OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wote El tutahamia ukawa. Tunamtaka awe rais hata akisimama kama mgombea binafsi tutamuunga mkono.
Sawa kabisa mkuu
Wote El tutahamia ukawa. Tunamtaka awe rais hata akisimama kama mgombea binafsi tutamuunga mkono.
hata akienda motoni mtaenda naye???
Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea uraisi CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya uraisi.
Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni raisi wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"
Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea uraisi.
Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.
Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
By: SUPU YA MAWE
hata akienda motoni mtaenda naye???
We kichwa chako umejaza nini? Mnataka Slaa awe raisi na hawi ng'oo so chill bro. Labda useme humtaki lowassa upendekeze raisi wako ila kwa sasa hivi credit zote zinaenda kwa lowassa. UKAWA endeleeni kujipanga muda wenu utafika ila sasa hivi tuachieni CCM yetu na raisi wetu mtarajiwa ENL
Kama motoni watu wanagombea uraisi tutaenda nae hakuna tatizo. Tunachotaka ni yeye kuwa raisi baasi
Lowassa ndo huyu hawezi hata kukimbia mitaa 100
Kama motoni watu wanagombea uraisi tutaenda nae hakuna tatizo. Tunachotaka ni yeye kuwa raisi baasi
endeleeni kumpa moyo 2015 siyo huyu lowasa asiposhinda uraisi sijui mtakula wapi
Lowassa ndo huyu hawezhata kukimbia mitaa 100
We kichwa chako umejaza nini? Mnataka Slaa awe raisi na hawi ng'oo so chill bro. Labda useme humtaki lowassa upendekeze raisi wako ila kwa sasa hivi credit zote zinaenda kwa lowassa. UKAWA endeleeni kujipanga muda wenu utafika ila sasa hivi tuachieni CCM yetu na raisi wetu mtarajiwa ENL
Kwani uraisi ni riadha mkuu? Kukimbia ni uamuzi binafsi wa mtu hauhusiani na mtu kuwa raisi
Tutakula chakula tunayo kula leoendeleeni kumpa moyo 2015 siyo huyu lowasa asiposhinda uraisi sijui mtakula wapi
Sikiliza wewe FISI, mimi sio ukawa wala sisiemu. Nachotaka ni rais bora, sasa mnyonya mapvmbu ya EL kama wewe unakuja na upumbafu eti EL for presidency, unahitajika kupelekwa mirembe, kwamba hujui EL ni worse than JK?? Kuona hili hauhitaji kuwa na certificate, diploma au shahada zingine. Wala hauhitaji hesabu au science nyingine kujua kuwa hafai, haiwezekani anatumia pesa nyingi hivi kutaka kuwa rais. Na kwa taarifa yako, huyu hata sisiemu hakatizi. Mtamremba sana na kukisi mapvumbu yake, ila hamna kitu. Sidhani kama sisiemu ni wapumbavu kama wewe na team yako.
Kwani Ikulu kuna Uwanja wa Riadha?
Jiulize kabla hajatangaza nia ya uraisi tulikua tunakula wapi. Kuna watu akili zenu sijui zinawaza nini mnaamini kila anaemkubali lowassa anapewa hela.
hukumwona JK akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia huyu Lowasa amechoka sana
Tutakula chakula tunayo kula leo
Wenye kuwania urais kupitia sisiemu na wanaokubalika wapo kimya, nashangaa nyie mapovu kila siku. Huyo ni mwizi, na silaha ambayo upinzani wataitumia dhidi yake ni Richmond. Tambua watz si wajinga kama wewe na team yako mnavyodhani.