barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Umepaniki mkuu kwahiyo unataka tunyonye yako na siyo ya lowassa? Unataka tuamini mgombea unaemtaka wewe unamnyonya di@#k ndo maana unamsupport? Lowassa anaweza kuwa more worse tha JK lakini mbona hujawahi kujiuliza kwanini Lowassa hakuwajibishwa kwa kashfa ya Richmond wala hakupewa nafasi ya kujitetea? Usipende kuchukulia vitu juu juu mkuu sababu umeshapandikizwa chuki moyoni mwako
Kuna jitihada zozote amezifanya za kuwahakikishia wananchi kuwa alionewa? Au anavyogawa pesa kama njugu ndo kuwaonyesha kuwa alionewa? Sijapandikizwa chuki. Ni kwamba hana sifa na ana skendo.