Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Tatizo la singida ushamba mwingi,kuna kajamaa kanamiliki kagloclery mitaa ya stendi kuu( ukitoka lango la stendi kuu upande wa kushoto) na kagari kake toyota mark11, full "mashauzi", kaglocery kenyewe kadogo utadhani choo cha apa kwangu.
Kiufupi acheni kufananisha Lindi na vitu vya kijinga.

Yan lindi ni pakisenge sijawah ona mwaka 2016 nlienda kule kwene nane nane ilifabyika ngongo ila kwasababu ni pakifala nikawa nalala mtwara...watu wa kusini washamba sana hata pale kilwa masoko nlikaa siku tatu aisee ni shida kuna kibaa chao nlikaa wao wanaona kama daslama ni New York wakati sisi tumepachoka
 
Nataka Kwenda singida natafuta mwenyeji tafadhali kama yupo tuwasiliane , nimependa sana sifa za mji wa singida za humu.
 
Mi naishi dar ila kwa sasa naendesha maisha yanguwa 70% nategemea singida ,napata kazi sana Singida na nafanya kilimo hivi jumatatu ijayo naenda wilaya ya Iramba
Nataka Kwenda singida natafuta mwenyeji tafadhali kama yupo tuwasiliane , nimependa sana sifa za mji wa singida za humu.
 
Mi naishi dar ila kwa sasa naendesha maisha yanguwa 70% nategemea singida ,napata kazi sana Singida na nafanya kilimo hivi jumatatu ijayo naenda wilaya ya Iramba
Naomba niongozane na wewe kama hautojali maana ni mara yangu ya kwanza. Ila mimi utaniacha huko. nataka nikaangalie maisha huko. NakuPM
 
Lindi bana acheni masiharaa...
Paris of Africa according to mzungu enzi zilee
Lindi life yake ni rahisi kimtindo, hayo mengine unayoambiwa hapa changanya na zako
Unakumbuka takwimu za TACAIDS Lindi ndo mkoa pekee Tz bara kuwa na % ndogo ya maambukizi ya HIV
Sema nini, Lindi mji mdogo sana, na wa kimwinyi.

Vyakula kila aina bei chini, sea foods ndio kibao bei karibu na bure.

Mtwara ndio mji mzuri na mkubwa kuliko Singida au mikoa mingi tu TZ ukiachana na ile mikoa flani mikubwa(majiji).
 
Sijui kuna uhusiano gani hapa kati ya hili..ni kweli bwanaa
Ni kweli Singida inajengeka kwa kasi kulinganisha na Lindi,Mikoa iliokaliwa sana waarabu sijui shida ni nini..?
 
MTOA MADA naomba nijaribu kukupa ushauri nzuri kwako.. NIMEFIKA SINGIDA lkn pia LINDI.. Kama unataka kuchagua kati ya hii Mikoa upi ufanye shughuli zako basi pia unaweza kuishi mikoa jirani ya hiyo.. Hivyo basi kama unataka kupiga mishe za maana NENDA KAISHI MJI WA KIJANJA MTWARA.. Ule mji ni mkubwa mara 4 ya LINDI na SINGIDA.. nakushauri hivyo kwa maana LINDI to MTWARA ni 100km ni karibu sana.. Pia huduma za msingi za Lindi hupatikana Mtwara.. Mtwara mzunguko wa pesa ni mkubwa sana angalau inawazidi mikoa hata 20 ya nchi hii.. Jamaa wajanja wamejenga, wana bahari, sehemu za starehe zimejaa hivyo kwa biashara nenda KUSINI ila sio LINDI we zamie MTWARA huko..
 
Hii miji ilikua nyuma sn ezi za Nyerere,Mwinyi na Mkapa lkn hivi karibuni mambo sio kama zamani bara bara, fulsa na miundo mbinu mingine...mingi.Je upi mji mzuri wenye fulsa nyingi..ns ni mzuti kwa kuishi
Miji yote ni mizuri kuishi,kikubwa ni fursa ya aina gani unayotaka kutumia ndio inaleta maamuzi ni mkoa gani sahihi kwako kuishi.
 
Back
Top Bottom