Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Nilikesha siku nzima na kuzurula mjini kununua vitu. Nililala hapohapo. Masasi napajua vizuri maana mimi ni wa kusini, kwa hiyo naendaenda sana hapo, na nimezurula hasa huo mtaa wenye stendi ya vumbi

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Nilifika lindi 2010 nikawa namuuliza dereva mjini ndio wapi akawa ananiambia hapa ndio mjini nikashuka kwenye gari hivi naangalia mbele naona bahari du nikacheka sana yani mji una bahari lakini maendeleo ziro kabisa yani utazani tanzania ile ya miaka ya 90.
Mimi pia nilifika Lindi
Nikaambiwa hapa ndio stendi
Nilipigwa butwaa sana. Nimetembea mikoa yote Tanzania hakuna mkoa unaweza kuufananisha na Lindi kwa ufukara HAKUNA.
 
Lindi ina wilaya sita....

Kilwa
Liwale
Nachingwea
Rwangwa
Lindi mjini
Lindi vijijini
.....

Ndani ya wilaya ya kilwa Kuna makabila mawili kama sio matatu
Wamatumbi.. Kilwa kaskazini pamoja na wangindo
Kilwa kusini wapo wasiojua kabila lao[emoji23]

Liwale Kuna wangindo pia
Rwangwa Kuna wamwera
Nachingwea Kuna wamwera
Lindi mjini wamwera
Lindi vijijini wamwera
hawa wamwera ndio ndg zake na PM majaliwa?.
 
Lindi ina wilaya sita....

Kilwa
Liwale
Nachingwea
Rwangwa
Lindi mjini
Lindi vijijini
.....

Ndani ya wilaya ya kilwa Kuna makabila mawili kama sio matatu
Wamatumbi.. Kilwa kaskazini pamoja na wangindo
Kilwa kusini wapo wasiojua kabila lao[emoji23]

Liwale Kuna wangindo pia
Rwangwa Kuna wamwera
Nachingwea Kuna wamwera
Lindi mjini wamwera
Lindi vijijini wamwera
.mkuu kilwa zipo ngap ?
 
Lindi ile mandhari yake pembeni ya bahari inavutia mno. Ndo mji ambao kwa mara ya kwanza niliona gesti iliyozinduliwa na mwenge wa uhuru. Watu wa Lindi ni washamba na wenye elimu duni sana. Mwaka 2015 nilipita kulikuwa na shule za sekondari tatu pale town. Lindi ni mji unaonuka umaskini ukiwa hauna dalili yoyote ya kuinuka. Lindi inazidiwa na miji midogo kama Mbinga, Karatu, Bomang'ombe na Babati. Kwa Tanzania Lindi ipambanishwe labda na Runzewe. Singida sio kubwa ila ina amshaamsha. Pale Singida angalau kuna matumaini ya maisha.
 
Lindi zipo nyingi sana za kuzinduliwa na mwenge. Especially huko ruangwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Iindi ina seaview tamu sana
PXL_20221211_140330360~2.jpg
 
Back
Top Bottom