Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Jamaa ni muongo muongo sana kama hauna uwezo wa ku- think beyond lazima akuteke [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila myonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mzawa huko very rational and we'll detailed when it comes to military knowledge and it's explanation.

Wanaokataa kujifunza kutoka kwako watakuwa funza. [emoji41]
Tena takataka kabisa
 
Zile F35 sijui F18 au F14 zinabeba mashine zinaitwa JASSM, hatari mno. Zenyewe ni mahususi kupaua zile core za adui mfano defence system za adui, meli n.k

Yaani hii JASSM inaachiliwa km kadhaa kutoka pale adui alipo na ipiga palepale hata kama object ikawa inasogea.
 
Kwa utahiri huu wa Russiaz angeivamia nchi kama UK France, Italy n.k hakika angechapika vibaya mno.
 
Kifaru chako kikiwa targeted na Javeline tu, ujue ndo mwisho wako. Helikopta ikilengwa na Stinger tu, heri S300 ila sio hizi Stinger, hazikosei kabisa.
 
Akigoma maana yake hata hizi simu hatutakuwa nazo, na tukiwa nazo Internet hakuna, ving'amuz vyote chini. Hapo upande wa teknolojia tu, ishu za afya ndo usiguse kabisaaa.
 
Hizi ni propaganda kwa vifaa vya russia na teknolojia ingekuwa dhaifu marekan angeshamvamia urusi, biden alitereza tu ulimu, ikulu faster wakarekebisha... Kauli na kutegua endeleeni kuota
Hutaki sasa.
 
Kwa kifupi hiz MLS zinacho zifanya ziwe special ni kuwa Zina elekezwa GPS.
 
Alizo toa ndo bei rahisi Moja ni$ 70000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…