mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,759
Acha kujidai wewe mburula mnafiki, huo msimamo wako unaishia humu JF....huna ubavu wa kwenda ofisi za ufipa na ubwatuke kuwa Lowasa fisadi na wakuache.Mbona sijafukuzwa wewe punguani!? Acha kuonyesha utaahira wako wa kuandika vitu ambavyo havipo. Msimamo wangu kuhusu fisadi Lowassa unajulikana ndani ya chama hakuna hata mmoja aliyethubutu kunitaka nirudishe kadi ya uanachama au kunivua uanachama wangu ndani ya CHADEMA. Acha kuandika vitu vya kusadikika.
Halafu ume maliza ki mama sana mkuu hebu jirekebishe, narudi kwenye mada wenzio wa GOP wana sababu ya kubakia wewe hauna, na nimekuonesha Trump siyo Lowassa usiwafananishe, any way tuseme hao wa GOP wamebaki , kwa hiyo hao ndo wana justfy maamuzi yako!!?Dah! Mxciuuuuuuuuuuuu.
Hao hufuata wanachoambiwa na Sultan
Ni mnafiki kupita kiasi....ndio maana hawa jamaa huwa wakimsema Lipumba huwa nawashangaa sana.![]()
![]()
![]()
Halaf BAK nilikuwa namuona mtu wa maana kweli, ila kwa unafik alio nao halafu ana jitetea nimegundua hawa ndo wanao ua halaf wanakataa mtu hatar sana huyu
Anapiga kelele hapa jf tuuMasikini.....na hivi chama chenu ni cha kifashist huna hata pa kupeleka mawazo zaidi ya hapa JF......
Na ukijaribu kuzungumza haya kwenye vikao vyenu vya Chama utaishia kufukuzwa kama mbwa koko.

Ukute hata sio shabiki wa kweli wa Manu, mateso yakiendelea atakimbia.![]()
![]()
Halaf BAK nilikuwa namuona mtu wa maana kweli, ila kwa unafik alio nao halafu ana jitetea nimegundua hawa ndo wanao ua halaf wanakataa mtu hatar sana huyu
Eti anadai chama kinajua msimamo wake dhidi ya Lowassaa na hakimpokonyi uanachama.Anapiga kelele hapa jf tuu
Ampinge Mbowe kwani hajipendi huyu!!!![]()

Na chakushangaza anataka atetee unafiki wake, si angepiga kimya tuu! Kaniskitsha kwa kweliNi mnafiki kupita kiasi....ndio maana hawa jamaa huwa wakimsema Lipumba huwa nawashangaa sana.
![]()
![]()
Halaf BAK nilikuwa namuona mtu wa maana kweli, ila kwa unafik alio nao halafu ana jitetea nimegundua hawa ndo wanao ua halaf wanakataa mtu hatar sana huyu
CC: ufipa streetJana ilikuwa siku ya afya ya akili na iliadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma na report ikatolewa kuwa Dar pekee ina wagonjwa wa akili zaidi ya 400,000.
Na kwa kupitia huu uzi naungana kwa dhati kabisa na hiyo report sababu hata JF zaidi ya 60% ni punguani kama vipimo vitafanyika leo.
Hii thread nzuri sana, Unajua rangi halisi za watu hasa waTZ
Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.
Uliyeleta mada ni mkereketwa wa ACT.Kwa taarifa yako,Ukawa haiitaji mtu anayeitwa mamvi.Kumkubali mtu mzee huyu ndani ya ukawa ni kama kuchambia mfuko wa Rambo.
Mtu anayeshindwa kuitetea ccm japo Arusha Tu hatumtaki.
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Ivi huko UKAWA ndo wanapokea mafisadi
Daaah
aibu sana hiiwakikusikiaaaa!!!!Mkuu huyu jamaa. Ndio eti makamanda wa chadema , yaani hawana msimamo kama Bendera ya kimasai
Kaniangusha sana huyu jamaa kwa kweliMkuu huyu jamaa. Ndio eti makamanda wa chadema , yaani hawana msimamo kama Bendera ya kimasai
Daaah
Mkuu ndio jamaa yetu alivo hivi tumsamehe bure
aibu sana hii
Hahahaa
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .