epicurus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 281
- 179
kinaitwa sky way
Kama huijui Singida, funga domo...... Sio unaropoka tu unayoyasikia bila kufanyia utafiti, aliyekuambia sky way ipo karibu na geti la stand nani?
kinaitwa sky way
acha ufala basi mwanaume mweupe mzuri wa singidaKama huijui Singida, funga domo...... Sio unaropoka tu unayoyasikia bila kufanyia utafiti, aliyekuambia sky way ipo karibu na geti la stand nani?
Kama huijui Singida, funga domo...... Sio unaropoka tu unayoyasikia bila kufanyia utafiti, aliyekuambia sky way ipo karibu na geti la stand nani?
How?Upo sahihi mkuu mimi ni mtu wa kusini ila ni bora nikaishi Masasi wilayani kuliko Lindi. Ingawa sasa hivi pm anajitahidi kupaboost.
Kati ya Lindi na Singida bora Mbeya mkuuHii miji ilikua nyuma sn ezi za Nyerere,Mwinyi na Mkapa lkn hivi karibuni mambo sio kama zamani bara bara, fulsa na miundo mbinu mingine...mingi.Je upi mji mzuri wenye fulsa nyingi..ns ni mzuti kwa kuishi
Temeke kuna nini cha maana nyumba za hovyo ndio zimejaa huko zinaharibu taswira ya jiji ,wilaya ya walala hoi wa DarSuuza ulimi wako ww
Kuliko musomaMkuu Lindi ni kubaya dunia nzima, mtu ikiwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga anaweza kujiuliza huku hakuna watu? Majumba ya kizamani watu wamechakaa sijui nini kinaendelea kule
Hahahah ndio usigombanie demu na boss wako. Akiamua kukukomesha akakutupa Lindi ni noma.Hamna mkoa mbaya Tanzania nzima kama Lindi siku nikihamishiwa kule ndio utakuwa mwisho wa kazi
Halafu matajiri wabaguzi sana wakitaka kujenga migorofa mirefu wanaenda Ilala na Kino ingawa unasema kote ni mjini yani huko Temeke Uswahili mwingi kama Lindi bahati yenu aliyeamua kwa Mchina pajengwe pale sijui mngejivunia niniHizo zote mjini ila makao makuu ya manispaa ni Chang'ombe.....itakuwa mshamba mmoja uliyepita na mbio za mwenge.....Dar ya sasa mtu hasemi anaenda mjini...mtu anasema anaenda kariakoo au posta nk...hayo mambo mnayo nyie wa NDUGUTI huko
Aaaah ninja afadhali Musoma kuna kamtaa kanaitwa Nyakato kanavutia wakurya wamejitambua Ugali unauzwa kila sehemu watu hawakai kindezi tena ila Lindi sijui wana nini wale watu kazi hawafanyi ni majungu na uchawi tuKuliko musoma
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aaaah ninja afadhali Musoma kuna kamtaa kanaitwa Nyakato kanavutia wakurya wamejitambua Ugali unauzwa kila sehemu watu hawakai kindezi tena ila Lindi sijui wana nini wale watu kazi hawafanyi ni majungu na uchawi tu
Wengi wenu mko rigid na huko kwenye miji yenu mikongwe,kwa taarifa yenu Singida karubu kuichapa moshiSingida is like hub fulani kibiashara pale
Uwanja Wa Ndege upo kwa bibi yakoHalafu matajiri wabaguzi sana wakitaka kujenga migorofa mirefu wanaenda Ilala na Kino ingawa unasema kote ni mjini yani huko Temeke Uswahili mwingi kama Lindi bahati yenu aliyeamua kwa Mchina pajengwe pale sijui mngejivunia nini
[emoji3][emoji3][emoji3]Uwanja Wa Ndege upo kwa bibi yako
Duh...waarabu wa ng'apa hao masalia😂Lindi ni mji wa Kisultani. Kibiashara hauko vizuri ila totoz pale ni balaa! Makombo ya kiarabu sijui...watoto wazuri. Maisha ya Lindi pia ni rahisi, ndiyo maana ukioa mtoto wa Lindi ukampeleka bara, atajigombanisha tu ili arudi kwao akale tambi, pweza, ngisi, madafu, wali wa nazi, vibua, Bagia, kalimati na kuattend vigodoro.