Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

hii movie ya marehem Daudi inafanana kabisa na ile ya 2Pac Shakur ambaye hata baada ya kufariki aliendelea kutoa nyimbo mpya zinazoendana na mazingira ya sasa na hivyo kutupa shida sisi wadau wake........hata hivyo baadae mwaka mmoja mtu aliekua adui yake namba moja nae aliuwawa kama alivyouawa 2pac...cha kujiuliza hapa who is next after balali???
 
Hatuhitaji tume nyingine itafune mabilioni na kuchelewesha kurudisha umiliki wa KCM kwa serikali na fisadi Mkapa kuendelea kujiingizia shilingi 146 milioni kwa siku toka TANESCO. Kuna ushahidi wa kutosha kwamba fisadi Mkapa alijimilikisha KCM katika mazingira ya kifisadi. Hivyo JK anachotakiwa kufanya ni kutangaza tu kwamba serikali imetengua umiliki binafsi wa KCM na hivyo kurudishwa katika umiliki wa serikali.

Lakini utafanyika usanii wa hali ya juu labda hata katika uchaguzi wa 2010 KCM itakuwa bado ipo katika miliki ya mafisadi Mkapa na Yona
 
JK has to deal na hili la Kiwira akitaka asitake.....all he can do is buy time, lakini ata the end atatupa majibu!
wakati yeye akivuta mtu, lets pile up pressure!
 
...naona ndiyo sababu kaamua kuvunjia ukimya kijijini> Si kama ana ubavu wa kupinga hili jambo na aje maelezo, kisha ajaribu kuzungumza upuuzi huu na aulizwe maswali??

Waandishi wa mjini leo "wametulizwa" na mouthpiece ya Kikwete Salva Rweyemamu. Sio tu kayapondelea mbali maswali yao kuhusu utata wa kifo cha Ballali, bali kajifanya kuwapa shule, eti waheshimu taaluma yao.

Na huyo Rweyemamu ni cha mtoto kwa Mkapa. Mkapa atawatoa damu waandishi wachovu wa Bongo, oooho!

Hatutaki maelezo ya Mkapa, mjini wala kijijini.
 
kifo cha balali (the real or fabricated one) kimewapa pakusemea wakubwa wengi wanaohusika na ufisadi.
kwa akili zao za kifisadi zinavyowatuma ni kuwa sasa hakuna tena pa kukamatiwa. subirini mtasikia kigoda ni kampuni hewa ambayo haina mwenyewe (ati lilitumika jina na id fakes kusajiliwa)......
lakini wajuwe kuwa, kama walikula pesa zetu tumeshawabaini na tutawabana mpaka mwisho wake, hamna kukata tamaa
 
Kwi!kwi!kwi! Yamewashinda Chenge na Lowassa hayo, sasa ni next on line.........na ku-step forward patamu hapo! Balali kaacha vitu vizima na vizito, mama sasa hivi huongea mwenyewe bila ya kusemeshwa na mtu, halafu ameshachakaa ile mbaya kwa mawazo, nguvu ya umma ni ya Mungu,

Wote watatinga Segerea tu, ubavu hana "File" lake lipo ndio hilo linavujishwa kila siku, yeye mwenyewe anajua kuwa it is over! Maelezo hayo mbona hata Chenge aliyatoa na Lowassa pia waliyatoa huko porini, lakini waliporudi mijini wakatemwa nje, sasa bado sheria inakuja hiyo,

Kama ana ubabe wa bondia upepo wa Kanyaboya, basi sisi wananchi ni Emmanuel Mlundwa pale DDC longtime ago, kwa hiyo ni hewa tupu hizo, what a clown yaani Mkapa aibuu mtu mzima duh!!!!
 
hatishwi ntu hapa, nzee nkapa usiogope mana hata kule kwetu watu hutisha watu na unajua nzee hatishiwi nnyau
 
Ndio maana tuna sheria za jamhuri, ni kusudi asitishiwe mtu, wala kiongozi, lakini afungwe tu kwa ufisadi wake! Hilo halikwepeki!
 
Ndio maana tuna sheria za jamhuri, ni kusudi asitishiwe mtu, wala kiongozi, lakini afungwe tu kwa ufisadi wake! Hilo halikwepeki![/SIZE]

wa gwan man ? lemme say dis man, are you saying HE IS GUILTY EVEN BEFORE PROVEN ? au inakuwaje maana mtu mzima sijakupata bado what you said suggests that you might be anxious to see him locked up even waay before seeing the reality of the whole saga. kama ndio hivyo basi mie narudi uzaramuni na wote waliohamia dar wahame watuachie jiji letu. wahame na wizara zote mahakama zote hadi na ikulu ikifuatiwa na hiyo bot
 
Kila FISADI nasingiziwa nasigiziwa. Wanapata nguvu hizo kwa sababu TANZANIA hii hakuna mwenye UBAVU wa kumpeleka FISADI mahakamani. HAKUNa.

Ni wakati muafaka kwa viongozi wetu kuaanza kutupa majibu ya ukweli. watanzania tunataka kujua nini kilitokea, katika mazingira gani, na mshusika alichukua nafasi gani na kwa nini alifanya hivyo. Kuendelea kukana ni kuendelea kuwafanya watanzania wajinga na kuwadharau.

Pale mtu anapojiuzulu, halafu hatoi maelezo yoyote ya kuonyesha amekosea na kusikitishwa kwake na kosa hilo, bali kujitetea haileti maana kabisa. kimsingi mtu anajiuzulu pale anapoona kwa namna moja au nyingine hawezi tena kuitumikia nafasi yake kwa ufanisi. hapo inambidi aelezee kiundani. sasa hapa kwetu kila mtu anakana, na yaliyo wazi kabisa bado wanakana hii ni kutudharau kwa hali ya juu.

kwenye hili kama kweli Raisi Mkapa anataka kujisafisha, awaeleze watanzania kila kitu na kujibu yote yanayoelekezwa kwake. atuachie sisi tuchambue kama ni uongo ama la. sio yeye bila kutoa jibu lolote anataka tuamini kotowapendelea watu ndio wamemzushia. hao watu ni kina nani? na aelezee huo upendeleo ulikuwa on what.

kwa upande wangu bado Raisi Mkapa hajazungumza
 
kwa hiyo wataokaomhukumu mkapa ni wananchi right man?
 
Mkuu I have seen enough, sasa kazi tu, si unajua ukiona moshi ujue chini kuna moto, mtu mzima haendi kulia porini hivi hivi tu, eti anasingiziwa? Unafikiri hizi habari zinazovuja za ufisadi wake zinatoka wapi mkuu?

Kuna katibu tarafa anayeweza kuwa na habari za ufisadi wa rais wa zamani kama yeye?
 
i think one great way to deal with real issues is not to act like the other party might understand it would have been much helpful mkuu if you laid everything out rather that leaving info for me that i dont know and expect me to rule out. Even though Mkapa faces allegations which are not prooven that does not and will not make me decide anything about him just because people accuse him of those thing unless pure and plain truth of statements are laid out in a understandable manner.
Up to this point i cant rule anything on him
 
Mimi nachoomba wakuu ni kwa familia ya Balali kutoa report yote kwa wanamapinduzi wetu.. Dr. Slaa au Zitto na nakala iende kwa rais mwenyewe..
Hiyo report isomwe bungeni wazi kwa wawakilishi wetu wote ambao watakuwa na nguvu ya kufungua mashtaka dhidi ya Mkapa....Inawezekana kabisa..
Leo nimeona ktk taarifa ya habari yule rais wa Ethiopia - Haile Marium Mingistu amehukumumiwa kifo pamoja na kwamba yuko mafichoni huko Zimbabwe..

Mzaramo,
Even if proven guilty in the court of law you might decide to stand by him....It's all comes to what you believe now - The truth!
 
Mimi nachoomba wakuu ni kwa familia ya Balali kutoa report yote kwa wanamapinduzi wetu.. Dr. Slaa au Zitto na nakala iende kwa rais mwenyewe..
Hiyo report isomwe bungeni wazi kwa wawakilishi wetu wote ambao watakuwa na nguvu ya kufungua mashtaka dhidi ya Mkapa....Inawezekana kabisa..

Leo nimeona ktk taarifa ya habari yule rais wa Ethiopia - Haile Marium Mingistu amehukumumiwa kifo pamoja na kwamba yuko mafichoni huko Zimbabwe..

can you please clerify before we go ahead whether mr mkapa should be hold accountable for the death of ballali or the unprooven allegations towards him and what if that family report contains known misleading errors which might be used against mkapa since we are told that the late ballalis family had connections (related) to mbowe
 
kwa hiyo wataokaomhukumu mkapa ni wananchi right man?

hio ndio maana yake, ajibu hoja zote, wananchi watazipima na kumhukumu, na hapa namaanisha kwa kutumia sheria. Cha muhimu azungumzie hoja zilizopo sio kusema neno Uongo (haijalishi hata akilirudia 7 mara 70)
 
can you please clerify before we go ahead whether mr mkapa should be hold accountable for the death of ballali or the unprooven allegations towards him

Mzaramo,
If you want my answer on that I would say yes. The truth will come out, and soon too.
 
hio ndio maana yake, ajibu hoja zote, wananchi watazipima na kumhukumu, na hapa namaanisha kwa kutumia sheria. Cha muhimu azungumzie hoja zilizopo sio kusema neno Uongo (haijalishi hata akilirudia 7 mara 70)

kwi kwi kwi ! wananchi wamhoji mkapa? you play checkers right
 
Back
Top Bottom