Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
218
318
Huyu ni mshiriki wa ushindani la miss Rwanda 2019. Alianza kutikisa vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kuwa binti pekee aliyejitokeza katika shindano hilo akiwa a imetokea kijijini na kutembelea kwa miguu imebaki wa kilomita kumi.

Akiwa njiani kuja katika usaili alipata ajali ya kujikwaa kidole cha mguu na kupata majereha. Pamoja na ajali hiyo hakukata tamaa na keundelea na nia yake huku akitembea kwa mguu kilomita hizo akiwa na kidonda mguuni.

Binti huyo awali alidharaulika kwakua ni pekee mwenye kuonekana Masikini na mshamba wa kijijini na zaidi alionekana kama kituko.

Binti pekee aliye na muonekano halisi wa Kiafrika pamoja na urembo wa asili. Ujasiri wake ulivutia watu wengi baada ya kuwaonesha kuwa shindano hilo sio la watu wa matajiri wa mjini pekee bali kila binti anayo haki ya kushiriki.

Heshima na umahiri wake wa kujibu maswali umewavuta watu wengi kumpa sapoti hadi kufikia kupewa zawadi ya gari.

Rwanda, Afrika mpaka Ulaya wote wanataka awe Miss Rwanda na tayari kuna kampeni mwalimu na nyimbo zimetungwa kushitikiana apewe ushindi. Watu maarufu wa kisasa na Kitambi wako nyuma yake.

Ni ujasiri wake unayomfanya kuibeba you na naona ya Wengi hasa Masikini si Rwanda pekee bali hata Afrika na dunia nzima.

Huyo ndiye Joseane Mwiseneza
 
Huyo hapo
8c32cc973fe44c800ee9f420f1b500-1.jpg
Bayera-Nisha-Keza.jpg
 
Huyu ni mshiriki wa ushindani la miss Rwanda 2019. Alianza kutikisa vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kuwa binti pekee aliye jitokeza katika shindano hilo akiwa metokea kijijini na kutembelea kwa miguu imebaki wa kilomita kumi. Akiwa njiani kuja katika usaili alipata ajali ya kujikwaa kidole cha mguu na kupata majereha. Pamoja na ajali hiyo hakukata tamaa na keundelea na nia yake huku akitembea kwa mguu kilomita hizo akiwa na kidonda mguuni.
Binti huyo awali alidharaulika kwakua ni pekee mwenye kuonekana Masikini na mshamba wa kijijini na zaidi alionekana kama kituko. Binti pekee aliye na muonekano halisi wa Kiafrika pamoja na urembo wa asikilize. Ujasiri wake ulivutia watu wengi baada ya kuwaonesha kuwa shindano hilo sio la watu wa Matajiri wa mjini pekee bali kila binti anayo haki ya kushiriki. I pole , heshima na umahiri wake wa kujibu maswali umewavuta watu wengi kumpa sapoti hadi kufikia kupewa zawadi ya gari. Rwanda, Afrika mpaka Ulaya wote wanataka awe Miss Rwanda na tayari kuna kampeni mwalimu na nyimbo zimetungwa kushitikiana apewe ushindi. Watu maarufu wa kisasa na Kitambi wako nyuma yake. Ni ujasiri wake unayo mfanya kuibeba you na naona ya Wengi hasa Masikini si Rwanda pekee bali hata Afrika na dunia nzima. Huyo ndiye Joseane
Mwiseneza
huu ndio uzi wa kishamba wa mwaka 2019.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom