Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Tatizo la singida ushamba mwingi,kuna kajamaa kanamiliki kagloclery mitaa ya stendi kuu( ukitoka lango la stendi kuu upande wa kushoto) na kagari kake toyota mark11, full "mashauzi", kaglocery kenyewe kadogo utadhani choo cha apa kwangu.
Kiufupi acheni kufananisha Lindi na vitu vya kijinga.
Wivuuuuu
 
kijographia mji wa lindi upo vizuri sana kwasababu upo jirani sana na bahari. bahari ni kiungo muhimu ktk uwekezaji wa biashara ya utalii.

shida ya mji wa lindi ni umwinyi usio wa kawaida. tabia za umwinyi na uswahili zimetamalaki sana lindi kiasi cha kuwaogopesha hata wageni wahamiaji wanaotaka kuwekeza ndani ya mji ule.

ni jambo la kawaida kawaona vijana kwa wazee wakicheza mchezo wa bao vibarazani mida ambayo walitakiwa waitumie ktk uzalishaji mali.

nasikia huwezi kujenga jengo zuri ndani ya mji wa lindi bila kuwaona wazee wa kimatumbi. usipofanya hivyo jengo lako halifiki hata ghorofa moja. hiyo ndiyo lindi.
upotoshaji huo unachosema umesimuliwa tuu
 
Nilifika lindi 2010 nikawa namuuliza dereva mjini ndio wapi akawa ananiambia hapa ndio mjini nikashuka kwenye gari hivi naangalia mbele naona bahari du nikacheka sana yani mji una bahari lakini maendeleo ziro kabisa yani utazani tanzania ile ya miaka ya 90.
 
Hii miji ilikua nyuma sn ezi za Nyerere,Mwinyi na Mkapa lkn hivi karibuni mambo sio kama zamani bara bara, fulsa na miundo mbinu mingine...mingi.Je upi mji mzuri wenye fulsa nyingi..ns ni mzuti kwa kuishi
Nilikuwa lindi kama miezi 6 iliyopita. Singida ni mkoa ambao umendelea sana katika hii miaka ya karibuni na unazidi kuendelea kwa kasi... Lindi iko vilevile alivyoiacha mkapa.
 
Lindi ukikomaa kibiashara unatoka hasa wageni ila wenyeji wengi ni wavivu,....kuna watu wapo Lindi hawataki hata kupasikia kwao,mambo yalivyo mazuri..Iringa dah!! Labda kwasababu sikukaa sana..
Utajiri wa kwanza wa lindi ni ARDHI.

Kuna mangi mmoja yupo kwetu nachingwea kanunua shamba hekari kama 100 hivi kaweka mikorosho anasema hafi njaa mpaka anakufa kila mwaka anavuna tu.

Mzee wangu alipanda mikorosho miaka mingi sana na ana shamba lake kubwa la mikorosho kila mwaka anakula bonus za korosho(japo mwaka jana haikuwa poa sana)

Lindi utajiri wa kwanza ni Ardhi

Kuna kiwanja nilinunua nyumbani kwa 700K Tu.

Lindi ni pazuri sana hasa katika mambo ya kuwekeza katika ardhi na kilimo.

Imagine mzee wangu alinunua shamba kijijini hekari 10 kwa lakki 4 tu(ila kijijini).

Lindi nilivyopasoma ni sehemu ambayo inafaa sana kuwekeza katika ardhi.
Napigana pigana nikitulia narudi home kuishi huku nikivuna korosho na shughuli za shamba kila kukicha.
 
Nilifika lindi 2010 nikawa namuuliza dereva mjini ndio wapi akawa ananiambia hapa ndio mjini nikashuka kwenye gari hivi naangalia mbele naona bahari du nikacheka sana yani mji una bahari lakini maendeleo ziro kabisa yani utazani tanzania ile ya miaka ya 90.
Lindi ni home lakini daah hapako poa kabisa yani.

Ukitoka dar ukipita njiani no movement kabisa pale njini... Kuanzia likotwa,lindi seco,sokoine moaka unaingia stendi pale ndo tuwatu tuwili tutatu tunauza mahindi na ming'oko ..ukitoka hapo basi tena hamna jipyaaaa unapita mashamba ya chumvi mpaka zako mnazi mmojaaaa
 
Singida kibiashara pako vizuri sana ukitaka kwenda kokote mikiani unaenda kirahisi,ukitaka kwenda nchi jirani unaenda kirahisi kwa maana nyingine Singida ni hab kibiashara,Mimi nimefika kote enzi ya MWL na ya hapa kazi tu,Singida inakuja juu kwa kazi kubwa kuliko Lindi pamoja na bahari haifui dafu kwa Singida yenye vibwawa tu kindai na singidani
Ni kweli Singida inajengeka kwa kasi kulinganisha na Lindi,Mikoa iliokaliwa sana waarabu sijui shida ni nini..?
 
Lindi ni home lakini daah hapako poa kabisa yani.

Ukitoka dar ukipita njiani no movement kabisa pale njini... Kuanzia likotwa,lindi seco,sokoine moaka unaingia stendi pale ndo tuwatu tuwili tutatu tunauza mahindi na ming'oko ..ukitoka hapo basi tena hamna jipyaaaa unapita mashamba ya chumvi mpaka zako mnazi mmojaaaa
Ming'okooooo
 
Back
Top Bottom