Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

hivi hawa wazenji wanafikiri si tunafaidi kutoka huo Muungano? si tu kuondoa suala la mafuta katika Muungano ila hata kuufuta huo muungano wenyewe, unatugharimu sana
 
ukiweza ku export asali tu iliyopo kwenye misitu ya singida, unaweza ukaendesha kisiwa cha zanzibar
 
Mambo ya chumbani kwenu wanandoa mnatuleteaje sisi jamvini. Ongeeni mtaelewana tu
 
wazenji wanaona tunafauudu kweli kweeli na muungano...............we ngoja lazma tuwapige chini hawa
 
Ni walewale tu! Wala hakuna tofauti kati yao waache wauane tu
 
Hivi, mapato yanayotokana na rasilimali za bara si ndio hayo yanaingia kwenye serikali ya Jamuhuri na wote kufaidika. Nafikiri inatafutwa mbinu ya kuvunja muungano. Maana wabara wakikomalia na wao rasilimali zao ndiyo itakuwa sababu sasa......
 
Mkuu lyimo.
Benki kuu ya Tanzania ndio inatoa takwimu hizo ulizozisema hapa au unafikiri tu?

Je serikali ya Muungano huwa inatoa mchanganuo wa wabia wa muungano wamechangia kiasi gani katika kasima ya Muungano. Usisahau kuna debit na credit side. Usiri wa haya kuwa hakuna uwazi katika kuonesha mapato na matumizi ya Muungano ndio yanayozua dhana hizi za nani anafaidi katika Muungano na nani anadhulumiwa.

Hadi hapo kutakapokuwa na takwimu sahihi watu wako kwenye kufikiri tu, watu wako kwenye dhana tu.Na hili linachochea chuki. Nani wa kubeba lawama hii?
 
Hivi, mapato yanayotokana na rasilimali za bara si ndio hayo yanaingia kwenye serikali ya Jamuhuri na wote kufaidika. Nafikiri inatafutwa mbinu ya kuvunja muungano. Maana wabara wakikomalia na wao rasilimali zao ndiyo itakuwa sababu sasa......

Niambie rasilimali ipii ? Mgodi,almasi,tanzanite haziko katika muunganoo,halafu leo munasema Gas na mafuta yawe ya muungango hapa vipi ? nawauliza hivi zahabu na tanzanite,na almasi zinasimamiwa na serikali gani kama sio ya muungano au tanganyika ?

Musijifanye wasaniii hapa,sisi hizo fedha munaowapa wabunge wetu ni nothing na kwa yale munayopata kwa kutumia kiti chetu cha umoja wa mataifa,munapokea misaada mingi sana,na mikopo ,,,zanzibar hatupati chochote,,,na hata kama wazanzbari wanaihsi bara wanafanya biashara hawafanyi kwa pesa ya muungano na pesa zao wenyewe na wanalipa kodi kama mtu mwengine,,,

Sisi wazanzibari muungano hatusaidii kitu zaidi ya kutukandamiza tu,,,
 
Kazaneni basi muondoke kabisa katika muungano.
 
hivi shariah inaruhusu mke kumshtaki mume kwenye mahakama za wanadamu?
huo ni ugomvi wa mume na mke jamani
 
Niambie rasilimali ipii ? Mgodi,almasi,tanzanite haziko katika muunganoo,halafu leo munasema Gas na mafuta yawe ya muungango hapa vipi ? nawauliza hivi zahabu na tanzanite,na almasi zinasimamiwa na serikali gani kama sio ya muungano au tanganyika ?

Musijifanye wasaniii hapa,sisi hizo fedha munaowapa wabunge wetu ni nothing na kwa yale munayopata kwa kutumia kiti chetu cha umoja wa mataifa,munapokea misaada mingi sana,na mikopo ,,,zanzibar hatupati chochote,,,na hata kama wazanzbari wanaihsi bara wanafanya biashara hawafanyi kwa pesa ya muungano na pesa zao wenyewe na wanalipa kodi kama mtu mwengine,,,

Sisi wazanzibari muungano hatusaidii kitu zaidi ya kutukandamiza tu,,,

kama mlivynpeleka mswada wa kuondoa suala la mafuta na ges huko bmz, pelekeni suala la kuvunja muungano tumalize zoezi! Hatuwaendekezi nyie. Mna wabunge kila mtaa na wote tunawalipa halafu unasema ni peanut!? Milion 90 mara wabunge 50 ni zahanati ngapi? Peleka ujinga huko
 
chokochoko nyingi tu utasiikia huko zenj. watu wanagomabnia mafuta ambayo hata bado hayajaanza kuchimbwa. wazenj wana usongo na mafuta ya kusadikika. siku yakiibuka kama yale mafuta ya uganda, je,

patachimbika?

watajitenga bila muafalka?

watakuwa wanafadhili usilamu tanzania bara?

si umeona vile wame-press ishu ya katiba yao?

si umeona vile wameipata?

si umeona vile wana bodi tatu za mikopo ya eliumu ya juu? tanganyika-heslb, zanzibar-heslb, OIC-heslb?

si umeona vile wapemba wameungana na waunguja kupitia ndoa ya kafu na ssisisiem? si umeona?

kama hixzi si alama za nyakati ninini?

nawakilisha.
 
Mafuta yakipatikana hawataka muungano tena!!. Wengi wanasema Zenz hawafaidiki na madini hii si kweli kwani wanapata ileile 4% ya kipata bila kujali ni kipato cha madini au kodi za kawaida na wanachangia chini ya 4% kwa miaka mingi. Leo hii eti wapate mafuta wanataka kujitenga haitawezekana kabisa labda waame nchi lakini si zanzibar iliyotegemea bara kwa miaka zaidi ya 40. Masuala ya mafuta na madini ni ya taifa na si ya zanzibar wala bara. Kama wana lawama basi walalamikie 4% wanayopata.
 
Kuna mambo yanahitajika kufanywa hivi sasa bila ya kungojea katiba mpya; mojawapo wa mambo hayo ni mfumo wa muungano. Kutokana na nyeti wa suala hilo, linatakiwa lishughulikiwe kwanza ili kujenga mazingira muafaka wa kushughulika na masuala mengine.
 
Wajitenge kutoka wapi? wajitenge na nchi ipi? wakati wao ndio wana nchi! wewe nchi yako inaitwaje? usiseme Tanzania, Tanzania ni Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, sasa Tanganyika iko wapi? Rais wake nani? Mawaziri wake wako wapi? Bunge lake liko wapi?

Imgekuwa kuna nchi nyingine basi Zanzibar "wangejitenga", ukweli ni kwamba hakuna pa kujitenga na tusijidanganye, wa Zanzibar walistaarabika zamani sana na wametuzidi ujanja wameififirisha Tanganyika na haipo. Na tutafanya na tutatimiza wayatakayo tukitaka tusitake kwani sisi ndio yatima. Huo ndio ukweli.
 
Mafuta yakipatikana hawataka muungano tena!!. Wengi wanasema Zenz hawafaidiki na madini hii si kweli kwani wanapata ileile 4% ya kipata bila kujali ni kipato cha madini au kodi za kawaida na wanachangia chini ya 4% kwa miaka mingi. Leo hii eti wapate mafuta wanataka kujitenga haitawezekana kabisa labda waame nchi lakini si zanzibar iliyotegemea bara kwa miaka zaidi ya 40. Masuala ya mafuta na madini ni ya taifa na si ya zanzibar wala bara. Kama wana lawama basi walalamikie 4% wanayopata.

nonsense....
 
chokochoko nyingi tu utasiikia huko zenj. watu wanagomabnia mafuta ambayo hata bado hayajaanza kuchimbwa. wazenj wana usongo na mafuta ya kusadikika. siku yakiibuka kama yale mafuta ya uganda, je,

patachimbika?

watajitenga bila muafalka?

watakuwa wanafadhili usilamu tanzania bara?

si umeona vile wame-press ishu ya katiba yao?

si umeona vile wameipata?

si umeona vile wana bodi tatu za mikopo ya eliumu ya juu? tanganyika-heslb, zanzibar-heslb, OIC-heslb?

si umeona vile wapemba wameungana na waunguja kupitia ndoa ya kafu na ssisisiem? si umeona?

kama hixzi si alama za nyakati ninini?

nawakilisha.
Mkuu.
Mimi sielewi na hii mijadala isiyoeleweka. Kila siku tunapiga mayowe kuwa zanzibar ni mzigo mzito, tunaubeba na sasa umetuumiza mabega...mimi nilifikiri tunaitaka Tanganyika yetu lakini kwa mijadala kama hii inaonekana si hivyo.

Ilivyo tuwasaidie wajitenge au wauvunje muungano au tuuvunje kwa pamoja..lakini hii post yako inaonesha kuwa huungani na wazo lao la kuzirudisha nchi mbili ili zote ziwepo. Zikiwepo ndio hayo ya kujadili Muungano na muundo wake itakuwa jambo jepesi,kutakuwa na pande mbili za kujadiliana.

Bandungu inaonekana hatujui tulitakalo.Tumeshafanya ni tabia kupiga kelele majukwaani kama wanasiasa wetu.

Waende tu na nchi yao kwa amani ili tupate kupiga vita ufisadi na umasikini.

Waislamu wa Tanganyika wanahitaji misaada hasa ya kujenga shule na vyuo vikuu, Zahanati na mahospitali ,kama Zanzibar wataweza kuwasaidia ni jambo zuri tu sioni ubaya wowote ule.
Au umesahau bajeti yetu ya nchi inafadhiliwa kwa asilimia zisizopungua 40%!

Au tunapenda tuendelee kuwaita "elimu al madrasa"?
 
Zanzibar ni lazima wakubali kwamba Muungano hauko hiari kama wenyewe wanavyofikiria hakuna nchi inapenda kugawanywa tena pale ambazo watu wengi wameshajichanganya kama Tanzania hivyo hizo ndotto hazitatimia kizazi hiki wala kijacho. Dunia huko mbele itakuwa moja hata kuliko sasa na soini kama Tanzania itakuja kujitenga hata siku moja ni maneno. Ni lazima tujiulize kabla ya Muungano na waarabu ni nani walikuwa wa Zanzibari?. Ni Wabara waliokuwa wanafanya biashara za utumwa na Zanzibar ilikuwa kituo kikubwa na Waarabu walivyokuja wakaoana na jamii za Tanganyika na ndiyo maana wanzanzibar wana asili ya kiarabu. Hivyo wanaojiita wa Zanzibar ni mchanganyiko wa wa Tanganyika na Waarabu. Wanzibar hivyo basi ni ndugu kabisa wa watanganyika na mipaka iliyowekwa na waingereza na waarabu haiwezi kuzuia watu kuwa ndugu. Miaka zaidi ya 4o sasa viongozi waligundua hilo na kuja na muungano na zanzibar walipewa baadhi ya haki lakini sio haki zote kwani sasa nchi ilikuwa moja ya Tanzania na sio mbili. Hakuna mtu mwenye akili yake anayetambua zanzibar kama nchi hii ni jina tu kuna nchi moja ya Tanzania na kisiwa cha Zanzibar na wanamwita kiongozi wao raisi lakini hatambuliki duniani. Kupunguza migongano hii Zanzibar ingefuta serikali na kuwe na serikali moja tu ingewasaidia zaidi ya sasa.
 
Back
Top Bottom