufanya uwe kama "mwehu".
 
Kama kafanya ufisadi ama la, hilo analijua mwenyewe. Hoja yangu ni kwamba unaweza kupakaziwa au kusingiziwa jambo na likakukosesha usingizi na kukufanya uwe kama "mwehu".

Hapo kwenye mstari ndipo unapokosea, sisi wananchi ndio tunaojua aliyoyafanya, yeye alifikiri hatujui sasa amejua kuwa tunajua, maana kama ni kumchukia kwa kutowapendelea, wale vijana waliomzomea hawajwahi kuwa viongozi, sasa wale mbona hakuwagusa?

Habari za wizi wake nani anazo wale vijana au viongozi aliokuwa nao huo nyum akina muungwana? Sasa anasema eti kwa sababu sikuwapendelea hivi muungwana alikosa uwaziri under Mkapa? Kwani anyezitoa info zake za ufisadi ni nani wale vijana waliomzomea au people in the high place? mbona mnaweweseka na wakati kazi bado kabisaa?

Duh! JF bwana pole pole mtu mzima anaanza kujitia kitanzi, yangu macho!
 
Hilo la wananchi kujua aliyoyafanya bado ni debatable. Ukiangalia posts nyingi hapa utaona maoni ya watu ni kwamba kuna uwezekano kule BRELA kumbukumbu za huyu bwana hazipo (mchezo mchafu). Kwa maana hiyo ushahidi (na hapa siongelei ushahidi wa kimazingira) bado haupo, na kama haupo ndio maana hakuna aliyediriki kumfikisha mahakamani mpaka leo.
 
Mimi nachoomba wakuu ni kwa familia ya Balali kutoa report yote kwa wanamapinduzi wetu.. Dr. Slaa au Zitto na nakala iende kwa rais mwenyewe..
Hiyo report isomwe bungeni wazi kwa wawakilishi wetu wote ambao

Mkuu Mkandara, najua asili ya binadamu ni kupenda kujipa matumaini na kufikiria positively. But I hate to say this, kwamba report yeyote ambayo itatolewa sasa hivi uzito wake ni mdogo sana na credibility yake ni highly questionable. Balali ametukosea sana kukataa kutueleza ukweli hadi kifo kikamkuta. Tena anaendelea kunishangaa mimi binafsi kwa sababu alishindwaje kutueleza ukweli wa mambo huku akiwa nje ya nchi? Balali anasikitisha sana kwa sababu aliamua abaki na legacy ya kuwa yeye ni fisadi wakati alikuwa na kila nafasi ya kujiweka sawa.

But on the other hand, inakuwa vigumu kumlaumu kwa sababu inawezekana kabisa hawa jamaa wanapoiba hizi hela wanafanya hivyo katika viapo vya kutunza siri hadi kufa. If this is true, we shall never know the truth so long as they reign.

In short, mtu yeyote atakayedai kutupa taarifa kwa niaba ya Balali tutamsikiliza kwa huruma kubwa; tena hao mafisadi wenyewe walioshirikiana na Balali watakuwa wanamcheka! Let's continue with our optimism though as this is quite natural and, therefore, understandable!
 
Hilo la wananchi kujua aliyoyafanya bado ni debatable. Ukiangalia posts nyingi hapa utaona maoni ya watu ni kwamba kuna uwezekano kule BRELA kumbukumbu za huyu bwana hazipo (mchezo mchafu). Kwa maana hiyo ushahidi (na hapa siongelei ushahidi wa kimazingira) bado haupo, na kama haupo ndio maana hakuna aliyediriki kumfikisha mahakamani mpaka leo.

Nakubali 100%. Vidhibiti dhidi ya Mkapa inawezekana havipo!

Na ndio maana wananchi na Media wanataka kesi iendeshwe kwenye ukumbi wa mahojiano MAELEZO.

Wenye vidhibiti waende mahakamani.

Hatutaki maelezo ya Mkapa. Mjini au Vijijijini.
 
Back
Top Bottom