Tetesi: Mji mzito huu part 2

warumi

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,075
2,000
Huyu Ex wa V nae siku hizi kashaanza kuwa mdangaji, huyu si nasikia kwao pesa zipo, hata music anafanyia hobby tu sio kama Ana njaa sana kama akina Domo Au ndo fix tu na yeye njaa tu kama wasanii wengine.

Basi bwana, nasikia cheusi mangala wetu alikua anadanga na Yule mtangazaji wa kiume millionaire kutoka kenya , na ndio sponsor wake, unaambiwa huyo mtangazaji ana pesa chafu, na ndio anayempa jeuri ya pesa Kaka yetu mtanashati asiye na makuu, pia anampa sana promo msanii wetu nyimbo zake zipenye pande za +254, Na nasikia mpaka Leo bado wapo wote.

Hivi karibuni tena sukari ya warembo anadaiwa kutoka na N music, at the same time pia wanashare penzi na manager wa hotel yenye hadhi ya nyota tano hapa mujini, unaambiwa huyo mzungu Ana pesa chafu , na ndiye anayewapa jeuri Hao wasanii mjini. Ndio maana wasanii wetu siku hizi hatuwaoni studio kutoa single , wao kutwa kusafiri na kuuza sura nchi za watu kwa pesa za kuhongwa

Siku hizi Hao wasanii hawakauki kwenye hiyo hotel expensive kila weekend, yan wamefanya hotel kama ya baba yao, kama wanazengo mkifuatilia mtaona, kuna wasanii wa bongo fleva kama wanne hivi hawakauki kwenye hiyo Hotel, yan wanaenda na kulala wakat wowote wanaojisikia, na huyo manager alivyo mzee Sasa , yani pesa hizi , baba jitu zima kazi kuaribu watoto wa watu , lakini na wenyew wanapenda short cut wacha tu wachezewe.


Uzuri huyo manager nae mwingi, anawabadilisha kama boxer, iddy nae kipindi Ndo mpya nae alikua anajishebedua kama kote , picha kila siku akiwa hotelin , yan watu mnawaza hawa wasanii wetu mziki unalipa kila siku wanalala hotel nyota tano wanabadilisha magar, kumbe mambo ya sponsor.

Hiyo hotel inaongozwa kutembelewa na mastaa wa kiume tu, Tena wale warembo warembo, kama mwenznagu una sura kama Harmonize hyo hotel utaiona jehanam, wenzenu wanapangiwa majumba na magari kama yote , wenzenu muziki wanafanya hotelin sio studio Tena .


Mwenzenu domo kila siku anahangaika studio kutoa nyimbo mpya, wenzangu na Mimi mnagombania wanaume wawape pesa za bure halafu mnaanza kumchukia domo wakat mwenzenu anachuma kwa jasho lake, mxieew .


Na wewe sukari ya warembo ndio maana kila siku mnagombana na baby wako unajifanya humtaki kumbe uko busy na wanaume wenzako mxiew.
 
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
4,804
2,000
Code zilinichanganya nikamuelewa jux na v money
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Mtoto halali na hela Mji mzito huu part 2 JF Trash 0
Bujibuji Mji mzito huu part 2 JF Trash 2
kancha Mji mzito huu JF Trash 0
Beef Lasagna Huu mji mzito. Jamii Photos 25
warumi Mji mzito huu Celebrities Forum 1031
Similar threads

Top Bottom