Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Israeli (kipenzi cha Marekani) ana ugomvi na iran, we unahisi israel hatamani kufumua yale mahandaki, hatamani kujua yalipo, kama Marekani anayaona nje nje, kwanini asimsaidie israel afumue fumue pale
Tatizo ni makombora yenye uwezo huo wa kuharibu mahandaki, huenda hana yenye uwezo mkubwa.
 
Guudi
 
Beyond human ability!
Ni level gani sa?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nakubali. Sikujua kama GLONAS ipo kama alternative ambayo ni automatic, nilijua ni mpaka ubadili settings ambazo huwa sizioni. Na hii feature ya kuunganisha GLONAS sidhani kama ina miaka zaidi ya mitano kwenye smartphone
Kama umekiri hukujua juu kitu kidogo kilicho wazi kwenye simu tu. Na umekuwa Muungwana kukubali katika mahakama hii .
Nami kwa uungwana na Fonga NYUNDO . Kuwa hujui zaidi juu ya Satellite za kijeshi za Russia.
Kesi crossed. PERIOD.
Hii iwe inanukuliwa kila unapoleta hoja. Kuwa HUKUJUA
 
Mkuu kwanza tunaomba source/link ya kulipuliwa kwa hizo Patriots.
Unasema Urusi maeneo mengi ya mipaka hayana air defenses je Una uhakika gani Kama maeneo mpakani ya Saudia pia yana hizo air defenses?!

Saudi mbona mara nyingi amekua akitungua hizo drones pamoja na Makombora
Saudi forces shoot down Houthi drone aimed at Khamis Mushayt

Kumbuka kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan S300 mnazozisifia zilivyolipuliwa na drones za Israel na Uturuki.
Kule Syria Israel kashalipua hizo Pantsir air defenses. Uturuki pia kashazilipua hizo Pantsir mnazozisifia kila siku humu.

Wakati Iran iliposhambulia bases kule Iraq,USA hawakua na air defenses kwenye zile bases ndio maana baada ya mashambulizi Pentagon ikapeleka Patriots Iraq. U.S. sending missile defense to Iraq after attack from Iran, which now has a new weapon

Hahaha Mkuu hizo taarifa unazitoa wapi wakati all tomahawk cruise missile hit their target,zililipua kiwanda cha kemikali na kuharibu miundombinu ya air ports za Syria
 
NI ukweli Russia inatumia Makombora ya zamani km Kh-22 ant ship missiles lakini pia anatumia expensive and modern missiles Kama Kalibr na Iskander bila kusahau washatumia mpaka hypersonic missiles
 
Effectiveness of Ukraine's HIMARS Fuels Concern in Russia - The Moscow Times

Powerful long-range US rocket systems have helped destroy 20 depots of Russian artillery ammunition, disrupting Putin's firepower, says Ukraine

Na hapo ndo zipo 8 tu na nyingine NNE ziko njiani. Zingekua 50 sijui ingekuaje
 
Urusi hakuwahi pigana vita kubwa toka WW2
 
Hapa umetupiga MKUU
Kama kushambuliwa kwaule mji wampakani walioliwa hapa majuzi nakombora tokea UKRAINE
Kwanza ule mji sijui belgrod cjui nn jina sio muhimu sana umewahi pigwa kabla ila hakuwahi kufa mtu
Pili makombora yalopiga ule mji ni ya TOCHKA U hayana uhusiano wowooote ule na hayo machuma chuma ingawaje wenyewe UKRAINE hawajakiri kushambulia nakuua watu huko
Nahili lakuto kuadvance kakwambia nani MKUU
Muache kutudanganya
 
Wee jamaa bana
Kwanza hakuna anaeingia kwenye vita akataka madhara yafike kwake yanafika tu kwasababu hakuna jinsi
UKRAINE hatamani hiki kinachoendelea ila hakuna namna
Jengine US hawezi akapata madhara yamoja kwamoja yakivita sio KIUCHUMI kutokana naumbali uliopo baina yake nawatu anaopigana nao nahisi tokea baada ya vita yakwanza nayapili jamaa hajapigana vita na jirani zake sio kama RUSSIA alivyowanyoosha GEORGIA AFGHANISTAN nasasa UKRAINE
Jengine pia labda unikumbushe kama ntakua nimesahau sidhanii kama US aliishawahi kupigana vita yapekee ambayo ingemlazimu moja kwamoja kushambuliwa US badala yake anaenda kolabo nashost zake wa NATO (sio vbaya akienda nao ila nakuonesha tu ulione)
lamwisho naambalo ndio lamsingi kuliko yote ambalo mnakwepa kulisema nikwamba US tokea baada ya vita yapili yadunia hajawahi kupigana vita nataifa linalojitambua (anapigana namataifa dhaifu)
Kapigana(kaipiga)na LIBYA ambae hata roket yakurusha toka TRIPOLI mpaka TEL AVIV hana ulitegemea US wapate madhara gani alipiga IRAQ ulitegemea US adhurikaje wakati IRAQ hata rocket alizobahatisha kupiga ISRAEL aliuziwa akaupiga kidogo SYRIA wale wale dhooful hali akaitwanga AFGHANISTAN ndio wale wale
Sihalalishi vita wala uvamizi ila ukitaka kuona madhara yamoja kwamoja kwa US apigane namataifa GIANT ambayo yanatengeneza silaha wenyewe nawanaweza kuunda silaha walau ikaruka hata miles kadhaa
Sasa jamaa anapigana nawachovu wanaagiza mpaka silaha ndogo ndogo zakumlinda rais wao naanapokaa
US hamtumdogoshi ila kwakutaka apate madhara kwakupigana na LIBYA mnatukosea sanaaaa
 
Misaada yake azuie tuu
Hapa kwenye tech hawezi sababu hio nibiashara kama biashara nyengine
Nakama atatoka yeye nakuhakikishia wengine watawekeza
Nyie vijana mpaka leo hii 2022 munashabikia vyakupewa kweli!!?
Poleni sanaaa
Us kama anataka OP iishe nakama mnanuona mwema sana aache kupeleka silaha nakushinikiza maongezi kwapande zote mbili nakama hawezi aingie akaisaidie UKRAINE
US sio mwema kama mnavyomuona amakuaminishwa nimshenzi fulani tu hv UMBWA yule
 
Tatizo ni makombora yenye uwezo huo wa kuharibu mahandaki, huenda hana yenye uwezo mkubwa.
Si anatengeneza tu MKUU
Shida ya ISRAEL nikwamba anajua kwamba nini itakua REACTIO baada yakuishambulia IRAN
IRAN inaweza kubeto na ISRAEL nahata taifa jengine nandio jambo pekee linalomtisha ama kumpa khofu ISRAEL
 
Unataka uelewe hizo technology au unataka kujua uelewa wangu??...hapa hatupo kupimana uelewa wa mtu, you can find sources for your own benefit... By the way mada ni HIMARS , sio hizo technology, let's stick to the content
Acha kutatalika kama mahindi ya bisi umeulizwa swali jibu swali umeulizwa unajua kwanini hizo zipo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…