Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa Mafuta na Suala la Muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Junius, Oct 17, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Zanzibar government yesterday reiterated its stand on the issue of oil and natural gas insisting that the natural resources would remain a preserve of the Isles government.

  Speaking at the on-going Zanzibar House of Representatives session here, the Minister for Water, Energy and Land, Mansour Yussuf Himid said the decision to remove oil and natural gas from the list of union matters was a unanimous decision by the Isles government and would therefore not be reversed.

  Responding to questions from legislators, Himid for the first time in history, CCM and CUF legislators had joined ranks and spoke as one voice defending the issue of oil and natural gas that it should remain exclusive for Zanzibar.
  He said the government was working on the final details of the energy policy scheduled to be presented in the next House meeting slated for January next year.

  The Minister also said operational laws and regulations for the exploration and exploitation of oil would be drafted shortly.

  According to Himid preparations include official communication between the ministry of energy and that of Education and Vocational Training in Zanzibar to identify people who would pursue the related oil production studies abroad.

  "I would like to assure you that selection of applicants will be accomplished on merit and legislators have nothing to worry about. We have identified a number of potential sponsors for these students," the minister explained.
  The minister said an Arab country, which he did not disclose, had agreed to support oil exploration and drilling in Zanzibar, adding, that a comprehensive agreement to that effect would be reached.

  Earlier, the representative for Kwahani constituency, Ali Suleiman Ali demanded government explanation on measures taken to prepare the energy policy.

  Meanwhile, the deputy minister for Water, Energy and Land, Tafana Kassim Mzee told the House that explorations carried out in 1952 through 1964 by BP and Shell in Pemba and Unguja did not confirm availability of oil and natural gas in all six deep wells dug in Zanzibar.

  Responding to a question by Ali Denge Makame, representative for Amani constituency, the deputy minister said: "Let me clarify on this that no place in Zanzibar has been confirmed to have oil and natural gas for sure except that seismic research findings indicate the possibility of having the reserves in the isles.

  In the last session of the national Assembly the issue of oil in Zanzibar sparked a heated debate with some of the legislators using strong words which prompted formation of a special elders' team by CCM National Executive Committee under the chairmanship of former president, Ali Hassan Mwinyi set to hold talks with Zanzibar representatives to iron out the differences.

  However, President Jakaya Kikwete commenting on the controversial issue of oil and natural gas in Zanzibar recently, said it was negotiable and there was no reason to start quarreling for something whose existence was yet to be confirmed.


  SOURCE: THE GUARDIAN

  Updates:
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  wache wajinyonge kama hawataki.
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kina nani hawataki???
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Vijitu jitu fulani tu vimekaa kama 'mfalme Jeta' wa Kusadikika, vimekaa midomo wazi kila kinachopita wanatia midomoni mwao...mamilioni ya tani za magogo, samaki n.k wanameza kila dakika...lakini hawatosheki...kila sekunde moja wao wanalia njaa...njaa...sasa wenzao sijuwi wakale wapi jamani!
   
 5. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kama hayo mafuta yakipatikana bora wayashughulikie wenyewe huko huko kivyao vyao, wanaweza wakafaidika, yakiletwa kwenye muungano viongozi wa bara wanaweza kuyafanyia ufisadi, kama walivyofanya kwenye madini....
   
 6. M

  MchungajiMakini Senior Member

  #6
  Oct 17, 2009
  Joined: Apr 4, 2008
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mumejisahau hiyo zanzibar yenyewe muungano wacha huu muungano wa tanganyika.

  hapo zanzibar kuna muungano wa watanganyika, wakiristo, watumwa na mafisadi

  sasa wazanzibar mutakimbilia wapi?

  waziri mkuu mizengwe ameshasema wazanzibar wamekisha sasa sio muungano ila ishakuwa nchi moja.

  mafuta ya tanganyika sio ya zanzibar

  mapinduzi ya tanganyika sio zanzibar

  smz ya tanganyika sio zanzibar

  smz yenyewe muungano hizo kelele za mlango tu.

  aman karume mwenyewe anajua kashawaambia wazanzibar wenye ni watanganyika nyie zanzibar tu.

  ngojeni bakora zinakuja na majeshi yanakuja kutoka bara.

  mumebakia waislam jina tu nyote mutakufa na mizambi yenu?

  nyote mumekuwa makafiri na nchi yenu sasa ya kikafiri mutaenda wapi? mutaringa wapi? mutabakia hivyo2 eti 99% waislam kumbe makafiri

  hata misikitini munachanganyikana na makafiri na hayo mafuta sio yenu. nisawa tu na ****** baunsa kifua kikubwa na kutisha akishikwa **** tu anachanua

  hili munalijua.

  kumbukeni 12/64
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Oct 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tunataka kuumia kichwa bure kwa kugombania vifaranga vya kuku ambayo hajatotoa na ambaye hata mayai hana; kuku ambaye jogoo wake bado hatujampata!
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Sasa hilo suala la mafuta kuwepo kwa zanzibar limehusiana na nini na swala la muungano? Mbona hamsemi ukweli? Kuhusu muungano uliwekwa baina ya baba wa taifa mwalim nyerer na mzee karume linahusiana na nini na suala la mafuta? Au kulikuwepo mafuta wakati wa muungano wa tanganyika na unguja? Mulkuwepo wakati mzee karume na mwalimu nyerere walipo tia saini mkataba wa muungano?

  Mbona hamsemi ukweli wa mambo? Mbona huku bara kuna almasi kule shinyanga dhahabu, madini ya kila aina mbona hamsemi hayo pia yapo kwenye huo muungano? Au watu wa zanzibar wananufaika na nini kuhusu hayo madini yaliyokuwepo huko tanzania bara? Hapo bara mafuta pia yapo kwenye visiwa vya songosongo na pale mafia je wazanzibar waseme pia mafuta yaliyokuwepo bara yatiwe kwenye huo muungano?

  Msiangalie upande mmoja angalieni kila upande mafuta ya unguja hayausiani na muungano wa tanganyika na unguja mkae mukijuwa asanteni
   
 9. O

  Omumura JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna huyo waziri mtata himid nafikiri ni shemeji yake presdaa karume hafai hata kidogo, amekuwa mstari wa mbele kulilia mafuta ambayo ni ya kusadikika.nchi yenyewe imejaa laana mafuta yatatoka wapi?kazi yake kila kukicha anachochea vurugu kupitia mafuta wakati nchi ikichafuka yeye na karume watakimbilia ughaibuni, to hell with them!
   
 10. M

  MLEKWA Senior Member

  #10
  Oct 17, 2009
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wssiojua Mafuta ni ajenda ya 2010 ya uchaguzi Watanganyika waoneeni huruma CCM Zanzibar wkani hawana walichofanya miaka kumi iliopita ila sasa hivi ni kuonesha na wao ni watetezi wa haki za Zanzibar kwenye Muungano, siasa za leo za Zanzibar ukiwa hutetei Maslahi ya Zanzibar basi wewe hurudi Bungeni kwa hiyo wana CCM wengi washaliona hilo na wanajua Kamati ya MZee mwinyi inakuja visiwani na kuwafumba mdomo CCM kwa hiyo wana anza kutoa makucha yao kabla ya Mzee Ruksa kutua visiwani.
   
 11. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna Ukristo Zanzibar. na hao unaowasikia Wote wametoka bara na hawafiki hata 1%
   
 12. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kaazi kweli kweli!!!
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Waachieni hilo mafuta. Hawataishia hapo. Ni sawa na kula nyama ya mtu.
   
 14. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 363
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mafuta mafuta, mbona nigeria wana mafuta lakini siono chochote, sudan,chad nchi kibao za kiafrika mafuta bwelele,lakini hamna chochote cha ajabu, maisha magumu kwenda mbele,wachukue hayo mafuta, wakifanikiwa wao si ndiyo vizuri jamani, watakuwa wanatusaida na sisi.
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0

  Kama ilivyo Tanganyika UKATOLIKI Vs UISLAM.

  kaaazi kwelikweli.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Naona hii discussion ya mafuta iungurume Zanzibar mpaka uchaguzi upite maana inaweza kuwafanya jamaa wakaamua kuandikisha watu na kutoleteana rabsha rabsha, wakakaa kama rafiki na ndugu mmoja wakijua adui yao ni nani.
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Yale yaleeeeeeee ya wale waleeeeeeee
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Hili suala la mafuta huenda ni bora likabaki huko huko. Uzoefu unaonyesha nchi zenye mafuta si salama hata kidogo. Ni kama zimelaaniwa. Sasa hizi kelele huend ani ufunuo kuwa muda umefika tuwaache na mafuta yao!
   
 19. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Jamani sio bora wangelizitoa items zote from the list of union matters na udhia ukaisha?
  Madarakani tuwaweke sisi na juu ya hapo ujeuri tele. Hata shukurani jamani hakuna? Hivyo bila ya Bara hayo mafuta yote sio yatamiminikia Omani???
   
 20. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu umeona wapi wewe mtu kununuwa nguo za mtoto hata mke au mwanamke hana ?
   
Loading...