Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

Unakusaidia nini? Mwanamme akiona mwanamke mzuri huwa anaondoa stress. Ndio maana mtu akuona mwanamke mzuri lazima ageuke aone na maungo ya nyuma. Ukitoka asubuhi kama mtu wa kwanza kukutana nae ni mwanamke mzuri hata huko uendako kutakua na mafanikio mazuri na roho yako inakua kwatu siku nzima. Tofauti na ukikutana na kizuka sura mbaya pretender aliyefishwa ma baibui meusi.
Kula like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ulioje.

Mwanamke anafanya kila njia ili akajiuze mwili wake. Na watu wanasifia!
Faiza za asubuhi dada yangu, hivi kweli mwanamke akijipamba akapambika akashindanishwa na wanawake wenzie akachaguliwa kwamba kawashinda uzuri na weledi wenzie ndio kajiuza mwili wake?!? au ni dhambi!?! nijuavyo mimi wanawake wameanza kujipamba tangu enzi na enzi hata zama zile uzijuazo wewe walijipamba na ninaamini wao kwa wao walipenda wawashinde wengine kwa uzuri. Faiza usiwe too rigid mpaka kumhukumu mwenzio hivyo.
 
Sikutembea wa miguu kilomita kumi na donda la mguuni.
Hakuna akipendaye kidonda.Ilikuwa ni ajali tuu kwake.Kumbuka kuwa ninyi ni mapambo.Sisi huvutiwa na ninyi tuonapo maungo yenu.Hii ni Human nature.Mababu zetu waliishi kwenye maisha hayo.Hata wewe pamoja na kujitanda sana nguo,uwapo nyumbani na baba watoto wako huvaa nguo laini na nyepesi ukiwa na lengo la kutaka mumeo ayaone maungo yako ili avutiwe na wewe.Wanaume tuko hivyo.Maungo yenu hutuvutia.Hata siku moja,usimfiche mumeo maungo yako.Bahati nzuri wewe ni mkongwe.Utamaduni huo wa kuyaacha maungo upo tuu tangu enzi za mababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What if anafanya ndoa ya mkataba (nikah mut'ah) ambayo ni halali kwenye uislamu? Bado utamuita ni mjinga?
Huyo ndio mwerevu kuweza kutapakaa kwenye nyumba zenu mkimuita kinga ya nyumba mkuu.Nakummuangalia wakati mnasali na kumlilia wakati mmekutwa na matatizo kumbe sio O.G mnayemdhania!
1547888569008.jpeg
1547888569008.jpeg
 
Hakuna akipendaye kidonda.Ilikuwa ni ajali tuu kwake.Kumbuka kuwa ninyi ni mapambo.Sisi huvutiwa na ninyi tuonapo maungo yenu.Hii ni Human nature.Mababu zetu waliishi kwenye maisha hayo.Hata wewe pamoja na kujitanda sana nguo,uwapo nyumbani na baba watoto wako huvaa nguo laini na nyepesi ukiwa na lengo la kutaka mumeo ayaone maungo yako ili avutiwe na wewe.Wanaume tuko hivyo.Maungo yenu hutuvutia.Hata siku moja,usimfiche mumeo maungo yako.Bahati nzuri wewe ni mkongwe.Utamaduni huo wa kuyaacha maungo upo tuu tangu enzi za mababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama umejitanda nguo.Ukiwa na umbo la kiafrika maungo yako yatachorwa tuu mwilini pako.Kiuno kitajulisha tuu kilipo.Makalio yataonyesha tu yalipo.Matiti yatajulisha yalivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom