ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
lowassa akija ukawa naachana na siasa!
Mkuu ushaachana na siasa?
Mwenzio Slaa anajuta kujuana na Mbowe...
lowassa akija ukawa naachana na siasa!
UKAWA hakuna nafasi ya mafisadi aende zake huko. UKAWA hawawezi kufanya makosa ya kipumbavu ya kumkaribisha huyu fisadi.
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumkataa Lowasa ndani ya ukawa wengi ni waganga njaa tu.
Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.
Chadema imeshauzwa.
Dr. Slaa anajuta kupoteza nguvu zake bure...
Bado unashika kauli yako hii?
Mkuu kweli unawajua hawa watu...
Mtoa mada umeongelea Lowassa 'kugawa pesa kama njugu' ili awe rais. Nakukumbusha kuwa UKAWA haihitaji mgombea mwenye sifa kama hiyo! Na siyo mgombea tu, bali haihitaji hata mwanachama wa kawaida tu kuwa na hiyo sifa ya kutoa rushwa.
LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
UKAWA wasimkatae akija kama mwanachama au kugombea jimbo la Munduli lakini si cheo cha uraisi. Kwa nini aje mwisho kisha apewe ugombeaji wa uraisi? Maana yake shida yake ni urais walasi upinzani! Alikuwa na nafasi nzuri sana muda wote kuingia upinzania hawezi tena. Pili hana jipwa Lowasa, alisha zeeka apumzike huyu.
Dah! ni sawa na kubeba sufuria la moto
sisi hatupokei watu wachafu
Nashangaa watu wanavyomnadi EL huyu hawezi kuwa rais wa Tanzania pamoja na njugu zote anazomwaga, watakula na kuvimbiwa kama JK alivyovimbiwa wizi kwa miaka 10 iliyopita. Hana jipya. wakuu endeleeni kufaidi hizo njugu kutoka Voda phone hazina mwenyewe. Kiini cha kuvuruga shirika la simu Tanzania.
UKAWA hatuwezi kumpokea mtu mchafu kama Lowassa
Lowassa ndo huyu hawezi hata kukimbia mitaa 100
kukwagua gwaride hataweza .Lowasa akishinda uraisi ntatembea uchi dar-moro
Wenye kuwania urais kupitia sisiemu na wanaokubalika wapo kimya, nashangaa nyie mapovu kila siku. Huyo ni mwizi, na silaha ambayo upinzani wataitumia dhidi yake ni Richmond. Tambua watz si wajinga kama wewe na team yako mnavyodhani.
Kuna jitihada zozote amezifanya za kuwahakikishia wananchi kuwa alionewa? Au anavyogawa pesa kama njugu ndo kuwaonyesha kuwa alionewa? Sijapandikizwa chuki. Ni kwamba hana sifa na ana skendo.
hata akijisafisha na magadi bado ataendelea kuwa mchafu
ninyi ndio mbulala mnaotusumbua hapa tz. kwa mtindo huu tutakuwa na lundo la wezi wanaojisafisha halafu nyie mnapewa ela . ni afadhari ya kuishi na mbuzi lakini sio na watu kama nyie .
Mmmh ata kuja kuharibu chama yule
Ataingia ACT au TLP kwa Mrema ili apate kugombea urais
Jamani Ikulu ni pahali patakatifu sio kwa kuhonga kunakofanywa wazi wazi hivyo...tuwe wakweli CCM IWE MAKINI NA IMSAIDIE MUNGU SIO KUBEBA WALA RUSHWA NA KUHONGA KUINGIA IKULU.
Yani huyo Lowasa yeye ni spacial kiasigani, hata atoke ccm asubuhi, jioni aingie Ukawa nakupewa nafasi ya juu kiasihicho!!.
Ivi huko UKAWA ndo wanapokea mafisadi
Labda Simba UKAWA..sio UKAWA hii tuijuayo sie
dr slaa hawezi kukubali kumwachia lowasa agombee badala yake.
Kama UKAWA lengo lao kuu ni kushinda uRais tu (kiasi cha hata kumtumia mtu kama Lowasa), basi HAWATUFAI! Nchi inahitaji marekebisho makubwa sana kisiasa. Watu kama Lowasa (na wenzake huko CCM) wanawakilisha uozo unaolitesa taifa letu leo hii.
Toka li shibuda liharibu ukawa ipo macho sana na wasaka madaraka
Acha sitaki - nataka!Lowasa hafai hafai basi oo sijui awe mwanachama wa kawaida wa kazi gani?Kama ni mwanachama ana haki ya kugombea urais!
Ukawa hauijui wewe!
ukawa hatutaki mapepo!! huko huko
Kwa7bu hzo bora CCM ife kuliko kumweka huyu mtumwa wawahindi. Inaniuma sn kuona watu timamu mnamsafisha mtu alie tuingza kwenye hasara kubwa wakati wapo watu wasio fungamana na makundi jaman huyu mzee hafai
EL ni kielelezo cha vyote ambavyo ukawa wanapinga. Haitawezekana kumpokea kwa vyovyote vile. Labda kama ukawa watakuwa wamerukwa na akili.
dr slaa hawezi kukubali kumwachia lowasa agombee badala yake.
Unajisikiaje mkuu leo hii ukisoma hii comment yako?????????????LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Mkuu umeshatoka au unasubiri Lowasa aje UKAWA Ndo utoke?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .