barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
duuh..aisee,leo kama si wewe vile
Mcheki huyu mnafiki chini, leo nae ni bavicha.
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
duuh..aisee,leo kama si wewe vile
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Mambo?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Leo hii unamuita Dr Slaa Dr mihogo. Aisee nyinyi ni watu wa ajabu sana. Hata aibu hamna.ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Mambo?kapige mswaki kaka maana inaonekana ulikuwa usingizi..
unadhani ukawa ni kwepesi kivile?..
akijiloga akaingia tu ataambiwa akagombee udiwani ili wampime imani km kweli ni kamanda
Hello!Haiwezekani maana hana sifa za upinzani.hatutaki UKAWA iwe tawi la ccm
Helloukawa hawawezi mkaribisha mwizi! wezi wenzie wamshindwe sa ukawa itakuaje???
Mambo?Mtoa mada umeongelea Lowassa 'kugawa pesa kama njugu' ili awe rais. Nakukumbusha kuwa UKAWA haihitaji mgombea mwenye sifa kama hiyo! Na siyo mgombea tu, bali haihitaji hata mwanachama wa kawaida tu kuwa na hiyo sifa ya kutoa rushwa.
Huyo jamaa keshabadili ID.Mambo?
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
HelloHata kama atahongo billions viongozi wa ukawa hawawezi kumpendekeza na hawawezi kumkubali by any means. Hauziki huyo
Mambo?ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Hellosisi hatupokei watu wachafu
Hi!Lowassa ndo huyu hawezi hata kukimbia mitaa 100
Hellomtakufa njaa lowasa amewahonga sh.ngapi mna spidi sana za kumsafisha lakini hata mngemsafisha na omo bado uchafu uko pale pale
Ikawa jioni, ikawa asubuhi mwaka mmoja ukapita, naam, tazama mtu yule akageuka nyuma na kupoteza kumbukumbu, akaanza kuimba hovyo ...
Utawaua kwa pressure
Hello
Mambo?
Kamanda vipi tena?wewe ndo unaota DR Slaa ndo chaguo letu
Hivi Ocampo four yupo wapi huyu jamaa