Mjadala: Kwanini wanaume wengi hufa mapema? Wanawake tuhurumieni please...

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Habari ya Jumapili waungwana!

Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!

Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu Nyerere alishakufa mama Maria yupo, Mgabe, Mkapa, Magufuli, Mobutu, Kulola was EAGT, Mwenisongole wa TAG na wengine humu tuna akina mama baba zetu walishatangulia na wake zao bado wapo nini tatizo kwa wanaume?

Sasa hapa kuna possible answers; NABII MURIRI ANASEMA

Tazama video hapa chini:

1. Wanawake wamekuwa sumu kwa wanaume, utakuta mwanaume yupo na majukumu mengi stress's za kazini, biashara haiendi, mikopo hailipiki, ada za watoto, kukatwa mshahara kazini, kufokea na bosi unarudi nyumbani ukitegemea faraja ipo nyumbani, ndiyo kwanza mke anasimamia kucha anakuchamba, kelele nyingi, umri hupunguzwa saana na stress.

Lakini pia mwanaume anapokuwa na hasira muda mrefu kuna sumu inamwagika mwilini na hii ndiyo inatuuwa ama kuzeeka kabla ya umri halisi wa kuzeeka.

2. KUFANYA MAPENZI
Katika tendo la ndoa mwanaume anatumia nguvu nyingi saana kuliko mwanamke, wakati wa tendo lenyewe na wakati wa Ejaculation,(kumwaga) mfana wadudu kama nyuki hufaa baada ya tendo, na wanyama wengine pia maisha yao ni mafupi kutokana na mapenzi just my views.

3. Kazi ngumu bila kupumzika kwa wastani mwanaume anapaswa kufanyakazi kwa saa nane (8) na kula pia wastani wa saa nane pia (8).

Sasa tunaji overdose na kazi kutokana na maisha au vitabu vya dini vinasemaje juu ya umri wa mwanaume.

Sasa je, ni kwa nini wanaume tunakufa mapema na kuwaacha wanawake wakiishi?

Mimi nimetoa maoni yangu wewe je, nini tatizo?
 

Attachments

  • malisa_gj~tv~CWcTD67KBQc~1.mp4
    11.7 MB
2. KUFANYA MAPENZI
Katika tendo la ndoa mwanaume anatumia nguvu nyingi saana kuliko mwanamke, wakati wa tendon lenyewe na wakati wa Ejaculation,(kumwaga) mfana wadudu kama nyuki hufaa baada ya tendo, na wanyama wengine pia maisha yao ni mafupi kutokana na mapenzi just my views
Aisee!
I thought it is less of this that kills men prematurely!
Wengine wanasemaga ukipiga mzigo wa uhakika eneo hili hakuna cha tezi dume, wala homa..😊
 
Habari ya jumapili waungwana!

Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi ,na wanasaikolojia wore wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!

Ndipo nikarejea katika uhalisia babu alishakufa bibi yupo, mwalimu Nyerere alishakufa mama Maria yupo, Mgabe,Mkapa, Magufuli,Mobutu, kulola Was EAGT,Mwenisongole wa TAG NA Wengine humu tuna akina mama baba zetu walishatangulia na wake zao bado wapo nini tatizo kwa wanaume.?

Hiyo namba 2 ni ujinga
 
umri wa kuoa na kufanikiwa kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke ...

mwanaume akiwa na 28~35 ndio huwa tayari wanakua kiasi wanakazi za kulisha familia.

wakati mwanamke muda ukifika wa 18 anatakiwa kuolewa kwahyo kwa sababu ya wimbi kubwa la wanaume kuchelewa kupata kazi wamejikuta wameoa wanawake wamewazidi umri kuanzia miaka 5 mpka zaidi kwa sababu wanaume walio sawa na wanawake hawawezi kumudu majukumu yao hivyo inawalzamiu kuwa na mahusiano na watu waliofanikiwa .
 
Back
Top Bottom