Tetesi: Mji mzito huu part 2

if cap fits

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
714
Points
1,000

if cap fits

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2018
714 1,000
Hili tatizo lipo sana, kuna dogo mmoja nilikuwa nikimjua vizur namheshim sana pia kwao ana dada wazuri weupe ma shombe shombe, mi nikawa nachati nae kama kawaida tena nilitaka nimpeleleze dada yake maana nilikuwa namazoea nae pia alikuwa ananiamini sana kama rafiki yake,

Mwisho wa siku meseji zikaanza kubadilika mara aniambie njoo tulale, mara leo kuna baridi ungekuwepo tungelala wote, mmmh nilishituka sana ila nikasema hawa machotara si kazi kutafunwa mifupa, nikamuuliza utanitafutia mtoto mzuri nikija?? Oooh akanijibu mbona hata yeye anaweza, sikuamini, nikamwambia hebu nitumie picha japo nione tgo kama mtandao upo sawa, mara picha ikaingia, mmmh nikaamua kumpotezea kila akijaribu kunipgia namwambia nipo na kazi na msg nikawa sijibu, akalauumu wee mwishowe akachoka.

Hiyo laana ya kumhemea mwanaume mwenzangu hapana jamani,
 

if cap fits

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
714
Points
1,000

if cap fits

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2018
714 1,000
Jamani inakuwaje hivi duh wakaka wazuri tu shida ni tamaa au nini
Mi nazani ni malezi yanachangia, hasa ukikuta mtoto wa kiume anakaa na watoto wa kike wengi kuna hatari ya kuanza kuvaa chupi za kike na yeye,

Au ukijikuta katika mazingira ya kushawishika, ukatoa tgo hiyo basi ndo umefunguria bwawa, hiyo dhambi haikuachi, ni sawa na msichana akitolewa bikra tayari kiburi kinaanza na kuona kila mtu yupo sawa nae.
 

Forum statistics

Threads 1,343,417
Members 515,055
Posts 32,784,108
Top