Fisadi Mkapa kapata nguvu baada ya kifo cha Ballali, lakini hajui kwamba kubwabwaja kwake hakusaidii lolote maana anahusika katika ufisadi wa rada, ununuzi wa ndege ya rais uliofanyika akiwa amebakisha miezi miwili tu kumaliza muda wake, ununuzi wa magari ya jeshi na helicopters za jeshi, kujimilikisha yeye na Yona KCM katika mazingira ya kifisadi na kisha kuishinikiza TANESCO chini ya uongozi wa makaburu aliowaleta fisadi Mkapa kusaini mkataba wa kumlipa Mkapa shilingi 146 millioni kwa siku, kuchota mabilioni ya pesa kupitia account ya EPA pale BoT na kuyaingiza kwenye bank accounts za makampuni ya kifisadi na chama cha kifisadi na hatimaye kuishia mifukoni mwa mafisadi akiwamo Mkapa.
Fisadi Mkapa wacha kujidanganya, Watanzania tutaendelea kuuliza maswali mpaka kieleweke kwa ufisadi wako, mshahara na marupurpu yako uliyostahili kulipwa na Watanzania ni makubwa mno na hukustahili kufanya ufisadi sasa tamaa ya fisi imekuponza.