Usitoe siri mkuu,,Singida is like hub fulani kibiashara pale
nani kakwambia Lindi kuna mji? usifananishe Singapore na mataputapu.Hii miji ilikua nyuma sana ezi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa lakini hivi karibuni mambo sio kama zamani barabara, fursa na miundombinu mingine mingi. Je, upi mji mzuri wenye fursa nyingi na ni mzuri kwa kuishi?
We kima fala sana ww huwezi kuleta mbwilo Singida ukutane na machalii hasa wa pale town.mtakuja kupigwa mapanga we na wakuja wenzio eti nigga mpaka mnye.washkaji wa singida washamba kinoma aisee..yaani ni maboya mno
kwanza mijamaa myeupe halafu ina wivu wa kifala mno kwa dada zao
tukitimba kwao maniga tunawafanya mbaya dada zao halafu tunasepa...wajamaa wanabaki kutuonea gere tu na vile mademu wanyaturu wa singida wanadata kinoma na watu toka mikoa ya kusini....sababu tunajua kuwafaq vizuri kupita kaka zao weupe halafu wana vibamia....wavivu mno wajamaa wa singida...hawajui kusaka hela na wanakaa tu mkoani kwao...huwezi ukawakuta mikoa mingine
ni masikini sana majamaa wa singida
siku tulifika hapo skyway na maniga wangu tukatimba mule club tukaanza bambia mademu...mademu wanadata na sisi mara eti majamaa wakajiroga wakatuanzishia ngori...
daaaahh kilichowapata hawatasahau wale warembo wajamaa wa singida...tuliwafanyia ngori aisee hadi ikawa siyo poa...
tukawaonea huruma tukawabeba mademu zao tukaenda kuogelea kuna swimming pool iko regency resort kule ziwani
wajamaa wa singida makolo sana
Na anamsoma humu hahaa,safari ya lindi inanukia hapa 😁Hahahah ndio usigombanie demu na boss wako. Akiamua kukukomesha akakutupa Lindi ni noma.
Singida ina connection na fast growing towns za Shinyanga Tabora, Babati, Dodoma na ArushaHii miji ilikua nyuma sana ezi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa lakini hivi karibuni mambo sio kama zamani barabara, fursa na miundombinu mingine mingi. Je, upi mji mzuri wenye fursa nyingi na ni mzuri kwa kuishi?
NI kweli mkuu Mimi nimezaliwa na kusoma singida then nikapata kazi Ajira lindi.ni mji mzuri isipokuwa tu wenyeji ndo wanaumwinyi usio na faida ila kila siku mambo yanazidi kubadilika baada ya barabara kuwa nzuriSingida ina connection na fast growing towns za Shinyanga Tabora, Babati, Dodoma na Arusha
Lindi ina connection na small towns ukiacha Mtwara ambayo ina bandari, drawback yake ni culture ya wenyeji wa huko, inachelewesha kuchangamka kwa mzunguko wa fedha ukilinganisha na Singida
Lindi kubadilika labda Yesu aje awabadilishe..huo mji umekaliwa na wajinga wengi...wivu..husda..uchawi..umwinyi ndio mahali pa makazi yao hapo lindi.NI kweli mkuu Mimi nimezaliwa na kusoma singida then nikapata kazi Ajira lindi.ni mji mzuri isipokuwa tu wenyeji ndo wanaumwinyi usio na faida ila kila siku mambo yanazidi kubadilika baada ya barabara kuwa nzuri
alafu ni padogo...Lindi ndio kunaboa zaidi, kumekaa kishamba sana
🤣🙏👍wanaumwinyi usio na faida ila kila siku mambo yanazidi kubadilika baada ya barabara kuwa nzuri
Njombe ipo mbali sana kwa lindiAje Njombe
Lindi kumebadilika nn mkuuNI kweli mkuu Mimi nimezaliwa na kusoma singida then nikapata kazi Ajira lindi.ni mji mzuri isipokuwa tu wenyeji ndo wanaumwinyi usio na faida ila kila siku mambo yanazidi kubadilika baada ya barabara kuwa nzuri
Uongo mkubwaUpo sahihi,kwa mikoa miwili ya kusini yaani Mtwara na Lindi,Wilaya (Mji) uliochangamka kibiashara/kimaendeleo ni Masasi tu.
Mara ya mwisho kufika masasi lini??Uongo mkubwa
Mji uliochangamka katika hii mikoa miwili ni Mtwara, kisha Lindi then Masasi.
September mwaka huuMara ya mwisho kufika masasi lini??
#MaendeleoHayanaChama
Basi ulipita usiku wa manane.September mwaka huu
Hii nchi ina vivutio vingi vya utalii nashangaa hawavitangaziHapo kilwa kusini umeongea ukweli kabisa,wengi hawajui kabila Lao,na ukizaliwa na kukulia hapo hutajua lugha ya kabila lolote lile