Mji mzito huu part 2

Umesema haswaa kila MTU anatumia mwili wake atakavyo, hakuna kupangiana
Katika maisha ya mwanadamu hakuna ukweli au uhalisia ambao mara nyingi watu wengi huwa tunajaribu kuukimbia kama kujua kuwa pamoja na uhalali wa mtu kumiliki na kutumia anachomiliki atakavyo bado tamaduni na sheria za jamii yake zinambana na anapaswa akubaliane nazo. Tabu ni pale unapotaka kuleta utamaduni wa kigeni au mpya katika jamii yako na kutaka kuifanya jamii nzima ikubaliane na takwa lako. Na hii inajidhihirisha katika maneno, shutuma na kuandamwa kwa mtu na jamii husika.

Ni kweli kuwa kiungo hicho ni mali yako, umepewa na Muumba wako bure, lakini je katika jamii uliyokuzwa nayo inakubalika kukitumia utakavyo au ni kinyume na matarajio ya jamii husika? ......Ukitaka kutumia uhuru huo tafuta jamii nyingine inayobariki matakwa yao.

Hizi lugha za ni mali yangu natumia nitakavyo ni kujifariji tu kwa muhusika na wala haijustify kuruhusiwa au uhuru wa kukitumia kwa style atakayo. Kauli za namna hii huwa hazina mashiko na wala hazijengi hoja na kama zingekuwa zinajenga hoja wangekuwaga wanaruhusiwa na wao wenyewe wangekuwa huru kufanya waziwazi bila wasiwasi wala kutumia nguvu nyingi kujustify matendo yao.
 
Kwahiyo wewe unaweza kuwazuia watu wasifirwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Nimekugundua katika uzi huu, ulibadili jina ila namshukuru mungu mie huwa siendi PM ovyo! Naendaga ya joanah tu. Nadhani umewakamata wengi
Kumbe huyu ndio khantwe??!!

Kuna uzi nilikua najaribu kumtag nashindwa kumbe kabadili jina 🙆
 
My ndo hivyo tena! Pengine alimess na hiyo ID sasa amekuwa mpya. Sometimes shit happens! Hata mimi siku ukinikubali nabadili jina naitwa mshindi wa njinjo
 
Kubadili ID ni maamuzi tu sio lazima iwepo hiyo sababu uliyoassume hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom