Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mamaaaaaa Aminaaaa.......! Ngoja nikatafute kigodoro na matarumbeta fasta kunogesha hii singo

#Mshana jr, hii sio joke, ni very serious...haaaa...yaani CCM tuko hali mbaya...tukilogwa tu tukajifanya cjui Lowassa nn, CCM hiyooo kaburini...yaani CCM hali mbaya...we have to agree to terms and conditions...na nyakati ndio sasa, LOWASSA ni Simba...!!!!
 
lowasa si chochote ndani ya ccm, asisubiri kuachwa atoke tu hata sasa na ccm itapeta kama kawa, heri ya nusu shari kuliko shari kamili, lowasa ni shari kamili


Wenzako ndani ya vikao, wanataka kukimbia, nguo za ndani zinawabana...ww uko ndani ya kikao cha CCM...unaongea uko nje wa uwanja..wanaocheza uwanjani washanyoosha mikono juu....ww mshabiki tu...huna effect...!!!
 
#Mshana jr, hii sio joke, ni very serious...haaaa...yaani CCM tuko hali mbaya...tukilogwa tu tukajifanya cjui Lowassa nn, CCM hiyooo kaburini...yaani CCM hali mbaya...we have to agree to terms and conditions...na nyakati ndio sasa, LOWASSA ni Simba...!!!!

Nimekuelewa kaka na hiyo ndio hali halisi tusubiri tuone vile itakuwa
 
ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm

Dr. Slaa kaambiwa time and tides wait for nobody.

Lowassa ni muhimu kwa Chadema kuliko Slaa. Usifanye mchezo na pesa.

Chadema ushauzwa...
 
Kwenye hii mada kuna michango ya watu ambayo ningependa leo watueleze wamebadili mawazo vipi... ama waliamini walichokisema humu au hawakukiamini.

Mkuu ungewa quote hao wanafiki na weka majibu yao ya 2012
Niulize basi kuwa inawezekana kuwa tokea 2012 Zitto alichukiwa na kujengewa zengwe kutokana na hili? Haiwezekani kuwa Lowassa alikuwa nyuma ya mgogoro huu wa Chadema vs Zitto?
Kuna mengi tutakuja kujua lakini muhimu ni kutambua kuwa Mbowe hakuanza mwaka huu kuongea na Lowassa. Kumbe CCM B ni Chadema all along hawakujua tu subordinates!
 
Back
Top Bottom