Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

Certainly wewe si Mwafrika wa kwanza kukutana nae ambae ni limbukeni wa identity yake. Hii ndio ujue adhabu kubwa aliotuachia mkoloni. Nchi nyingi zilizo tawaliwa muda baada ya kuachwa ziliachwa na hii long term damage ambayo tunahitaji elimu ya hali ya juu to sort this mess. Hii likuwa na mbinu yao kuweza kuongoza by creating matabaka na ku-deal na matabaka kupunguza nguvu za umoja ambazo zingewasumbua. Ndio maana mwalimu JKN ambae wewe umthamini one his first task was to unite us as a nation and not as tribesmen. Anajua alijua athari zake.

Case study 1: leo Iraq mashambulizi yameamia kuwa ya wenyewe kwa wenyewe kisa propaganda walizolishwa na mzungu kuwa kuna religious groups within na ubaya people live with the hype matokeo unayaona.

Case Study 2: Majirani zetu wakenya umeona wamefanyiana nini uchaguzi uliopita majirani ilibidi wawafiche majirani ambao wameishi nao for decades kisa jamaa washaanza na machetes juu ya matokeo ya uchaguzi. Si hitaji kukwambia Rwanda na Burundi.

The point hapo hizo ni unnecessary thoughts you can call urself what you want and guide your life as you please but you are what you are in the eyes of outsiders.

Hivi ushangai wahindi ambao ni succesful ambao hata wengine hawajai fika tanzania hila wana connection through their parent au grand parents still identify themselves has being partly tanzanians despite their citizenship status whereever they are. Hii si kwa choice bali they reminded na wale wenye asili nao sao yes you're of my race but not of my culture and country. Sasa sheik hamisi ana uarabu gani haya ndio matatizo ya akili mgahawa wenyewe hata wasomali hawafiki wateja wake wa bara na wapwani why because we identify with his cooking as homely. Inabidi mjitambue kwa vile mlivyo na si kwa jinsi mnavyo fikiri mlivyo.

Mwisho hata makabila yote tanzania ujitambulisha kwao na mikoa hipo tanzania, kwa hivyo amna anaekuzui wewe kujiita utakavyo. Hila mwisho wa siku lazima uelewe mlifikaji huko in the first place na si baraka ya kutafana tendea na kunywa kahawa tu. Uzuiwi kujiita unavyotaka hila sisi tunatambua hicho kisiwa na watu wake walitoka bara ki asilia na si mombasa wala wapi. Hivyo ni chetu na wanaoona utanzania hawaaki fair enough waende watakako lakini ardhi yetu ni yetu. You'd better recognise.
 
Hivyo ni chetu na wanaoona utanzania hawaaki fair enough waende watakako lakini ardhi yetu ni yetu. You'd better recognise.
Hiki ndio kinachopelekea wazanzibari kudai nchi yao na kutaka kuvunja muungano.

Hofu ya kuwa iko siku taifa lao litapotea, na wengi walio smart wameshaligundua hilo kwani hata huyo babu yako Nyerere alisema kuwa angekuwa na uwezo angevimeza vizima vizima visiwa hivyo....

Lakini unfortunately Zanzibar imeumbwa kuwepo, na itaendelewa kuwepo...hizo ndoto zako wewe na Pinda hazitushughulishi wenyewe na visiwa vyetu....

Wameshakuja wengi kutaka kuvitawala visiwa hivyo na wameshindwa wamekwenda zao...so is Tanganyika.

Muungano huu utavunjika au utafanyiwa marekebisho, na dalili zipo nyingi tuu za kuonesha kama mabadiliko yako njiani.

Nakushangaeni ati Zanzibar ni ardhi yenu, mbona huna hata ruhusa ya kununua kiwanja visiwani humo? :cool:
 
Froasty,

..Tanganyika bado tuna nafasi kubwa ya kufaidika na mafuta ya Zenj.

..Zenj is too small kuweza ku-sustain matumizi yatakayotokana na oil discovery. kwa msingi huo kuna wa-Zenj wengi sana watakuja huku Tanganyika kutumia pesa zao.

..vilevile nyinyi wa-Zenj hampendi kufanya kazi za mitulinga. sasa wa-Tanganyika tutakuja kwa wingi huko kufanya kazi za kila aina hata kama ni ukorokoroni au kutapisha vyoo.
 
Sio ati kwamba ndio unanitia mie machungu kusema hivyo...naona nyie ndio munaopata pressure ya kuwa muko roho juu na kuvunjika muungano.

Usisahau kuwa Zanzibar is already a popular entity, tukifanya investment ndogo tuu kwenye tourism we are on our way.

Jiulize wewe uliokuwa uko bizzi na hicho kijisehemu kidogo, wakati wakenya wanajitangazia Kilimanjaro na kufanya biashara.....sasa jiulize kwa nchi kubwa kama yako kuwa too bizzi kuimantain Zanzibar in the union, is it worth it?

Hao kina Soviet walipoamua kuwaacha baadhi ya vijinchi vitoke na kuvunja muungano, sio kama walikuwa wajinga.Wameona kuna manufaa ya kufanya hivyo, acheni akili za mgando.

Kila leo unasikia fisadi karamba bilioni ngapi, nyie wenyewe ndio hao muko bizzi munadili na kijisehemu kidogo kama Zanzibar.

Anyways, change is on the way whether you like it or not...so get along with it and go with the flow :cool:
 
Duuh basi nitamjulisha maalim Khamis wa Leicester abadilishe jina la restaurant yake iwe ya kimatumbi!
 
Tatizo la Zanzibar kubwa ni elimu si oil wala nini. Kwa sasa Zanzibar inapata 4% ya mapato ya serikali ambayo yanajumulisha kila kitu gold, gas, na malighafi nyingine sasa leo ndugu zetu baada ya miaka 40 kusikia watu wana research mafuta fikra zinabadilika. Hakuna mafuta Zanzibar kuna reseach tu na si Zanzibar pekee ni Tanzania nzima. Tatizo leo kubwa ndugu zetu ni kutohimiza elimu kwa watoto na elimu ndiyo kiini cha maendeleo sio research za mafuta.!!!. Mchango wa Zanzibar kwenye kipato si hata 3%!!!

Hivi wewe ushaona wazanzibari wapumbavu sana research maana yake nini? Define neno contribution kabla hujatia upumbavu wako humu JF. Any research means it has validity and contribution to the community. Hivyo basi kama research zinasema mafuta yapo zanzibar that means data wanazo zinaoonyesha hivyo ama sivyo hawawezi kuandika uongo!!!!. Pata data CIA ujiridhishe tanzania iko wapi in terms of oil production na mafuta yapo wapi usitake kupayuka payuka tu kama bibi kizee follow the link below:-

https://www.cia.gov/library/publica...nia&countryCode=tz&regionCode=af&rank=128#top
 
naona mwenzetu huko tayari na panga kwa ajili ya mafuta, ambayo ndio kwanza watu bado wako kwenye exploration processes.

kwani umeambiwa mwenzetu hayo mafuta yana uwezo wa kuingiza revenue ya kiasi gani. Maana huko very ambitous na kuvunjika kwa huu muungano hata testing za mafuta hazija anza. wala pipe azijaenda do you even know how long it takes before they can begin pumping out oil from see.

Sio yeye hata mie namsupport kwa hilo tunaona viongozi wetu Tanganyika wanavyotuingiza katika mikenge ya kila aina. Sasa hivi wamekuja ni mkwala eti wanataka kuje flyovers ili wapate hela za world bank watujengee flyovers mbovu watu wakifa hata hawajali. Afadhali wazanzibar wajichimbie mafuta yao wengine tutaenda kufanya kazi za ushauri huko lakini mie nasupport 100%
 
Si unaona haya ndio matokeo ya elimu ya Tanzania kujaribiana kwa mitego utadhani tupo kindergaten, talk by facts na sio mambo ya kulopoka tu ndio maana watu wana kushangaa unapiga vigelegele mwali ujampata.

Kitu kingine unasema raisi wa OPEC kasema nini sasa nchi zenye mafuta how do they go about pumping out oil how do member states in OIL cartel go about sharing the burden kama watu hawajui wana reserve gani.

Yes people take risks but based on certain information kuna vigezo fulani fulani ambavyo mtu anaweza gamble navyo. Sasa people like Shell or BP would have not been far apart knowing kuna mafuta. Kama uliivyoona Angola people would buy time knowing the potential huge by looking a geological facts huko tena subiri wataalam wa haya mambo wakuelezee.

Halafu hivi unaelewa maana ya Ukabila weye, kwani chakechake yapo hayo makabila au unaendeleza style zako kukurupukia mambo. Mimi sijasema ukabila anyhwere humu the first person to mention that word ni wewe.

Na sijasema kamwe sababu za kutengana ni ukabila, i have crossed that path in my reasoning abilities i do not see ukabila what i see is a conflict of ideologies hiwe imani, way of life, local logical reasoning etc. Hivi ni vitu ambavyo ni man made only they are not real but only act a social guidence. Hiklo ni somo lingine tena na siku nyingine.

Kwa hivyo ni sababu hizo hizo pia zinaweza leta mgawanyiko dhikidharauliwa au utaji zote hila hata moja tu ikivuka mpaka u know your heading towards problems. Clearly wapo tayari wenye hizi extreme views wewe ukiwa mmoja wapo na sababu zako uzijuazo wewe hila unababaisha tu, lakini ki ukweli ujioni mtanzania bali ni mzanzibari. Au unajiona mzanzibari first then mtanzania. Na ujali sababu zingine zozote bali uchoyo wa matakwa yako, wapo wazenji wengi sasa walio intermarry bara, wafanyabiashara wengi wanao vuka the channel daily yotee hayo we potelea mbali Mr Froasty anataka zanzibar yake, hila kwenye zanzibar yake kuwe na kisiwa cha pemba fill the gap what is the common relationship between the two utapata nusu jibu kutoka kwenye chako una matatizo gani first.

Hivyo wazanzibari hawa huu utaki muungano wao kama akina nani ni hawa viongozi tu wanawachekea zanzibar ni part of tanzania hivyo amna say on what happens there. the central government has to make the decisions na hiyo pia ina viongozi kutoka huko tena at the senior level of our civil services sasa laumu viongozi wazembe wasio waleteeni maendeleo na si muungano, kuna mikoa kibao bara pia ina matatizo.

Amna muungano usio na matatizo nani kanguongopea miungano ulio iitaja ilikuwa ya kubembelezana na ya hiari huo wa US ulikuwa implemented na CIVIL WAR na huu wa Uingereza ilibidi wa Mweke mfalme kutoka Scotland for the sake of the Union na mpaka leo kuna mifarakano sijui kama unaelewa sin fein, scottish party na other domestic demands ambazo westiminister na other sides inabidi wa-settle day in dayout. Hata hiyo UE ina matatizo yake.

Cha msingi hapa ni wewe kuacha fikra zako za kipuuzi na kuanza kupigania maendeleo ya Zanzibar ki haki na si kutaka kujiona vinginevyo.

Mwisho sio kwamba heti nasingizia ya kwamba mnataka kujifanya tofauti no ni kwamba mntabia za kutaka kujioona hivyo either consciously au unconsiouly hila inabidi mjielewe ni akina nani mkoloni was uninvited guest hana haki na zanzibar tanganyika hina haki zote za visiwa hivyo na watu wake.

Ps. case study nakupa uifuatilie kuna jamaa huku maarufu kwa mapishi yake. na ana kamgahawa chake kamjii mmoja eti nje kaweka welcome to afro-arabic restaurant na jitu bantu. halafu ndani anauza biriani (chakula chenye origin ya kihindi), chapati (ki-hindi), supu ya makongoro (wa bantu) etc sasa jiulize what was the reason to call afro-arabic when there was nothing of arabic origin apart ya yeye kuwa mzanzibari tena mmbantu. You see the problem its not the food but what he identifies himself what a pathetic luuuuza Sheik Hamisi.

Kaka naomba nikusahihishe umesema ati BP hawapo katika hilo swala la oil exploration hebu pata link hiyo uone TPDC kabla hawajasimamishwa na SMZ walishaingia mkataba na nani kuchunguza mafuta zanzibar????
http://www.tpdc-tz.com/new/table2.htm

Halafu soma article chini hapo:-
Overview

Tanzania can be considered to be under-explored. There have been positive indications of hydrocarbon potential in the form of oil seeps, gas and oil shows but only relatively few exploration and development wells have been drilled. The biggest discoveries have been the Songo Songo and the Mnazi Bay gas fields.

Tanzania is witnessing an increase in exploration activity following the recent signing of three new Production Sharing Agreements by the Government; with Maurel & Prom of France and Petrobras of Brazil for areas close to the Nyuni Licence area and with the Artumas Group of Canada for the Mnazi Bay area in southern Tanzania.

In March 2005 EnerGulf Resources Inc. entered into a memorandum of understanding ("MOU") with JEBCO Seismic Ltd. to explore for petroleum on the Tanga Block along the coast and offshore Tanzania in East Africa. Oil seeps and multiple source units have been identified in the area and prolific sand development may be seen both within the Miocene and the Cretaceous with secondary targets in the Eocene and Paleocene. Existing seismic indicates the presence of multiple hydrocarbon traps.

Aminex's subsidiary Ndovu Resources Ltd. holds the exploration rights to Nyuni, a licence area offshore the Rufiji River delta of Tanzania, acquired by Aminex as a consequence of the acquisition of Tanzoil NL in February 2002. Nyuni-1 was drilled to a depth of 3,895 metres and was the first offshore exploration well in Tanzania for many years. The well logged hydrocarbon saturations in Lower Cretaceous and Jurassic formations, encountered numerous oil and gas shows throughout a thick sandstone sequence and established the presence of oil from a Jurassic source in the region for the first time.
History

The history of oil and gas exploration in Tanzania falls into three phases, beginning in 1952 when BP and Shell were awarded a concession covering the onshore coastal basins and the islands of Zanzibar, Pemba and Mafia. Following extensive geological and geophysical surveys, which included 40 stratigraphic boreholes, four wildcat wells were drilled, one each on the three islands and one in the Mandawa Salt Basin. None of these wells encountered hydrocarbons in sufficient quantities to justify further drilling at a time when better opportunities were available in the Middle East. Accordingly, the entire concession was relinquished in 1964.

The second exploration phase coincided with the formation of TPDC in 1969 when Agip was awarded a concession covering a similar onshore areas to that held by BP but which also included the continental shelf to a water depth of 200m. From 1973 to 1982 Agip was joined by Amoco and drilled three onshore and 3 offshore wells resulting in the discovery of the Songo Songo and Mnazi Bay gas fields.

The third exploration phase was stimulated by high oil prices during the early eighties at which time licences were awarded to Shell, IEDC, Elf and Amoco. In 1981 Shell, later to be joined by Esso , was assigned five licences covering the Ruvu and Selous Basins. Between 1981 and 1985 Shell carried out an extensive exploration campaign which included the acquisition of over 6,400 km of seismic. Despite this extensive seismic campaign much of the thick sedimentary section in the Rufiji Trough and Selous Basin remains covered by only a broad regional grid. Subsequent drilling was limited to three wells; Ruaruke North-1, Liwale-1 (the only well in the Selous proper) and Lukuliro-1, a dry hole on the flank of the Rufiji Trough. No wells were drilled in the Ruvu Basin.

At the same time, the remaining part of the Ruvu Basin was awarded to IEDC, later joined by BHP and Elf, who after a limited seismic campaign drilled two wells on the western side of the rift-Makarawe-1 and Kiwangwa-1.

From 1978 onwards TPDC made a significant contribution to exploration, conducting onshore seismic programs in the Ruvu, Kimbiji / Bigwa, Pemba, Mafia and Ruvuma areas and offshore around Songo Songo, Pemba, and Zanzibar. In 1982/83 they drilled the Kimbiji East-1 and Kimbiji Main-1 wells. Petro-Canada drilled an aid funded well, Tan Can-1, close to the Kimbiji area in 1983. TPDC also carried out an appraisal program on the Songo Songo gasfield comprising seven wells (Songo Songo-3 to 9).

During 1983-84 the attention of the international oil industry was drawn to the Modern Rift System in Tanzania by geophysical surveys funded by PCIAC and the World Bank, and by seismic surveys conducted by Duke University as part of Project PROBE on Lake Tanganyika and Nyasa. Subsequently, exploration licences were assigned to Amoco, who drilled two shallow wells in the Rukwa Basin - Galula-1 and Ivuna-1.

At the end of the 1980s, licences were held by Shell over the Mandawa and Mafia Basins and by Texaco in the Ruvuma Basin, one exploratory well was drilled in each area.

In 1995, Irish company Dublin International Petroleum Limited signed a PSA over Mandawa and Rufiji Basins and two exploration wells were drilled in 1996 at Mandawa.. In 1997, two Canadian companies, Antrim Resources (now Antrim Energy Limited) and Canop World-wide signed PSAs over the Pemba/Zanzibar region and the Dar-es-Salamm/Mafia region respectively. In 1998, Gulf Western Mining signed an agreement covering parts of the Tanga Region, Ruvu and Kimbiji areas.

Canop's acreage consists of three contiguous blocks, the Kisangire Block, Dar-es-Salaam Platform Block and the Mafia Island Basin Block.

In 1998, Tanzania offered acreage up for foreign investment. In March 1999, Ndovu Resources of Australia acquired the rights to explore 31 blocks offshore for oil for a period of 11 years. The area covers eastern Songo Songo Island, and stretches to the Rufiji Delta in the Coast Region.

Early in 1999, Western Geophysical signed an agreement to carry out deep-sea speculative surveys and in August 2000, Western Geophysical announced that it would be carrying out phase II of this 2-D seismic acquisition programme covering the Pemba Basin, offshore Tanzania in 1999. The data is to be available in time for the licensing round planned for the fourth quarter of 2000.
Exploration Database

The petroleum exploration data base in Tanzania consists of wide ranging geological and geochemical studies, geological and drilling records from nearly one hundred boreholes and twenty-eight deep wells; and many thousand kilometers of gravity, airborne magnetometer and seismic surveys. All this data is available for inspection at TPDC's Exploration Office in Dar-es-Salaam. A Technical report has been prepared which reviews this data and provides an assessment of the hydrocarbon potential of Tanzania.

The country was initially mapped by the Tanganyika Geological Survey which is now based in Dodoma and maps are available at a scale of 1:50,000. Only twenty wildcat exploration wells and eight development wells have been drilled in Tanzania, giving a drilling density of one well per 12,000 sq.km for the onshore sedimentary basins and one well per 8,000 sq.km for the offshore.

A number of these wells, both early and more recent, were located on the basis of poor quality or inadequate seismic control and in retrospect turned out to be invalid structural tests. Others were drilled on the less prospective basin margins which happened to be regional structural culminations.

There is excellent coverage of aeromagnetic data over the whole of Tanzania, both onshore and offshore, from a 1971 survey by Agip and a 1976 survey by Geosurvey International.The coverage of gravity data can best be described as 'patchy', consisting mainly of regional surveys. The best coverage is the coastal area over the Mandawa and Ruvuma Basins, the larger offshore islands and in the Lake Rukwa Basin. In the Ruvu, Selous and Rufiji areas the coverage is mainly limited to data along the more recent seismic lines.
 
Juma contena labda useme Tanganyika inafanya juhudi zote kuhakikisha zanzibar hawachimbi mafuta na hilo tumelistukizia sasa zanzibar imecharuka hawataki majungu yenu.
 
Bro sijakataa ya kuwa muungano so far doesnt prove to be productive and of benefit kwa wazanzibari. lakini it doesnt mean ndio ufe, lazima tuangalie sababu za muungano in the first place kama unazo tuta shukuru uzishushe.

Lakini aina maana ya ku entertain ideas ambazo zina float on their heads based on wajionavyo wao. kwanza elewa watu you see as kelele za visiwani huko za CUF ni based on much freedom waliyo achiwa nayo na serikali ya muungano ambayo pia imewasaidia kuandamana na kupata nguvu za umoja.

jaribu kuandaa maandamano yako wakati huu kuelekea uchaguzi hapo bara particularly dar, wala siiitaji kujiita sheik yahaya kujua hawa jamaa una watafuta na watakutafuta. Hila hawa jamaa waliwazembea in the first place sasa the tension is too high and their course has gained some momentum for them to do anything stupid in zanzibar under the current weather .

Hila hata bara kuna hasira hizi hizi mfano ni JF hapa ulipo hii na namna moja ambayo wengi tupo safe to show our concerns lakini argument ya kusema wao sijui ni majasiri si kweli hila walizembewa hawali kuweza kufika hapo walipo.

Hivyo given the opportunity na vyombo vya dola may be tungekuwa mbali kwani kuna watu wenye hasira tayari kuliko hata hao. Tazama waandishi walivyo jaribu kuifuatilia mambo ya Loliondo closely waliwaita wamasai waamiaji na wale walio goma kuondoka bora utafute thread ya kukumbusha himo na video yake au go you tube. lakini si kudai hawa wana hasira kuliko sisi na ufisadi.

Tunajua whats going on with home politics na wengine wanatujulisha on regular bases through the forum na asante tena kutukumbushaa huo wizi wa flyover unaokuja. lakini point ni kwamba what are we to do, wao wana CUF easy opponent na ni kweli CUF imesimamia change. Sisi bado political wise CCM hana mpizani wa kweli, yaani wabongo bado hawajapewa firm realistic choice ya chama cha kumtisha CCM. Ndio wapo viongozi wenye sparks ya kuitikisa hila amna wa kuwatisha. Ni hapo tu ndipo walipotuzidi.

na article nimeisoma so far naona hao big boys where much concerned na mainland than visiwani na mbona leo hawapo tena au ndio nisome na hiyo ya bp tena separately.
 
Bro sijakataa ya kuwa muungano so far doesnt prove to be productive and of benefit kwa wazanzibari. lakini it doesnt mean ndio ufe, lazima tuangalie sababu za muungano in the first place kama unazo tuta shukuru uzishushe.

Lakini aina maana ya ku entertain ideas ambazo zina float on their heads based on wajionavyo wao. kwanza elewa watu you see as kelele za visiwani huko za CUF ni based on much freedom waliyo achiwa nayo na serikali ya muungano ambayo pia imewasaidia kuandamana na kupata nguvu za umoja.

jaribu kuandaa maandamano yako wakati huu kuelekea uchaguzi hapo bara particularly dar, wala siiitaji kujiita sheik yahaya kujua hawa jamaa una watafuta na watakutafuta. Hila hawa jamaa waliwazembea in the first place sasa the tension is too high and their course has gained some momentum for them to do anything stupid in zanzibar under the current weather .

Hila hata bara kuna hasira hizi hizi mfano ni JF hapa ulipo hii na namna moja ambayo wengi tupo safe to show our concerns lakini argument ya kusema wao sijui ni majasiri si kweli hila walizembewa hawali kuweza kufika hapo walipo.

Hivyo given the opportunity na vyombo vya dola may be tungekuwa mbali kwani kuna watu wenye hasira tayari kuliko hata hao. Tazama waandishi walivyo jaribu kuifuatilia mambo ya Loliondo closely waliwaita wamasai waamiaji na wale walio goma kuondoka bora utafute thread ya kukumbusha himo na video yake au go you tube. lakini si kudai hawa wana hasira kuliko sisi na ufisadi.

Tunajua what going on with home politics na wengine wanatujulisha everyday whats going on regular bases through the forum na asante tena kutukumbushaa huo wizi wa flyover unaokuja. lakini point ni kwamba what are we to do, wao wana CUF easy opponent na ni kweli CUF imesimamia change. Sisi bado political wise CCM hana mpizani wa kweli, yaani wabongo bado hawajapewa firm realistic choice ya chama cha kumtisha CCM. Ndio wapo viongozi wenye sparks ya kuitikisa hila wa kuwatisha. Ni hapo tu ndipo walipotuzidi.

na article nimeisoma so far naona hao big boys where much concerned na mainland than visiwani na mbona leo hawapo tena au ndio nisome na hiyo ya bp tena separately.

I do agree with you in that perspective but unajua kaka Ghana, Liberia, Senegal hawakukaa sawa hadi pale sauti za wanyonge ziliposikika. Sometimes ni vizuri tension zikawa juu ili watu waheshimiane. Likewise mie naiona zanzibar kama model kwetu Tanganyika kwani tunaibiwa mno!!!!! just recently tizama study ya kizushi iliyopigwa inayodai kuwa JK anapendwa uliza sample size ni ngapi? jibu hakuna? motivation ya study (kama ipo unbiased or round rings questions (biased questions)) jibu hakuna!!!! So at the end of the day tunaliwa tu na watanganyika hatusemagi kitu kuohofia either kitumbua kuota mchanga au kufungwa but hii hadi lini???

Na wakisema Tanganyika watumie dola kuwamaliza i doubt it very well kwasababu a. Wanayataka yale mafuta kule zanzibar hivyo wataangalia option zinazowafaa (meaning not necessarily kusupport Tanzania union government) b. Wanajua history ya zanzibar therefore watavoid possible genocide case kama itatokea zanzibar kwani mataifa ya kimagharibi ni machampion wa kutangaza demokrasia hata kama wao hawaifati c. Wazanzibar wengi wamesoma sasa hivi hivyo ni ngumu kuwadanganya kama zamani hivyo basi hilo linaleta ugumu katika utekelezaji wa propaganda za zamani.

Ni hayo tu mkubwa!!!! Kuhusu Oil Exploration soma article na click link ya TPDC utaona BP wako Pemba na zanzibar kwa mikataba waliyoingia na between BP na TPDC ambayo Zanzibar imeitolea nje!!!
 
forty million people are not going to wake up one day na kudai haki zao wanaihitaji muongozo na namna ya kuongoza, mfano vita ya rushwa kijana murro alikuwa anaanza kuitangaza as a problem, look at what they did to him.

Sasa jaribu kumpekua mtu anaelitikisa bunge lets say Lowassa you'll be a dead man working. thats where you have to understand hawa jamaa wanauwa nguvu ambazo zinaweza leta momentum as individuals we are weak as a collective group tuna nguvu na mind set ina change unajua what ever happened at the end kuna change na tupo wengi. lakini mambo ya kujua unapigana kubahatisha anything can happen kama kufa na ku-achieve nothing you'd better stick to ya life.

Hila hawa akina maalim walikuwa ignored for time mpaka momentum yako imekua juu sasa right now ni point ya kwamba maalim ni kama mediator ya serikali na wazanzibari yaani hawa ni time bomb tu. kwa sababu wameshaelewa ni wengi wenye ku-shea a common goal sisi bado hawaturuhusu kwenda huko. My be rahisi wetu si wa hivyo hila amini kuna mijitu nyuma yake understand their intimadation tactics.
 
That is true kamanda na mie siku zote huwa nawaambia kuwa siasa is a dirty game mfano Maalim seif ni kiongozi wa CUF but kiongozi huyu wa CUF analipwa mshahara wa waziri kiongozi mstaafu. Anapata Body guard ambaye mshahara wake unatokea SMZ. Yeye na familia yake wanalipiwa matibabu na SMZ sasa swali linakuja how independent is his decision in leading the change in Zanzibar huwa jibu sipati hata kidogo.

Ishu lakini ni kwamba Zanzibar wakiwa na uzalendo na kuwa kitu kimoja itatusaidia na sie wadanganyika kuamka kwani nalolisema linajidhihirisha katika maneno yako kuwa wadanganyika waoga mno!!!! Tukishaona wenzetu wanauzalendo na sie tutakuja kuwa nao venginevyo tutakuwa hatuoni jitihada zinazofanywa na Chadema kutukomboa wadanganyika
 
haya sasa si unaona hayo ya maalim seif nilikuwa siyajui hila inaoneka ukisha kuwa an outcast ulievuka boundaries za kukuondoka quitely wanakununua.

Uzalendo wa zanzibar umekua possible kutokana na uongozi hata sisi tungekua na upinzani imara hiyo ni possibility in my opinion hila bro thank you kwa somo mi sasa ni msomaji tu till later day alamsiki.
 
...lazima tuangalie sababu za muungano in the first place kama unazo tuta shukuru uzishushe.

“WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples’ Republic
Of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of
Their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that association and
Strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and
Considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of
Zanzibar”

Nilitoa tafsiri aliyotoa M.Seif naona kiswahili hufahamu, sasa hicho ni kipande kutoka kwenye mkataba wa muungano.Hizo ndio sababu za kuunganisha Tanganyika na Zanzibar...which doesnt convince mean that much :rolleyes:

Lakini aina maana ya ku entertain ideas ambazo zina float on their heads based on wajionavyo wao. .

Sikuendelea tena na kusoma post yako baada ya line hii....maana nilijiua zinazoendelea hapo ni pumba tupu.

Zanzibar ndio inayoathirika zaidi na makosa ya muungano yaliyopo, Tanganyika haijapata machungu yoyote na kama Zanzibar itakaa kimya na kustahamili machungu ya muungano....sifikirii kama Tanganyika itacomplaign chochote.

Sasa ni bora ukakubali facts kuwa wazanzibari wanadai freedom ya kujiamulia mambo yao na wana woga mkubwa wa kupoteza taifa lao....haya si mambo madogo, ni mambo ya kawaida na wala hayana issue hizi unazojaribu kuleta hapa kuwa wazanzibari wanajiona wao tofauti...wala Zanzibari haitokaa kimya na kustahamili kwasababu wanaogopa kasumba zako.

Pirika ya kuleta mabadiliko itaendelea, na trust me spirit yetu ni kuwa tutashinda vita dhidi ya ubabaishaji huu wa muungano....nikitizama tofauti ya harakati hii ilivyokuwa 1990 na sasa, I fully get convinced that b4 I die I will enjoy the freedom that Ive always dreamed of :cool:
 
..hivi kuna mwenye ripoti ya yule Mtaalamu aliyeletwa majuzi kushauri serikali zetu kuhusu masuala ya mafuta?

..ripoti ya Mshauri huyo nakumbuka ilijadiliwa, na mapendekezo yake kukataliwa, na Baraza la Wawakilishi.

..pamoja na hayo naamini ripoti hiyo inaweza kuwa na data/information nyingi ambazo zinaweza kuusaidia mjadala huu, na uelewa wetu kuhusu potential ya kuwepo kwa mafuta Tanganyika au Zanzibar.
 
Hizo report na data nilizotoa hapo juu ni za january 2010.Ukitupia macho vizuri utaona kuwa company imesuspend activity kutokana na SMZ/BLW kuweka mguu.

Hivyo kero za muungano zimekuwa kizingiti za kupatikana nishati hiyo, na hilo ni jukumu la JK alituahidi kuzitatua...hadi sasa haijaondolewa hata kero moja!
 
mafuta mafuta, mbona nigeria wana mafuta lakini siono chochote, sudan,chad nchi kibao za kiafrika mafuta bwelele,lakini hamna chochote cha ajabu, maisha magumu kwenda mbele,wachukue hayo mafuta, wakifanikiwa wao si ndiyo vizuri jamani, watakuwa wanatusaida na sisi.

Kwa kua Zanzibar ni ka-nchi kadogo, nawashauri na wawape wawekezaji wa mafuta toka China, si waZNZ wameona yaliyotokea Niger. Kama hawawapendi wachina, England pia inajua mambo angalia wanavyofanyizia Falkland Islands. Inasadikika pia kua US imepigana Iraq ni kwa ajili ya mafuta tu.

Ndani ya CCM, haijalishi ni CCM-visiwani ama CCM-bara ni ndoto kudhani mtafaidika na mafuta. Kama yapo ZNZ wawekezaji watachimba na kuondoka nayo yote bure maana vichwa vyenu ZNZ vimejaa maji. Faida ya Muungano kwenu ni zaidi ya hata bahari inayowazunguka ingekua mafuta. Hii ni kwa kua hamna ABC.. yeyote kuhusu UCHIMBAJI mafuta wala uwekezaji huko ZNZ. Tapeli yeyote rahisi tu kuwaingiza mjini.
 
Nyie mliokuwa vichwa vyenu havina maji mbona hamuna maendeleo yoyote.Kati ya wazanzibari na watanganyika, basi wazanzibari wako smart zaidi na ni rahisi wao kufahamu kushinda watanganyika.

JKN ameweza kukaa madarakani na kukudanganyeni kwa miaka 22 akihubiri ujamaa huku mukifa njaa...huku unakwita nini?

Watu kila la leo wanaiba mabilioni kwa ufisadi, nyie bado munahubiri mizuka ya JKN muungano!....Hivi ndio munajiona smart au vichwa vimejaa nini mavi?...Si bora ya hivyo vichwa vyetu sisi vilivyojaa maji kwani hayatowi harufu :cool:

Tumia busara kuliko kashfa za ukabila, hili suala la mafuta limeambatana na mikataba ya muungano na conflicts za muungano/kikatiba.

Hivyo kusema ati wazanzibari wana maji vichwani mwao, sioni kama unasaidia chochote...bali nawe unakuwa ni part ya tatizo.

Katiba zirekebishwe na muundo wa muungano urekebishwe, tuache matusi!
 
Back
Top Bottom