Mji mzito huu part 2

Go go go go warumi. Yatangaze hiyo mianaume shitholes. Fukua na wengine. Serikali yetu inapiga vita hii haramu. Tuko nyuma yako tunakuunga mkono.
warumi huwa haandiki habari za uzushi. Kwa kuwa wenyewe wametajwa kabisa basi waje hapa wabishe au waende mahakamani halafu Warumi waombe mawasiliano yao yapekuliwe. Chali wote hao. Goooooo warumi tuko nawe kupambana na hawa wanaomdhihaki Mungu kwa maumbile yao.

Ahahahaah mie tena , hakuna mtu anayeza zima huu mziki, mi nawataja tu vzur , siogop mtu
 
Punguza

Wivu
roho dhaifu
roho mbaya
majungu
meddlesome
unafki
ujuaji

Haya mambo ya kuelezea maisha binafsi ya watu mitandaoni wakati ya kwako hatuyajui hayatakusaidia au kukuinua kimaisha kivyovyote sana sana gonjwa la moyo (la wivu) litazidi kuimarika.

Mie mbea shoga angu , hayo mengine unanizushia tu , umbea kweli nakubali, na huwa sizushi, uzuri huu uzi upo binamu , utakuja tu kufufuliwa baadae ukweli utajulikana

Jaman warumi nipo humu miaka na miaka na watu wananifuatilia sana habari zangu , siwez kuchafua Jina langu ambalo nimelitafuta kwa shida binamu

Halafu kila ninachoandika na watu wanajiongeza na kujumlisha dots, huwa sikurupuki ndugu yangu

Umbea is my profession shost, huwa sikosei na ndio maana siku zote nipo kileleni kama pierre, lol
 
Ni kweli lakini pia yasemwayo yapo, kwanini huo ushost asisemwe Kiba ila hao?

Binamu wengi wanaochonga ngenga itakua humu wameingia juzi , wanaonijua Toka kitambo watakua wanaelewa ninachopost, jamani ili Jina Mimi sijalipata kirahis rahis, nime hustle Toka enzi zile, Sasa Leo tu nianze kutunga umbea jamani , wanazengo mnanijua
 
View attachment 1095093

Insta na nyie hampitwi mxieew copy paste tu mbwa nyie

Naona ommy dimpoz kawafungulia njia vijana wenzie, maana alikua anawarusha sana roho sio kwa trip zile za ibiza,Mara dubai, china khaa Ila ommy nyie kajua kutumia Tigo yake vzur hata Mimi nampongeza kwa kweli .

Sasa hawa akina jux naona mambo yamepamba moto wanawaaribia soko akina Davtor mjini, Ila huyu si nilisikia anapesa sana na kwao pia wana pesa, Sasa anadanga hili iweje au na yeye Ndo anapenda tu hayo mambo, maana wenzie tunaweza kusema shida zimewajaa ndio maana Ila sio yeye khaa.
Duh!!!
 
Mie mbea shoga angu , hayo mengine unanizushia tu , umbea kweli nakubali, na huwa sizushi, uzuri huu uzi upo binamu , utakuja tu kufufuliwa baadae ukweli utajulikana

Jaman warumi nipo humu miaka na miaka na watu wananifuatilia sana habari zangu , siwez kuchafua Jina langu ambalo nimelitafuta kwa shida binamu

Halafu kila ninachoandika na watu wanajiongeza na kujumlisha dots, huwa sikurupuki ndugu yangu

Umbea is my profession shost, huwa sikosei na ndio maana siku zote nipo kileleni kama pierre, lol
They say, "you aint real man until you get some haters."
 
Binamu wengi wanaochonga ngenga itakua humu wameingia juzi , wanaonijua Toka kitambo watakua wanaelewa ninachopost, jamani ili Jina Mimi sijalipata kirahis rahis, nime hustle Toka enzi zile, Sasa Leo tu nianze kutunga umbea jamani , wanazengo mnanijua
Nakujua toka enzi zilee unaenda dirishani kwa diamond na wema kufuata umbea, enzi zile ulitafuta msiba wa kuambiana ulipo ukaupata Ukaenda kulala msibani ili upate umbea.... Kaka angu warumi we kiboko, yani hakuna kama wewe dadangu 😁
 
Nakujua toka enzi zilee unaenda dirishani kwa diamond na wema kufuata umbea, enzi zile ulitafuta msiba wa kuambiana ulipo ukaupata Ukaenda kulala msibani ili upate umbea.... Kaka angu warumi we kiboko, yani hakuna kama wewe dadangu
Ni kaka yako au dada yako.

kama ni kaka basi taifa lina hasara kubwa sana.
 
View attachment 1095093

Insta na nyie hampitwi mxieew copy paste tu mbwa nyie

Naona ommy dimpoz kawafungulia njia vijana wenzie, maana alikua anawarusha sana roho sio kwa trip zile za ibiza,Mara dubai, china khaa Ila ommy nyie kajua kutumia Tigo yake vzur hata Mimi nampongeza kwa kweli .

Sasa hawa akina jux naona mambo yamepamba moto wanawaaribia soko akina Davtor mjini, Ila huyu si nilisikia anapesa sana na kwao pia wana pesa, Sasa anadanga hili iweje au na yeye Ndo anapenda tu hayo mambo, maana wenzie tunaweza kusema shida zimewajaa ndio maana Ila sio yeye khaa.
Jux kwao njaa tu dada ake anaitwa mwajuma kwao keko sasa uo ushua kautoa wapi?
 
Nakujua toka enzi zilee unaenda dirishani kwa diamond na wema kufuata umbea, enzi zile ulitafuta msiba wa kuambiana ulipo ukaupata Ukaenda kulala msibani ili upate umbea.... Kaka angu warumi we kiboko, yani hakuna kama wewe dadangu

Ahahahaah enzi za ngololo nakwambia pale sinza , Ila jamani na mie mbea, ningemwagiwa tindikali sijui ingekuaje

Looh jaman warumi mie umbea nimeanza kitambo , Leo kidudu mtu kinakuja from no where nyoko nyoko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom