1.
Ooh kumbe unakuja hapa kutafuta target? Una maana jana na juzi nimekutwanga au? Maana kama today niko kwenye target yako then ina maana kuna mahali jana nimekupa kipigo, sasa unajaribu tena today, au?
2
Hapana mkuu hii English ni too low kwa forum kubwa kama hii ya JF!
3.
Kwenye siasa kama sheria, huwa tunatumia history, kwanza wananchi huanza makelele, then kiongozi hujibu kwa jeuri, baadaye kutupwa nje that is what happened kwa Lowassa, chenge, Karamagi, na Msabaha, sasa Mkapa is next!
4.
Kwenye Court of Opinion, sina sababu ya ku-prove anything, lakini the fact kwamba Mkapa ameamua kujibu nothing ni very incouraging news, kwa sababu next time atajibu something serious, cha muhimu kwanza ilikuwa kupata his attention, now we have it already, kwa hiyo as a nation tuko kwenye the right track! Off course a thug kama Mkapa deserve thug ruling na sio anything else!