Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 422
aiseee babayangu naunga mkon hojaUKAWA waje hapa wakanushe hii taarifa...
aiseee babayangu naunga mkon hojaUKAWA waje hapa wakanushe hii taarifa...
Yap. Hawa jamaa ni ndugu. Ma mkubwa kwa ma mdogo
Hivi huwa kuna supu ya mawe kweli? Kama ipo basi lazima itakuwa inaongeza nguvu za kiume.
rugemaa ndio mana nikasema viongozi wa ukawa wakanushe huu uvumii hii itasaidia hata wananchi wasiunganishe dot za RICHMOND na ESCROW wakikaa kimya tutaamini kuna mazungumzo yanaendelea...kapige mswaki kaka maana inaonekana ulikuwa usingizi..
unadhani ukawa ni kwepesi kivile?..
akijiloga akaingia tu ataambiwa akagombee udiwani ili wampime imani km kweli ni kamanda
Du!, naisubirieje hiyo move!, just imagine, Pasco wa JF, akabidhiwe kitengo cha mawasiano cha UKAWA, Ukawa itapaaje?!.
hakuna lolote alilowahi kulifanya bila kumjulisha au kumshirikisha mh.rais
UKAWA waje hapa wakanushe hii taarifa...
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .