Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

Hapana Madame S huwa naepuka sana kusema binadamu mwenzangu kwamba ni mbaya au kucheka/kudharau kilema kwani kabla hujafa hujaumbika.
ni kweli kabla hujafa hujaumbika hata mm naelewa nina kasoro kadha wa kadha lakini bado haijanitoa kua kiumbe mbaya vivo hivo kwako na wengineo, unisamehe mana nilifikiri ndivo sivo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo kifo ndiyo kinachokuogofya, hiyo ni nature,uwe muuza mwili au mvaa kilemba lazima utakufa tuu, cha msingi ni kuheshimiana katika maamuzi ya kila mmoja wetu. Maisha hayana kanuni, ipo siku na wewe tutakukuta unaimba taarabu nusu uchi kwa hiyo tukukashifu?
Nioneshe ujumbe wangu umekukera wapi?

Kesho umauti tu. Hujuwi kuwa tunatembea na umauti?

Na ujumbe wangu ndiyo huo, wacheni kuuza miili yenu kwa kujianika kustarehesha wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kifo ndiyo kinachokuogofya, hiyo ni nature,uwe muuza mwili au mvaa kilemba lazima utakufa tuu, cha msingi ni kuheshimiana katika maamuzi ya kila mmoja wetu. Maisha hayana kanuni, ipo siku na wewe tutakukuta unaimba taarabu nusu uchi kwa hiyo tukukashifu?

Sent using Jamii Forums mobile app

We punguani kweli kweli, umeona neno kuogofya au kuogopa kwenye uzi wangu?

Nnachokiogopa ni Allah pekee.

Nnawausia nafsi zenu kama nnavyoiusia nafsi yangu. Nnawaamrisha mema na kuwakataza maovu kama nnavyojiamrisha nafsi yangu.

Ukiona wapi Taarab ikaimbwa nusu uchi? Mfano wako wamkijinga kabisa kabisa kabisa kwa kuwa tu unatetea ushetani basi unashindwa hata kuchagua la kuongea.

Kwa hiyo kama siyajuwi ya kesho basi ndiyo hata mnapofanya ufisadi wa kiwango cha kuuza miili yenu tukae kimya?

Hakika mtumwa hajifichi. Walikuwa wakiuzwa uchi babu na bibi zako utumwani ukisoma historia unachukia, leo wewe mwenyewe wanauzwa dada zako unashangilia na kuona starehe, ajabu kubwa sana hii.
 
Wewe bi kizee mfia dini hujui chochote, hivi unajua uislamu ulitoka wapi? , nikwambie wenye dini wenyewe ndo wanaongoza kwa maovu. Unajua yaliyomkuta Jamal Kashogy sasa hapo dini iko wapi, kwa ufahamu wako unaona dini ni kuvaa maguo marefu au?
We punguani kweli kweli, umeona neno kuogofya au kuogopa kwenye uzi wangu?

Nnachokiogopa ni Allah pekee.

Nnawausia nafsi zenu kama nnavyoiusia nafsi yangu. Nnawaamrisha mema na kuwakataza maovu kama nnavyojiamrisha nafsi yangu.

Ukiona wapi Taarab ikaimbwa nusu uchi? Mfano wako wamkijinga kabisa kabisa kabisa kwa kuwa tu unatetea ushetani basi unashindwa hata kuchagua la kuongea.

Kwa hiyo kama siyajuwi ya kesho basi ndiyo hata mnapofanya ufisadi wa kiwango cha kuuza miili yenu tukae kimya?

Hakika mtumwa hajifichi. Walikuwa wakiuzwa uchi babu na bibi zako utumwani ukisoma historia unachukia, leo wewe mwenyewe wanauzwa dada zako unashangilia na kuona starehe, ajabu kubwa sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom