Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Faiza za asubuhi dada yangu, hivi kweli mwanamke akijipamba akapambika akashindanishwa na wanawake wenzie akachaguliwa kwamba kawashinda uzuri na weledi wenzie ndio kajiuza mwili wake?!? au ni dhambi!?! nijuavyo mimi wanawake wameanza kujipamba tangu enzi na enzi hata zama zile uzijuazo wewe walijipamba na ninaamini wao kwa wao walipenda wawashinde wengine kwa uzuri. Faiza usiwe too rigid mpaka kumhukumu mwenzio hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app