Tetesi: Mji mzito huu part 2


Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
4,029
Points
2,000
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
4,029 2,000
Juma wakishua level za kati tu, wale wanauwezo wa kwenda kusoma China, India, Malaysia ada milioni 10, 15 sio level za wale wa kusoma UK, Australia, US
Ada milioni 40,80
Kuna mmoja wa hiyo crew yao pia ni wakishua sana ila ndo michezo yake... Mtu anaweza akawa anamiliki rav 4 ya 15m ila akataka amiliki Landover ya 50m.. So kuwa na hela home haiondoi tamaa
Plus ule mchezo ni kama addiction flani, i think ukishaanza unakuwa ume open Pandora's box
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
9,064
Points
2,000
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
9,064 2,000
Hahaha, mediocrity at its highest level. Mimi ninachoomba ni hizo chats zao tu ulizosema unataka kuanika hapa.

Kama unajua hulipwi, kilichofanya ulete huu uzi ni nini? Na kilichofanya utishie kuanika chats wakati unajua huna ni nini?
Huyo anaendeshwa na msukumo wa ujinga wenye speed ya km80/hr
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
9,064
Points
2,000
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
9,064 2,000
Hope humjui vzr jux aiseee,mamaake balozi wa nchi Gani?bmkubwa wake yupo bandarii.mnakuza mambo sana nyie watu.jux namjua kabla hajawa msanii nimekuwa nae nimesoma shule nae mojaa happy skilful nowdayz inaitwa ambassador ipo segerea.naweza kumtetea jux hata kwa haya unayoandika nahisi nayo umesimuliwa tu.
huyu analewa na sifa za kijinga anazopewa mtandaoni kwa story zake za kuunga unga.
 
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
4,029
Points
2,000
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
4,029 2,000
huyu analewa na sifa za kijinga anazopewa mtandaoni kwa story zake za kuunga unga.
Kabisa mkuu watu wanaunga unga sana.mitandaoni ni tofauti kabisa na reality..tukisema tuige ya mitandaoni tutapotea kabisa kule ni fake fake Kila kitu
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
9,064
Points
2,000
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
9,064 2,000
Kabisa mkuu watu wanaunga unga sana.mitandaoni ni tofauti kabisa na reality..tukisema tuige ya mitandaoni tutapotea kabisa kule ni fake fake Kila kitu
Ni kama vile inavyoonekana mitandaoni leo kwamba Ccm imekufa. Wakati huko vijijini kuna watu ambao hata mitandao hawaijuhi ( hii nimechomekea tu)
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
9,064
Points
2,000
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
9,064 2,000
Mimi ananichekesha anavyotishia watu wakimchallenge kwenye hekaya zake. Anakuwa mkali na matusi juu
Kitendo cha kuwa mkali na matusi juu ni ishara tosha kwamba anapoishi hakuna amani ya moyo hivyo akutanapo na response iliyo kinyume na ujinga wake stress zinaongezeka mara dufu.
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,483
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,483 2,000
Uwe unakubali kuambiwa ukwelii shoga sio kuropoka ropoka kwa vile hisia zako zinakutuma hivo.unawalisha wenzako matango porii.acheni kuchafua watu kujifanya mnajua sana maisha ya wenzenu.naomba umuheshimu mama yangu please nitukane mimi na sio mzazi wangu namweshimu sana
Babuu wee hat Kama Jirani yako usijifanye ndo unamjua Sana, wewe unajua familia yake, Mimi najua wanaofanya nao huo uchafu so usibishe mkuu, Kukaa nae Karib haimaanishi Et ndo unajua mambo yake yote sawa dada ? Tulia tukupashe habar za jiran yako
 
Social maniac

Social maniac

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
353
Points
500
Social maniac

Social maniac

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
353 500
Kitendo cha kuwa mkali na matusi juu ni ishara tosha kwamba anapoishi hakuna amani ya moyo hivyo akutanapo na response iliyo kinyume na ujinga wake stress zinaongezeka mara dufu.
Pia inaashiria kukosa uthibitisho wa story zake, anatumia matusi na ukali kutisha watu wasihoji ukweli wa story zake.
 
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
4,029
Points
2,000
Kibajajitz

Kibajajitz

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
4,029 2,000
Babuu wee hat Kama Jirani yako usijifanye ndo unamjua Sana, wewe unajua familia yake, Mimi najua wanaofanya nao huo uchafu so usibishe mkuu, Kukaa nae Karib haimaanishi Et ndo unajua mambo yake yote sawa dada ? Tulia tukupashe habar za jiran yako
Itakuwa ashakupakua sio buree sio kwa kumuandama huku kama kakupakua then hajakulipa!!.wewe unalala naye ndio maana unajua,ukisikia Neno 'NASIKIA' huwa linamaanisha nini?? Usilete story za kusikia zitakuponza.
 

Forum statistics

Threads 1,294,198
Members 497,843
Posts 31,167,904
Top