proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 5,353
- 6,896
Tukiangalia idadi ya wanaume na wanawake, wanawake ndio wengi kuliko wanaume. Sensa ya mwaka 2022 wanaume ni mil 30,353,130
Wanawake mil 31,687,990
Wanaume wanapungua kwa sababu zifuatazo;
Twende kwenye biology mbegu za kiume XY huishi masaa machache wakati utungisho tofauti na ya kike XX ni masaa 72, mfano umefanya sex na mwanamke Leo na siku ya utungisho ni kesho kutwa, mbegu kike ndio zenye uwezo mkubwa wa kupambana hadi siku hio, ili Hali za kiume zitakufa mapema.
Wanaume wengi wanafanya kazi za hatari kuliko wanawake, mfano ujenzi wa maghorofa, minara, jeshi, upolisi,udereva boda, ubaharia, urubani, kubeba magunia, hata wizi na ujambazi, na kazi za migodini pia kwa ajili ya kutunza familia na Mambo mengineyo, ambapo kupoteza uhai ni nje nje.
Wanaume wengi wapo jela kuliko wanawake ambapo kufa ni rahisi kwa sababu ya stress na mengineyo.
Wengi wamekua mashoga, wanatumia madawa ya kulevya kv. Unga, bangi, mirungi, unywaji wa pombe kali hasa gongo na nyinginezo ambapo ni hatari kwa afya.
Wengi ni vichaa mitaani angalia tu utajionea mwenyewe.
Wao ndio wanapoteza nguvu wakati tendo la ndoa kuliko wanawake, mbegu za kiume ndio mfupa kwa mwanaume, ndio damu, ndio uhai wa kiumbe kipya, ndio afya za nywele za mwanaume, afya ya ngozi, pia nguvu za akili, nguvu za mwili, ndio maana wanaume hawashauriwi kufanya mapenzi Sana hasa jeshini, wakati UNAENDA kwenye mashindano kv. Mpira, ngumi, ukipoteza Sana mbegu zako mwili unakua dhaifu. Hivyo ukitoa Sana ni hatari kwa afya. Na ndio wanaongoza kufa kuliko wanawake, ndio maana wajane ni wengi.
Karibu na uweke sababu nyinginezo, Asante