Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,627
- 5,258
Nipo nazidi kujiozea nachingwea hapaNenda singida Lindi nimekaa miaka 2 Ruangwa na lindi mjini, Nachingwea pia niliwai kukaa mpk kilwa nishafika Kusini hakuna kitu zaidi ya Majungu, Uchawi unafiki uku gharama za Maisha zikiwa juu
Uwezi fanya biashara au kitu extra kuna ukabila sana , na figisu za kipumbavu asee
Nakuoa mfano kuna hotel inaitwa Nangurukuru ina miaka mingi sana inahuduma mbovu sana ila hakuna mtu wakupambana nae kwa kufungua hotel nyingine na ata wajasiliamali wadogo wakifungua biashara wanasumbuliwa sana
Kuna gari moja linaitwa Mashaalah linaenda Kilwa sio kwamba hakuna magari yakwenda uko ila jaribu kwenda utakufa kwa majungu na ushirikina nenda singida utafanya maisha mazuri sana asee
Sent from my iPhone using JamiiForums