Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,842
Ni kweli, ukiwa boya au ukikosa mtaji, ila kukaa mahali penye wajanja wengi:Unaweza ukaishi kwa wajanja/kwa kijanja ukawa kapuku tu huna lolote mwenzio anaishi huko kwa kishamba katoboa life..
-Kunachangamsha,
-Kunafungua akili
-Kuna kuoneshana fursa
-Kuna soko
-Kuna ushindani wa kibiashara
-Kuna barabara nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app