Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

Wewe bi kizee mfia dini hujui chochote, hivi unajua uislamu ulitoka wapi? , nikwambie wenye dini wenyewe ndo wanaongoza kwa maovu. Unajua yaliyomkuta Jamal Kashogy sasa hapo dini iko wapi, kwa ufahamu wako unaona dini ni kuvaa maguo marefu au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uislam ndiyo njia pekee na mfumo wako wa maisha uliotoka kwa Allah.
 
Huyu dada ni mpumbavu na nyie mnamlea sana. Kushiriki miss somethng ni kujiuza? Ana onekana kutokuwa na elimu ya kutosha.msiwe mnawaacha wapuuzi kama hawa wana mawazo yao ya kipuuzi

Hata mm najiuliza amewaza nn eti Dada wa watu anajiuza? Kwahiyo mamis wote duniani wanajuiza?
 
Nmemwona.nampa hongera kwa spirit yake ila kiukweli si mzuri. Kwangu hana uzuri au mvuto.

Huyu ni mshiriki wa ushindani la miss Rwanda 2019. Alianza kutikisa vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kuwa binti pekee aliyejitokeza katika shindano hilo akiwa a imetokea kijijini na kutembelea kwa miguu imebaki wa kilomita kumi.

Akiwa njiani kuja katika usaili alipata ajali ya kujikwaa kidole cha mguu na kupata majereha. Pamoja na ajali hiyo hakukata tamaa na keundelea na nia yake huku akitembea kwa mguu kilomita hizo akiwa na kidonda mguuni.

Binti huyo awali alidharaulika kwakua ni pekee mwenye kuonekana Masikini na mshamba wa kijijini na zaidi alionekana kama kituko.

Binti pekee aliye na muonekano halisi wa Kiafrika pamoja na urembo wa asili. Ujasiri wake ulivutia watu wengi baada ya kuwaonesha kuwa shindano hilo sio la watu wa matajiri wa mjini pekee bali kila binti anayo haki ya kushiriki.

Heshima na umahiri wake wa kujibu maswali umewavuta watu wengi kumpa sapoti hadi kufikia kupewa zawadi ya gari.

Rwanda, Afrika mpaka Ulaya wote wanataka awe Miss Rwanda na tayari kuna kampeni mwalimu na nyimbo zimetungwa kushitikiana apewe ushindi. Watu maarufu wa kisasa na Kitambi wako nyuma yake.

Ni ujasiri wake unayomfanya kuibeba you na naona ya Wengi hasa Masikini si Rwanda pekee bali hata Afrika na dunia nzima.

Huyo ndiye Joseane Mwiseneza
 
Back
Top Bottom