Mji mzito huu part 2

tena na vee wote wameshare dushe 1, af vee mwenyew n lesboos, afadhar hata saiv amezaa, gegedo la rotimi amelielewa uwiiiih.
Noma.sana sema na Ile midomo yake anayolambalamba itakuwa anakula koni hatari sana
 
View attachment 1095093

Insta na nyie hampitwi mxieew copy paste tu mbwa nyie

Naona ommy dimpoz kawafungulia njia vijana wenzie, maana alikua anawarusha sana roho sio kwa trip zile za ibiza,Mara dubai, china khaa Ila ommy nyie kajua kutumia Tigo yake vzur hata Mimi nampongeza kwa kweli .


Sasa hawa akina jux naona mambo yamepamba moto wanawaaribia soko akina Davtor mjini, Ila huyu si nilisikia anapesa sana na kwao pia wana pesa, Sasa anadanga hili iweje au na yeye Ndo anapenda tu hayo mambo, maana wenzie tunaweza kusema shida zimewajaa ndio maana Ila sio yeye khaa.
Nilijua tu huyu ommy hayuko salama
 
Hope humjui vzr jux aiseee,mamaake balozi wa nchi Gani?bmkubwa wake yupo bandarii.mnakuza mambo sana nyie watu.jux namjua kabla hajawa msanii nimekuwa nae nimesoma shule nae mojaa happy skilful nowdayz inaitwa ambassador ipo segerea.naweza kumtetea jux hata kwa haya unayoandika nahisi nayo umesimuliwa tu.
Watoto wa Mkwalulo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom